Huwezi kujibu lolote sababu utumii akili zako ipasavyo ,Nimejua wewe ni mpuuzi kabisa!
Hawa watu sijui kwanini wanabisha, nabii Clear Malisa kamfufua mama yake mzazi mara tatu, tena mama yake baada ya kufa akiwa peke yake alikuwa anampigia simu nabii mwanae nabii anakuja kumfufua.Ni heri kutafuta maarifa hayo ya wafu kufufuka kuliko kuishi kwenye upumbavu wakukosa maarifa
Nyuzi za kuwasanua zimekua nyingi sana [emoji22]Wakristo watakuja kukuambia ni Mungu anaamua, hao wachungaji wanatumika kama vyombo tu.
Nimependa ulivosema 'imani nyingi kuliko akili'
Kusema hakuna Mungu ni Kwa mpumbavu mkuu,tatizo lipo kwenye Hawa mitume feki ambao wanataka Waumini wao wawachangie mavogue wakati wenzao zamani walikuwa wanapanda punda.Anyway Ilishatabiriwa precisely katika Bible,Akili kichwani.Hakuna Mungu Wala hakuna kitu kinaitwa Mungu , Bali hizo ni story tu za wanadamu juu ya uwepo wake lakini kiuharisia hayupo kabisa na hata ukifa juwa ndiyo unakuwa umekufa hivyo ,Hauna tofauti na kuku au mnyama yoyote yule akifa , juwa unavyokuwa unazikwa na kufukiwa pale juwa ndiyo hivyo hamna Cha story sijui kwenda mbinguni sijui kwenda moyoni ni uongo na unafiki tu wa wanadamu,, maa a hakuna mtu mwenye ushaidi wowote zaidi ya vitatu vilivyotungwa na watu wenye akili nyingi Ili kupumbaza ngozi nyeusi isiyo na akili
Sio upumbavu mkuu, ukifikiri bila kujiwekea mipaka kuna uwalakini mkubwa sana.Kusema hakuna Mungu ni Kwa mpumbavu mkuu,tatizo lipo kwenye Hawa mitume feki ambao wanataka Waumini wao wawachangie mavogue wakati wenzao zamani walikuwa wanapanda punda.Anyway Ilishatabiriwa precisely katika Bible,Akili kichwani.
Tatizo watu hawatumii Akili zao vizuri kuuliza vizuriSio upumbavu mkuu, ukifikiri bila kujiwekea mipaka kuna uwalakini mkubwa sana.
Jaribu kutumia Akili zako vizuri kureason vituKusema hakuna Mungu ni Kwa mpumbavu mkuu,tatizo lipo kwenye Hawa mitume feki ambao wanataka Waumini wao wawachangie mavogue wakati wenzao zamani walikuwa wanapanda punda.Anyway Ilishatabiriwa precisely katika Bible,Akili kichwani.
Shida hamtaki kuambiwa ukweli jaribu kutumia akili Yako vizuri bila kushikiwa akili na manabii wenu haoNimejua wewe ni mpuuzi kabisa!
Uko sahihi kabisaILI MTUME, NABII AFANIKIWE KUMILIKI WAFUASI,LAZIMA AWAFUNGE FAHAMU NA AKILI ZAO.
YEYE ANAKUA MTUNGAJI NA MTOAJI WA SHERIA,
WAFUASI WAKE KAZI YAKE NI KUTII, NA KUWA WA KWANZA KUMTETEA TAPELI WAO!
NA MWISHO WA SIKU WAFUASI NI MASKINI WA MALI, AKILI, NA IMANI!.