Anataka kuwaonyesha tu side b yake ikoje maana mlianza kumchezea kama kina mdude
Bi, Chokochoko wa nyoko.. na bado.Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
mtanyoola tu hakuna cha katiba wala ushuzi wa katibaSide b inaoneshwa na katiba siyo yeye as individual ndo mana zuma amefungwa kwa kutaka kuonesha side b yake kinyume na dheria. Tujifunzr kufata sheria
Yakitushinda tunamkabidhi Mungu aseme naye kama yule dhalim.Muda si mrefu atafikia viwango vya bwana yule anaechongeshewa lijisanamu la milioni 450 [emoji1787]
Kama kuna mjinga anawaaminisha urais ni kama usister wa padua anatakiwa achapwe viboko.Side b inaoneshwa na katiba siyo yeye as individual ndo mana zuma amefungwa kwa kutaka kuonesha side b yake kinyume na dheria. Tujifunzr kufata sheria
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kuongoza nchi sio Kama unaongoza familia ya watu watatu,,, na asipokuwa makini atajuta ,ajichanganye aruhusu mbowe, lisu, Zito, Mnyika, Heche ,Lema , Mstiko,Mdee n.k waingie mtaani wafanye mikutano ya siasa hata huu mwaka mmoja atauona ni mrefu amwuulize kikwete walivyomfanya miaka ile akina Slaa, Zito, Lissu, alitamani awaue nchi ilikuwa inawaka Moto,,Yule bwana sio mjinga kuwazuia maana hawa jamaa wana uwezo mkubwa , wanauwezo wa kutumia mwezi mmoja kuingia mtaani ukatamani wafe wote kwa korona ,haya Bi mkubwa kazi kwako
Washauri wake hawatimizi wajibu wao vizuri anatakiwa kuwavulumisha, ata wanaccm kindakindaki anatakiwa kua nao makini,Rais badala ya kusimamia sera anajikita kwenye siasa ndogo ndogo za kina Mdude. Ukiona rais wa hivyo ujue hana uwezo na ndio maana anapanick mambo madogo. Toka siku ile rais afanye kikao na waandishi wa habari, ni kama alipoteza ushawishi kwa wengi, hali hiyo imevuruga na sasa ni kama kapotea kwenye game. Sasa hivi kundi la watu wasiojulikana lazima kurudi.
Kwa hiyo ulitaka Rais anyenyekee mambo ya hovyo? Hapo bado mtaongea yote hadi ikafike 2030 sio leoAlianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Hiyo Katiba iwekeni kwenye ilani ya chadema afu mkichaguliwa ndio mtaiandika ,bahati mbaya sana haipo kwenye ilani ya ccmSide b inaoneshwa na katiba siyo yeye as individual ndo mana zuma amefungwa kwa kutaka kuonesha side b yake kinyume na dheria. Tujifunzr kufata sheria
Unaota wewe,waje humu ndani watie neno sio wanapakatwa huko eti ndio mashujaa ππMdude kambadilisha.
Hapo bado Lema hajatia neno.
Bado pia bosi wao Lisu, huyu siku akiamua huko aliko mama atakutwa kajiua ikulu.
Sasa kama mama anahemea juu juu kwa kauli ya Mdude, vipi akina hao majasiri???Unaota wewe,waje humu ndani watie neno sio wanapakatwa huko eti ndio mashujaa ππ
Mama Samia, ukisikia upande ule wa pili wameanza kukuchukia uje kuna kitu umeanza kufanya vyema! Na mimi binafsi nilikuahidi toka mwanzoni kwamba sisi tuliompenda JPM tupo timu yako, na kuna vitu fulani alivyovifanya JPM (siyo vyote) ambavyo tungetamani uviendeleze. Ukivifanya utafanikiwa sana, usipovifanya hutafanikiwa.Kama kuna mjinga anawaaminisha urais ni kama usister wa padua anatakiwa achapwe viboko.
Urais hauhitaji uzembe wa kauli wala vitendo,alianza kucheka cheka mwanzo,namba za hazina na BOT zikampigia,akaona ahaaa,kumbe mambo hayaendi hivyo.
Sisi kama sukumagang au MATAGA, kwa pamoja tunasema mi 17 tena kwa mama.
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa amewapania kuwapa vidonge vyao.
Yaani amebadirika ghafla na tayari inferiority complex imeshaanza kuonekana wazi. Tafadhari arudi kwenye mstari mana anaonekana vita ikija anaweza kimbja nchi kabisa.
Haya maneno unawaambia wanaume wenzako? Unawabia watu wanaoitwa "Baba"?? Sio fair hata kidogo, hakuna unachopata kwa kuandika huu ujinga mitandaoniUnaota wewe,waje humu ndani watie neno sio wanapakatwa huko eti ndio mashujaa [emoji38][emoji38]