Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Si mjanja ni mzandiki!ila slaa mjanja sana 😁😁
Ana maslahi yake binafsi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mjanja ni mzandiki!ila slaa mjanja sana 😁😁
Mbona upo CCM Sasa? Ni unafiki kupinga ufisadi huku una kadi ya CCMMimi si shabiki wa mambo ya kipumbavu
Mkuu upo? Long time sana, nafurahi kuona u hai na mwenye afya.Si mjanja ni mzandiki!
Ana maslahi yake binafsi!
Mtu.Nani yupo tumuweke hapo badala ya mwanadamu?
Nipo ndugu yangu!Mkuu upo? Long time sana, nafurahi kuona u hai na mwenye afya.
Wewe ndio mdini waziwazi nishakuona.Kama Dr. Slaa alikaa kimya wakati ule ungesema wewe, leo ameamua kusema unahangaika nini? jibu hoja zake..
Wewe ni mpuuzi uliyejaa udini usiyejiona, kutwa jicho lako kutazama wengine, idiot.
Atakuwa ni allah maana muujiza wa kupiga,kudhuru anauweza saaana.Kawaulize machifu wa mbeya.
PumbavuKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Masheikh walisha pewa fulusa ya kujadili na kukosoa vipengele via mkataba huo wakiwa na wenzao mapadiri na maaskofu ulitaka tena waende kufanya kwenye majukwaa ya cdm?Sasa kama Mashekhe hawajielewi utawalazimisha?
Tatizo lako ufatilii mambo ya nchi hii mwezi uliopita balaza la amani likiongozwa na bakwata na lomani katoliki na wachungaji waliketi wakatoa msimamo wao kuhusu katiba na wakaipa serikali maelekezo,leo tena waende kutoa misimamo yao kwenye majukwaa ya siasa kama sio upumbafuvu nini?ndio maana wataitwa wadiniHatuwezi kuwasubiri mashekhe wamaoshindwa kuyaona makosa ya Samia kwasabb ya uislam wake.
Ukombozi unaanza na mtu mmoja ama kundi moja. Mtu huyo ama kundi yaweza kuwa waislam ama wakristo
Zingatia hoja na madhumuni ya mkusanyiko siyo aina ya watu waliokusanyika
hawana ujanja kabisa, kesi yao ya Mbeya mbona hawaiongelei tena?
Nasikia mawakili uchwara walikula fimbo usiku hawajuwi zinapotokea.