Kwani amebadilishwa na nani? Mbona speech zake zimekuwa kama kujibu mashambulizi na kujihami tu

Hiyo Katiba iwekeni kwenye ilani ya chadema afu mkichaguliwa ndio mtaiandika ,bahati mbaya sana haipo kwenye ilani ya ccm

Ilipokuwa kwenye ilani ya ccm ya 2015-2020 yule kiongozi muovu akagoma kuitekeleza, wanaccm mlimfanya nini ili tujue kama mnaongozwa na ilani?
 
Aongeze makali kwa wote wanaoleta CHOKOCHOKO NA UCHOCHEZI......

#KaziIndelee
 
Ilipokuwa kwenye ilani ya ccm ya 2015-2020 yule kiongozi muovu akagoma kuitekeleza, wanaccm mlimfanya nini ili tujue kama mnaongozwa na ilani?
Kwa lugha yetu maandishi yako bayana ukutani mnashindwaje kuyasoma enyi MAPROFESA wa lugha ya kiswahili?!!

Hiyo KATIBA mtaipata ndotoni mkiiota.....

#KaziIendelee
 
Ilipokuwa kwenye ilani ya ccm ya 2015-2020 yule kiongozi muovu akagoma kuitekeleza, wanaccm mlimfanya nini ili tujue kama mnaongozwa na ilani?
Inaweza kuwepo kwenye ilani bali ikawa sio kipaombele
 
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara dogo.
Dogo bibi yako,Africa hii siasa hazijawahi kuwa na tija wala kusaidia kuleta ugali..majibu yako Kenya na South Africa.

Kinachoweza kuleta ugali mezani ni sera za Uchumi tuu ambazo ndio zinashughulikiwa..

Fanya Kazi Katiba mpya haitaleta ugali utakuja shtuka umezeeka hakuna umefanya zaidi ya kulalama,kulaumu na watu watakushangaa maana your peers are making wewe unapayuka hovyo.
 
Mama anaucharaza kisawasawa yaani mithili ya Mbape
 

Ww ni dogo unapanic nini? Kenya na South Africa wana katiba bora na ushahidi uchumi wao ni bora kuliko wetu.

Kwa taarifa yako mimi sio tajiri lakini nina maisha bora maana ni mpambanaji wa ukweli. Ni hivi tunataka katiba mpya ili tudhibitishe kuwa itaondoa ugali mezani na kuharibu maisha ya wananchi.
 
Siku zote maziwa yatabaki kuwa maziwa na Tui la nazi litabaki kuwa tui la nazi. Hata ukiweka tui kwenye box la maziwa ya asas harufu ndio itaanza kunukia kuwa sio maziwa ni tui
 
Maisha bora yapi wewe kima? Acha broberiang dingi lipa kodi unaongea nonsense hapa
 
Wewe ndo mwenye taarifa halafu unaongea kimafumbo!
Tunaochangia tutumie lugha gani?🚮🚮
 
Urais wa bahati nasibu huo
 
Kusema watu wanaleta chokochoko. Hao watu ni wa Morogoro au wapi? Mary Queen of Scots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…