Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.