Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Mkuu upo? Long time sana, nafurahi kuona u hai na mwenye afya.
Nipo ndugu yangu!
Kwa hakika ni muda sana umepita! Ni majukumu ndugu yangu, kadri tunavyozidi kukua kimwili na kiakili ndivyo kadri majukumu yanavyozidi kuongezeka.

Ashukuriwe Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu amenipatia uhai wenye afya!

Sijui wewe ndugu yangu uhaligani?
 
Kama Dr. Slaa alikaa kimya wakati ule ungesema wewe, leo ameamua kusema unahangaika nini? jibu hoja zake..

Wewe ni mpuuzi uliyejaa udini usiyejiona, kutwa jicho lako kutazama wengine, idiot.
Wewe ndio mdini waziwazi nishakuona.
Huna hoja hapa zaidi ya udini tu...
 
Ni ukweli usiopingika,kuwa sasa CHADEMA wameamua liwalo na liwe ,jambo ambalo linaipeleka nchi kubaya sana,angalia sasa nchi imeashaanza kugawika ,ukiristo na uislamu makundi haya sasa hayajifichi tena ,na huku chadema ndio kumeshika kasi,viongozi wake wameonekana makanisani wakihubiri siasa,wakijificha kwenye mievuli hio ,imeonekana makasisi na mapasta sasa wakipewa vipaza sauti na kuhutubia kwenye majukwaa.

Eti kisa kutetea mikataba ya bandari ,mbona hawazungumzii mikataba ya Serikali na Kanisa ? Ambayo hata raia walio wengi hawaijui.
Mnaotetea kuwa mkataba wa Bandari ni donda ndugu basi elekezeni majeshi yenu ya utetezi katika mikataba ya Serikali na Kanisa na muwafafanulie ukweli wananchi ili wawaelewe.hivi sasa mambo yapo nje kuwa mikataba ya Serikali ya Tz na kanisa ni Janga la Taifa.

Hawa viongozi wa dini kwenye mikutano ya siasa wakaribishwe kwa kutuombea/kusoma duwa na si jinginelo.
 
Pumbavu
 
Sasa kama Mashekhe hawajielewi utawalazimisha?
Masheikh walisha pewa fulusa ya kujadili na kukosoa vipengele via mkataba huo wakiwa na wenzao mapadiri na maaskofu ulitaka tena waende kufanya kwenye majukwaa ya cdm?
 
Tatizo lako ufatilii mambo ya nchi hii mwezi uliopita balaza la amani likiongozwa na bakwata na lomani katoliki na wachungaji waliketi wakatoa msimamo wao kuhusu katiba na wakaipa serikali maelekezo,leo tena waende kutoa misimamo yao kwenye majukwaa ya siasa kama sio upumbafuvu nini?ndio maana wataitwa wadini
 
Yahakuhusu, CDM inajua inakotoka na inakoelekea.
Tatizo "nyie" gari limekata center bolt ndio maana hamjui mwendako wala mtokako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…