Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Side b inaoneshwa na katiba siyo yeye as individual ndo mana zuma amefungwa kwa kutaka kuonesha side b yake kinyume na dheria. Tujifunzr kufata sheriaanataka kuwaonyesha tu side b yake ikoje maana mlianza kumchezea kama kina mdude
Remote controller at Musiooga ChalinzeAlianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Huyu huyu anayeupiga mwingi usingiziEti ndugu unamzungumzia nani? au huyu huyu anayeupiga MWINGI?
maji hurudi kwenye ubaridi wake ni swala la muda tu.Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Ha ha ha ha si unajua tena sisi uboya umezidi eeeee na kutandika khanga chini huku kula yao majaliwaYangu macho na najiuliza kila uchao wale wasiyo na kazi iweje nao waseme "kazi iendelee"
Emeshaanza kupandisha mabegaAlianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Tumvumilie tu Mkuu kwani Yeye ni Michael Sarpong ndani ya CCM na Serikali yake.Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.