I
-Unasema kwamba ulipata division I Form 6 halafu ukaenda SAUT, swali la msingi ni unajua cuttoff points za UDSM na SAUT? je zinalingana je? Wapi Wana Cuttoff points kubwa?
-Halafu Dotto Biteko kasoma SAUT hivyo unajikanganya mwenyewe
-halafu kumbe kelele nyingi humu jf kumbe umesomea Journalism Taaluma ambayo ukipewa kozi ya muda mfupi unafanya, mfano Salim Kikeke yeye ana Diploma ya Kilimo ila uandishi wa habari kasomea miezi kadhaa tu, hivyo sio Taaluma ngumu Kama Udaktari,Law, Engineering,Land survey, architecture
-
-Kwenye Mass communication and Journalism UDSM ni number one, School of Journalism and masscomm ya UDSM ndiyo Bora kabisa ukitaka kujua Hilo hata hao Wahadhiri waliokufundisha hapo 'SAUT' wamefundishwa na Wahadhiri wa UDSM hivyo kiini cha hiyo Taaluma ya Journalism ni UDSMNina Division II ya Ordinary Level na nina Division I ya Advanced Level na sijui ni Mpumbavu ( Tula Tula ) Mwenzako gani alikuambia kuwa SAUT wanaenda tu wasiokuwa na Ufaulu mkubwa kama nilionao.
Na kwa Kukusaidia tu ni kwamba nilienda SAUT kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu ambacho ni Mama wa Kozi ya Habari ( Uandishi ) na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania japo hata Chuo Kikuu cha UDSM nao walikuwa nayo hiyo Kozi ila hawakuwa 'that Competent' kama SAUT Mwanza.
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE namalizia kwa Kusisitiza kuwa nina Division II ya Form Four na nina Division I ya Form Six.
Haya njoo na lingine pia Tulatula Wewe.