Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia


Ni dhahiri mwizi na fisadi wa bandarini, adui wamaendeleo na ndiye adui wa Mama Samia kajulikana.

Chadema wamekodishwa tu na Kanisa uonekane ni mkutano wa kisiasa. Dhahiri shahiri.
 
Kwani kwenye chadema hakuna Waislamu , mbona Kuna wanachadema walioko Zanzibar pia . Hapa ni Geographic nature ukiangalia bara dhehebu ambalo ni Dominant ni Christians Zanzibar ni Islamic so kwa vyovyote vile huwezi kukwepa haya mazingira. Huu mikutano ungeandaliwa Zanzibar naamini % kubwa ya wazungumzaji ingebadilika pia kwa upande wa Viongozi wa kidini
 
Ni dhahiri mwizi na fisadi wa bandarini, adui wamaendeleo na ndiye adui wa Mama Samia kajulikana.

Chadema wamekodishwa tu na Kanisa uonekane ni mkutano wa kisiasa. Dhahiri shahiri.

Ukishamjuwa adui yako wala hakupi tabu tena, sasa ni mwendo mdundo.

Hakika Mwenyezi Mungu hamfichi mnafik.
 
Labda nikuulize dada yangu Muisilamu mwenzangu,hivi watu wanapinga kubinafsisha bandari au wanapinga baadhi ya vipengere vya ubinafsishaji? Tuanze hapo
 
Labda nikuulize dada yangu Muisilamu mwenzangu,hivi watu wanapinga kubinafsisha bandari au wanapinga baadhi ya vipengere vya ubinafsishaji? Tuanze hapo
Wanapinga Mwarabu.
Hata urekebishe nini, provided mwekezaji ni Mwarabu kamwe hawatokubalo
 
Hapo best umebugi
Muhimu ni ujumbe
Kama waislamu watajibagua. hiyo ni juu yao
 
Tuwe tuna weka kumbukumbu kidogo, Mkristo JPM, ndie aliyeamuru Mkristo Lisu apigwe risasi.
Mkristo Jiwe, ndie aliyemdhalilisha,
Mkristo Nape,
Hii propaganda ya ccm kuwa wanaopinga mkataba ni wakrsto na wanamchukia Muslim samia, na wanaoukubali mkataba ni Islam na wanampenda samia, inaelekea kushinda kwenye vichwa vya wajinga,
Kama ccm ya mkapa iliposema cuf ni chama cha ki Islam na kimeingiza kontena LA mapanga ili kuua wakristo! Na maskini ya Mungu kuna wakristo waliamini, wakakinyima kura cuf, na, majizi ya ccm yakashinda tena.
Too bad, na Leo Islam wanaingizwa mkenge.
 
CCM mna hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Kapitie teuzi za mh zinazoendelea kilasiku kisha ndio uje na uholo wako hapa
 
Hilo limeshakuwa lichama la wajinga wadini,wanaohubiri Utengano wa Nchi.

Hao matapeli wanafanya Kila mbinu kutafuta madaraka.
 
Watu waliotakiwa kuongea wengi wao wametishwa, wakajitoa, wamebaki hao yawezekana ili nia yako itimie ya kuhamisha magori.
Sasa usishangae kuziona sura mpya ambazo hazipo kwenye hiyo list ya wazungumzaji. Wamefichwa ili msiende kuwatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…