Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Taasisi binafsi zina watu wana roho nzuri pamoja na baadhi wana roho mbaya.
Roho mbaya zimejaa sekta binafsi sana kuliko serikalini. Niliwahi kulishwa kitu kibaya wakati ninafanya kazi kampuni moja kule Dodoma
 
una mawazo yenye akili sana Infantry Soldier ,nikisoma namna unavyojenga hoja nafikiri hata ile interview uliyokosa itakuwa walikufanyiwa zengwe.

Screenshot_20210506-101554.png
 
Back
Top Bottom