Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

Ni heri kutafuta maarifa hayo ya wafu kufufuka kuliko kuishi kwenye upumbavu wakukosa maarifa
Hawa watu sijui kwanini wanabisha, nabii Clear Malisa kamfufua mama yake mzazi mara tatu, tena mama yake baada ya kufa akiwa peke yake alikuwa anampigia simu nabii mwanae nabii anakuja kumfufua.
Hallelujah mama kafufuliwa mara tatu.
 
Hakuna Mungu Wala hakuna kitu kinaitwa Mungu , Bali hizo ni story tu za wanadamu juu ya uwepo wake lakini kiuharisia hayupo kabisa na hata ukifa juwa ndiyo unakuwa umekufa hivyo ,Hauna tofauti na kuku au mnyama yoyote yule akifa , juwa unavyokuwa unazikwa na kufukiwa pale juwa ndiyo hivyo hamna Cha story sijui kwenda mbinguni sijui kwenda moyoni ni uongo na unafiki tu wa wanadamu,, maa a hakuna mtu mwenye ushaidi wowote zaidi ya vitatu vilivyotungwa na watu wenye akili nyingi Ili kupumbaza ngozi nyeusi isiyo na akili
Kusema hakuna Mungu ni Kwa mpumbavu mkuu,tatizo lipo kwenye Hawa mitume feki ambao wanataka Waumini wao wawachangie mavogue wakati wenzao zamani walikuwa wanapanda punda.Anyway Ilishatabiriwa precisely katika Bible,Akili kichwani.
 
Sio upumbavu mkuu, ukifikiri bila kujiwekea mipaka kuna uwalakini mkubwa sana.
 
Kusema hakuna Mungu ni Kwa mpumbavu mkuu,tatizo lipo kwenye Hawa mitume feki ambao wanataka Waumini wao wawachangie mavogue wakati wenzao zamani walikuwa wanapanda punda.Anyway Ilishatabiriwa precisely katika Bible,Akili kichwani.
Jaribu kutumia Akili zako vizuri kureason vitu
 
ILI MTUME, NABII AFANIKIWE KUMILIKI WAFUASI,LAZIMA AWAFUNGE FAHAMU NA AKILI ZAO.
YEYE ANAKUA MTUNGAJI NA MTOAJI WA SHERIA,
WAFUASI WAKE KAZI YAKE NI KUTII, NA KUWA WA KWANZA KUMTETEA TAPELI WAO!

NA MWISHO WA SIKU WAFUASI NI MASKINI WA MALI, AKILI, NA IMANI!.
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom