Kwani amebadilishwa na nani? Mbona speech zake zimekuwa kama kujibu mashambulizi na kujihami tu

Kwani amebadilishwa na nani? Mbona speech zake zimekuwa kama kujibu mashambulizi na kujihami tu

Anataka kuwaonyesha tu side b yake ikoje maana mlianza kumchezea kama kina mdude

Rais badala ya kusimamia sera anajikita kwenye siasa ndogo ndogo za kina Mdude. Ukiona rais wa hivyo ujue hana uwezo na ndio maana anapanick mambo madogo. Toka siku ile rais afanye kikao na waandishi wa habari, ni kama alipoteza ushawishi kwa wengi, hali hiyo imevuruga na sasa ni kama kapotea kwenye game. Sasa hivi kundi la watu wasiojulikana lazima kurudi.
 
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.

Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.

Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Bi, Chokochoko wa nyoko.. na bado.
 
aisee ..tunaanza kuelewana KUMBE!
on top wale walokua wanauliza lile gari lenye 'fito' juu liko wp nadhani majibu mmeyapata! 🙂
 
Side b inaoneshwa na katiba siyo yeye as individual ndo mana zuma amefungwa kwa kutaka kuonesha side b yake kinyume na dheria. Tujifunzr kufata sheria
Kama kuna mjinga anawaaminisha urais ni kama usister wa padua anatakiwa achapwe viboko.

Urais hauhitaji uzembe wa kauli wala vitendo,alianza kucheka cheka mwanzo,namba za hazina na BOT zikampigia,akaona ahaaa,kumbe mambo hayaendi hivyo.

Sisi kama sukumagang au MATAGA, kwa pamoja tunasema mi 17 tena kwa mama.
 
Kuongoza nchi sio Kama unaongoza familia ya watu watatu,,, na asipokuwa makini atajuta ,ajichanganye aruhusu mbowe, lisu, Zito, Mnyika, Heche ,Lema , Mstiko,Mdee n.k waingie mtaani wafanye mikutano ya siasa hata huu mwaka mmoja atauona ni mrefu amwuulize kikwete walivyomfanya miaka ile akina Slaa, Zito, Lissu, alitamani awaue nchi ilikuwa inawaka Moto,,Yule bwana sio mjinga kuwazuia maana hawa jamaa wana uwezo mkubwa , wanauwezo wa kutumia mwezi mmoja kuingia mtaani ukatamani wafe wote kwa korona ,haya Bi mkubwa kazi kwako
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Rais badala ya kusimamia sera anajikita kwenye siasa ndogo ndogo za kina Mdude. Ukiona rais wa hivyo ujue hana uwezo na ndio maana anapanick mambo madogo. Toka siku ile rais afanye kikao na waandishi wa habari, ni kama alipoteza ushawishi kwa wengi, hali hiyo imevuruga na sasa ni kama kapotea kwenye game. Sasa hivi kundi la watu wasiojulikana lazima kurudi.
Washauri wake hawatimizi wajibu wao vizuri anatakiwa kuwavulumisha, ata wanaccm kindakindaki anatakiwa kua nao makini,

Wanacho kifanya ni kuharibu ,ili aonekane Kama mwendazake, na wananchi wamchukie ,na mpaka Sasa wanaenda vizuri wenda wakafanikiwa, ndio ni mwenyekiti wao ila ccm wasikie tu,
 
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.

Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.

Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Kwa hiyo ulitaka Rais anyenyekee mambo ya hovyo? Hapo bado mtaongea yote hadi ikafike 2030 sio leo
 
Side b inaoneshwa na katiba siyo yeye as individual ndo mana zuma amefungwa kwa kutaka kuonesha side b yake kinyume na dheria. Tujifunzr kufata sheria
Hiyo Katiba iwekeni kwenye ilani ya chadema afu mkichaguliwa ndio mtaiandika ,bahati mbaya sana haipo kwenye ilani ya ccm
 
Mdude kambadilisha.

Hapo bado Lema hajatia neno.

Bado pia bosi wao Lisu, huyu siku akiamua huko aliko mama atakutwa kajiua ikulu.
Unaota wewe,waje humu ndani watie neno sio wanapakatwa huko eti ndio mashujaa 😆😆
 
Mwache apandishe tu mabega tupo tunatafuta udhaifu wake wa kiafya tufanye yetu trust me hamalizi mihula yote labda amalizie hii 4 akitaka was tano CCM wenzake waandae tu sanamu lake mapema la ukumbusho Kama John
 
Kama kuna mjinga anawaaminisha urais ni kama usister wa padua anatakiwa achapwe viboko.

Urais hauhitaji uzembe wa kauli wala vitendo,alianza kucheka cheka mwanzo,namba za hazina na BOT zikampigia,akaona ahaaa,kumbe mambo hayaendi hivyo.

Sisi kama sukumagang au MATAGA, kwa pamoja tunasema mi 17 tena kwa mama.
Mama Samia, ukisikia upande ule wa pili wameanza kukuchukia uje kuna kitu umeanza kufanya vyema! Na mimi binafsi nilikuahidi toka mwanzoni kwamba sisi tuliompenda JPM tupo timu yako, na kuna vitu fulani alivyovifanya JPM (siyo vyote) ambavyo tungetamani uviendeleze. Ukivifanya utafanikiwa sana, usipovifanya hutafanikiwa.

Miongoni mwa vitu vilivyofanya JPM afanikiwe ni kuuchukulia urais kama kazi namba moja. Usitake kupendwa na watu, wacha kazi na matokeo ya kazi hizo zikusemee. Hayo mambo ya katiba, na kelele za wanasiasa hazitajenga barabara, kukamilisha treni ya umeme na kuleta umeme wa uhakika. Katiba mpya haitasababisha ubora katika utoaji elimu na huduma za afya. Nikushauri tu kwamba waambie wanasiasa kwamba hizo kelele wazitumie kutuhamasisha tufanye kazi kwa bidii na maarifa. Huko ndiko kuliko na ufumbuzi wa changamoto zetu nyingi.
 
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.

Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.

Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?

Si mlisema mama anaupiga mwingi na sasa ufipa mnapumua?

Season ya nyumbu migration imeanza rasmi
 
Unaota wewe,waje humu ndani watie neno sio wanapakatwa huko eti ndio mashujaa [emoji38][emoji38]
Haya maneno unawaambia wanaume wenzako? Unawabia watu wanaoitwa "Baba"?? Sio fair hata kidogo, hakuna unachopata kwa kuandika huu ujinga mitandaoni
 
Back
Top Bottom