Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

I
-Kwenye Mass communication and Journalism UDSM ni number one, School of Journalism and masscomm ya UDSM ndiyo Bora kabisa ukitaka kujua Hilo hata hao Wahadhiri waliokufundisha hapo 'SAUT' wamefundishwa na Wahadhiri wa UDSM hivyo kiini cha hiyo Taaluma ya Journalism ni UDSM
-Unasema kwamba ulipata division I Form 6 halafu ukaenda SAUT, swali la msingi ni unajua cuttoff points za UDSM na SAUT? je zinalingana je? Wapi Wana Cuttoff points kubwa?
-Halafu Dotto Biteko kasoma SAUT hivyo unajikanganya mwenyewe
-halafu kumbe kelele nyingi humu jf kumbe umesomea Journalism Taaluma ambayo ukipewa kozi ya muda mfupi unafanya, mfano Salim Kikeke yeye ana Diploma ya Kilimo ila uandishi wa habari kasomea miezi kadhaa tu, hivyo sio Taaluma ngumu Kama Udaktari,Law, Engineering,Land survey, architecture
-
 
popoma aka kilaza katika kiwango chako cha juu cha ujinga
 
Pumbavu SAUT wanatoa Degree ya Journalism? Ndiyo maana huwa nawadharau na Kuwajibuni hovyo kwakuwa hamna Akili. SAUT wanatoa Degree ya Mass Communication ambapo ndani yake Kuna Fani Kuu Mbili ya Journalism na Public Relations na huko katika Journalism unaweza ukaamua Ubobee katika ama Electronic au Print Media nilikobobea hasa.

Bado tena kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE nasisitiza nina Division II ya Form Four na Division I ya Form Six na nimesoma hapo hapo SAUT ( 2006 - 2009 )

Kuhusu UDSM kuwa Juu ya SAUT kwa Kozi Mama ya Mass Communication na kwamba Wahadhiri wengi wametoka hapo UDSM na kwenda SAUT ni muendelezo ule ule wa Upumbavu wako Uliorithi kutoka kwa waliopoteza Usingizi Wao Usiku Kucha kukutafuta Taahira Mmoja kama Wewe.

Hao unaowaita Wahadhiri wa Kozi ya Mass Communication walioko huko UDSM akiwemo Mhadhiri wangu na Mtani wangu wa Kihaya Dk. Dietrick Kaijanangoma ( aliyekuwa SAUT na sasa ndiyo Mkuu hapo SJMC UDSM ) wote Kwanza walipata Elimu na Mafunzo yao ya Habari na Mawasiliano kutoka kwa iliyokuwa Nyegezi Youth Social Institute ( ambayo baadae ndiyo ilikuja Kukizaa au Kugeuzwa na Kanisa ) kuwa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) ambapo kwa nchi nzima ndiyo kilikuwa Chuo Kikuu Mama kwa Kozi ya Mass Communication.

Njoo na lingine tena ili GENTAMYCINE nikuumbue kwa Hoja na Facts na huwa niwapo hapa JamiiForums napenda zaidi kukutana na 'damn fools' wa mfano wako ( kama Wewe ) ili nikuelimishe vyema na ujue kuwa Ukizaliwa na Damu ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao 'automatically' tu Wewe ni Brainiac ( Einstein ) sawa?

I'm proud of my University SAUT Mwanza.

Cc: wilcoxon
 
-bado hujajibu hoja bali unatukana na kuzunguka zunguka, ukienda UDSM pale Kuna School of Journalism and Masscomm hiyo ni shule ya habari UDSM ambapo wanafundisha Mambo ya habari hivyo haiondoi ukweli kwamba UDSM iko juu ya SAUT kimuundo,kivifaa na kwa Wahadhiri.
-Umetoa mfano wa Lecturer mmoja tu anayeitwa Dr.Kaijanangoma, UDSM eneo la Journalism and Masscomm Kuna Wahadhiri wa kutosha na sio huyo mmoja uliyemtaja, Kingine ww unadhani kwa Elimu waliyoipata Hapo Nyegezi institute ingetosha kuwafanya kuwa Wahadhiri wa UDSM? Lazima ukubali kwamba elimu ya juu na ya kina Waliipata UDSM huko Nyegezi institute walichopata ni 'basics ' za Uandishi wa Habari lakini hawakufikia kuwa Wabobezi
-Kingine umekimbia hoja ya Cuttoff points za SAUT na UDSM kwa sababu utaumbuka unataka kufananisha vyuo vya Cuttoff za chini na vyuo vya Cuttoff za juu
-hoja Nyingine uoiyokimbia ni Urahisi wa kozi ya Journalism and Masscomm etc, nikakwambia Salim Kikeke alisomea Uandishi miezi kadhaa hii hoja hujajibu
-unajisifu kwa facts kumbe huna fact yoyote zaidi ya kuandika Ubabaishaji, unajiita brainiac (Eistein) huku Kichwani hauko hivyo brainiac gani kapata division ii, humu jf Kuna watu wana One za singo digit lakini wako kimya, halafu unajiita brainiac halafu umesoma HKL sijui nn at least ungekuwa umesomea PCB,PCM,PGM Sasa umesomea kuimba ngonjera halafu unatupigia kelele humu,
 
Kwamba zamani iliitwa Nyegezi Youth Social Institute? Siyo Nyegezi Social Training Institute (NSTI) na motto yao ikiwa ni "That All May Be One"? Nilipafika sana miaka hiyo.
 

Huoni aibu kupiga kelele humu na hiyo elimu yako ya Saut?

We jasiri sana aisee[emoji23][emoji23]
 
Nilikwenda IPT mahali fulani nikakutana na wadau wametok vyuo vingine wakashangaa mimi kusoma SAUT. Mim niliwaambia jambo moja tu acheni kukuaririshwa, uliwahi kuona wapi mtu akafundishwa na Padri au Sister af akawa na Elimu yenye mashaka? Nikawaambia missing ya chuo cha SAUT ni yakiseminary sasa uliwahi kuona wapi seminary hasa Warumi wakatoa elimu ya kubabaisha. Bahati nzuri mim nimesoma chuo cha umma diploma na degree SAUT. Aisee wale waseminary ni kiboko. Ingekuwa wanatoa Masters ya koz yangu ningerudi kuitafuta.
 
Hiyo ndio tabia ya waseminary hawaamini kam mtu hana akili wanaamini pengine mazingira aliyesomea hayakuwa rafiki au hakupata walimu wazur ndio maana akapata dv 4, hivyo wao huamua kumnoa na kumpika upya.

Nilipomaliza darasa la saba kuna wenzentu maksi hazikutosha, hivyo hawakuchaguliwa kujiunga na shule za serikali, wakaenda kujiunga na seminary,SANU badala yake matokeo ya four 4 wao walituburuza vibaya vibaya sana.

Nilipokwenda kuchukua Degree yangu SAUT ndio nikajua kwa nin walituburuza. Sikusudii kumbanisha vyuo ila naamini elimu wanayotoa wale mapedri ni mbolea safi sana ya ubongo na roho.
 
UDSM ndo chuo kikuu Bora zaid hap EA
 
Nimekuelewa..umeeleza vizuri.
 
Wale jamaa wanapiga two in one nilikwenda pale English grammar kwangu ilikuwa tabu kweli. Tulipigwa masasa wa com skills mwaka mzima, na walimu kutoka nchi jirani kwa kweli imenisaidia sana japo nilichokwenda kusoma sio hicho.
Ndugu communication skills..inafundishwa vyuo vyote kwa degree zote..pia research na math..
 
Ndugu communication skills..inafundishwa vyuo vyote kwa degree zote..pia research na math..
Ni kweli mkuu inafundishwa kote ila SAUT mwaka wa kwanza wana course inaitwa basic English hicho ndicho nilichotaka kumaanisha ila niliichanganya na comm skills. Thank u for notification.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…