Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Acha kuamsha waliolala utalala wewe, muda utasema Mangineli
 
Samia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
Halafu baadae mnakuja kusema Serikali inaligeuza hili jambo kuwa la kidini

lakini pia huwa sishangai sana maana hata huko Upinzanini kuna mawakala wengi wa kuvuruga agenda muhimu
 
CHADEMA ni parokia. Waislam jitoeni haraka.
 
Semeni yote mtakayosema, kama malalamiko yenu yanaweza kujibu hoja za kesho kwenye mkutano karibuni, huu ujinga wa kuhesabu wangapi wa dini gani na wangapi wa dini ipi ni upuuzi tusiotakiwa kuupa nafasi kama taifa.

Haiwezekani mjinga atuingize mtegoni kama taifa vizazi vyetu vyote, halafu badala ya kuambiwa ukweli tuanze kupoteza muda kutazamana dini zetu, hao mashekhe kama wanaijua haki na kuitambua thamani yake, wakaribie kwenye mkutano, hayupo aliyewakataza..

Lakini tusichezeane kwenye suala la kulinda rasilimali zetu, kwa ajili yetu na vizazi vyetu, huyo Thadei Ole Mushi ni mpuuzi asiye na akili.
 
Rasilimali za nchi haziwezi kuachwa zichezewe na mjinga kisha tunyamaze kwa kivuli cha dini, wote wanaomuunga mkono Samia kwenye hili ni wasaliti, hawatasubiriwa, lazima tusonge mbele.
 
Hakuna kulala wala kubembeleza wafuasi wa shetani kwenye hili, lazima apigwe mawe
 
Hakuna aliyejichanganya.

Dr. Slaa katoa mwaliko kwa viongozi wote wa dini zote, asasi za kiraia nk..ambao hawajakwenda ni kwa mapenzi yao, hawezi kuwabeba mgongoni, haki ipo Temeke, waifuate kama wanaiamini na kuitetea.

Pia, Adv. Madeleka hajajichanganya popote, ametaka suala la mkataba wa hovyo wa bandari lisihusishwe na dini, simply kwasababu kwenye ule mkataba hakuna kipengele cha dini pale, ni sheria pekee, hivyo lijadiliwe kisheria.

Lakini akamtaja Mungu akijua fika, hao waliosaini ule mkataba wa hovyo unaoliangamzia taifa, wana dini zao, ndio maana akamtaja Mungu, kwamba kama wangekuwa wanamuogopa Mungu wanayemuomba kwa imani zao, basi wasingetuingiza kwenye mkataba wa hovyo kama ule, ameeleweka.

Having said that, kila kitu kipo kwenye mstari, hakuna yeyote aliyekosea popote, kazi ibaki moja tu kesho Temeke.
 
Kwani kipindi cha Magufuli waliokuwa wanapinga mabaya yanayofanyika walikuwa waislamu au wakristu?
 
Ukimuondoa Zito Kabwe ni muislamu gani aliwahi kumpinga hayati Magufuli
 
Huwezi itenganisha CHADEMA na udini plus ukabila. Ni chama kilichojaa matabaka. Wenyewe wanasema chama chao kinapendwa na wasomi huku wakisahau kuwa kura za wasomi ni chache mno.
 

ACHA IWE HIVYO, lakini suala la bandari tutaendelea kulisemea tu
 
Unataka vipi suala la mkataba lisihusishwe na dini wakati unaposema hivyo uko pembeni mwa Askofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…