Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

Ni kweli mkuu inafundishwa kote ila SAUT mwaka wa kwanza wana course inaitwa basic English hicho ndicho nilichotaka kumaanisha ila niliichanganya na comm skills. Thank u for notification.
Nilifundishwa na jamaa mmoja alikuwa anaitwa Katigula
 
Hapana, naanza na bimkubwa wako kwanza mkuu, nahisi Kuna tatizo alipata during your pregnancy
 
Unapenda Aucho? Aucho ameoa sista usije muharibia ndoa yake.

# watu wa Yanga kuweni makini Sana Na huyu dada anataka kumuharibu middle wetu.
 
Mleta mada haipiti week hajala ban,sijui huwa ana matatizo gani huyu jamaa?
 
Sawa Manyerere tumeshajua kuwa umepata masters yako,inatosha sasa.
 
Ihihihihiiiiii naona vurugu tu hapa, mara UDOM, mara SUA, mara sijui wapi, all in all hakuna cha maana tunachojivua kutokana na elimu ya bongo, sana sana nikutoa tongotongo tu na kuanza kulia lia hakuna ajira
 
Umemtaja sana Manyerere Jackton hadi nahisi ndugu GENTAMYCINE ndio Manyerere Jackton
Kama si wewe hongera kwake ila kama ni wewe hongera kwako
Jamani leo ndiyo nimeingia JF baada ya kupotea kitambo. Naona mtifuano wa hali ya juu. Mimi ni verified user. Sina user name nyingine. Kwa hiyo post yangu utasomeka kwa jina langu. Asanteni sana
Mwamba naona umeamua kuvaa mabomu. Hahahahaaaa
 
Daah umenikumbusha mbali. I miss SAUT MALIMBE COMPUS
Ss
 
Acha wivu unadhani wote tuna akili sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…