concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,003
- 617
Ushujaa wake sio kwa ajiri ya kujiua, ushujaa wake ni kwa kuwashinda wajerumani mara kadhaa kabla ya kusalitiwa.Mbona tumefundishwa toka primary kuwa Mkwawa ni shujaa kwa kitendo chake cha kujiua kwa gobore