KazinjaTwo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2021
- 330
- 333
Taasisi binafsi zina watu wana roho nzuri pamoja na baadhi wana roho mbaya.Taasisi binafsi hawakupi chochote cha maana. Unafanya jambo zuri sana kusimamia kile ambacho unakiona kinakufaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taasisi binafsi zina watu wana roho nzuri pamoja na baadhi wana roho mbaya.Taasisi binafsi hawakupi chochote cha maana. Unafanya jambo zuri sana kusimamia kile ambacho unakiona kinakufaa.
Mzee baba unakaa Njombe kumbe? Kuna dada yangu ameolewa hukoKu.tom.ba.n.a na kibaridi hiki cha Njombe ni shiiiida mzee baba
Kama kuna sehemu zinaongoza kwa ushirikina hapa Tanzania basi ni huko NjombeMzee baba unakaa Njombe kumbe? Kuna dada yangu ameolewa huko
Sio taasisi binafsi pekee bali hayo ndio maisha kamili ya mwanadamu hata huko serikalini. Watu hawafanani tabia ndugu yangu. Anaweza kuwa mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine.Taasisi binafsi zina watu wana roho nzuri pamoja na baadhi wana roho mbaya.
Kuna jamaa yupo humu JF ana roho nzuri sana aliwahi kunitumia 150,000/= kutoka nchini Ujerumani.Sio taasisi binafsi pekee bali hayo ndio maisha kamili ya mwanadamu hata huko serikalini. Watu hawafanani tabia ndugu yangu. Anaweza kuwa mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine.
Hongera shoga yangu. Huyo jamaa akirudi bongo mpe tunda afurahishe nafsi yake.Kuna jamaa yupo humu JF ana roho nzuri sana aliwahi kunitumia 150,000/= kutoka nchini Ujerumani.
Hauwezi kufurahisha wala kukera kila mtu hapa duniani mkuuSio taasisi binafsi pekee bali hayo ndio maisha kamili ya mwanadamu hata huko serikalini. Watu hawafanani tabia ndugu yangu. Anaweza kuwa mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine.
Jambo la muhimu ni kila mtu kuishi maisha yake bila kuingiliana uhuru wa maoni wale vitendoHauwezi kufurahisha wala kukera kila mtu hapa duniani mkuu
Issue sio kupewa tunda, je akipewa atawezaHongera shoga yangu. Huyo jamaa akirudi bongo mpe tunda afurahishe nafsi yake.
Kama ni rijali kwanini asiweze? Anaweza kutumia hata mchuzi wa pweza.Issue sio kupewa tunda, je akipewa ataweza
Roho mbaya zimejaa sekta binafsi sana kuliko serikalini. Niliwahi kulishwa kitu kibaya wakati ninafanya kazi kampuni moja kule DodomaTaasisi binafsi zina watu wana roho nzuri pamoja na baadhi wana roho mbaya.
Njoo Njombe nikupe wadada watakaokusaidia kazi za ndani. Wanawake wa vijijini ni wife material sanaMzee baba unakaa Njombe kumbe? Kuna dada yangu ameolewa huko
Wenye roho mbaya pia wapo kama hao vijana wa UFIPAKuna jamaa yupo humu JF ana roho nzuri sana aliwahi kunitumia 150,000/= kutoka nchini Ujerumani.
Mwambie aanze kula vyakula vya asili aachane na hiyo michuzi ya pwezaKama ni rijali kwanini asiweze? Anaweza kutumia hata mchuzi wa pweza.
Yesu na utakatifu wake wote bado watu walimuuaHauwezi kufurahisha wala kukera kila mtu hapa duniani mkuu
Asante sana mkuuuna mawazo yenye akili sana @Infantry Soldier
Wee acha tu mkuu, Mungu anasema tumshukuru yeye kwa kila jambo liwe zuri ama baya kwetu.nikisoma namna unavyojenga hoja nafikiri hata ile interview uliyokosa itakuwa walikufanyiwa zengwe.
Hahahahahaa mwanaume huyo alafu unamuita shoga yako? Wee dada una masihara mabaya sana ujue.Hongera shoga yangu. Huyo jamaa akirudi bongo mpe tunda afurahishe nafsi yake.
Mbunye/mbususu nikipewa ninaitusua goli nyingi sanaIssue sio kupewa tunda, je akipewa ataweza