Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mikataba ya Lease na Consession huwa na uhai unaotegemea vigezo vingi.Ok mkataba utakuwa wa mda gani?
Jibu swali uliloulizwa kumbuka hapa kuna watu wa uelewa tofauti,mkataba uliopita ulikuwa wa miaka 20 je huu wa mda gani?na DP world alipatikana katika mazingira gani?Mikataba ya Lease na Consession huwa na uhai unaotegemea vigezo vingi.
Sio mkataba mmoja tu, ni mikataba kwani kuna kifungu kinachoongelea mawanda yaani scope ya biashara mbalimbali.
Ok mkataba utakuwa wa mda gani?
Masuala secular ya nchi kwa nini mnaingiza dini?Ni Muislam yupi aliomba kupewa nafasi kuzungumza akanyimwa?!
Expo Dubai 2020 ilimpata DP World kwao Dubai. Pande zote mbili zilikuwa na sababu ya kungia ubia wa kibiashara Tanzania ikihitaji mwekezaji pale TPA, DPW akiwa na mzigo wake mwingi kule Rwanda, Congo.Jibu swali uliloulizwa kumbuka hapa kuna watu wa uelewa tofauti,mkataba uliopita ulikuwa wa miaka 20 je huu wa mda gani?na DP world alipatikana katika mazingira gani?
Nakwambia hivi, hakuna raia wa Tanganyika. That is a fact.Naona sasa umeamua kujipoteza njia, muhimu mkutano upo pale Temeke, leo Jumapili, 23/07..
CHADEMA wako Temeke sasa hivi katoka kupiga dua kiarabu Shehe, hata hatujui kasema nini.Kwanini lilete distraction kwani Askofu hawezi kuwa na facts?!
Wewe ndie mwenye tatizo kwenye maono yako, vua hilo koti la udini, kasikilize hoja.
Askofu haendi Temeke kuendesha ibada, amka, bado umelala kifikra.
Mimi namuelewa ila naelewa kwa nini Watanzania wengi wanakuwa wagumu kumuelewa.Ole Thadei ni mpuuzi pia ana viashiria vya upumbavu
Sasa hivi meza kuu ya CHADEMA kwenye mkutano wao kuna Askofu Emmaus Mwakula kavaa nguo zake za kiaskofu, kavaa kofia yake ya kiaskofu, literally.Kwanini lilete distraction kwani Askofu hawezi kuwa na facts?!
Wewe ndie mwenye tatizo kwenye maono yako, vua hilo koti la udini, kasikilize hoja.
Askofu haendi Temeke kuendesha ibada, amka, bado umelala kifikra.
Hao wajinga wanaotumia mimbari zao kupigia chapuo mkataba wa DP World ni sahihi lakini wanaoupinga wanakosea.Mimi namuelewa ila naelewa kwa nini Watanzania wengi wanakuwa wagumu kumuelewa.
Tumesema tuna nchi secular, kwenye mambo ya kitaifa, lakini hatuwezi kwenda na kile tulichokisema.
Mkitaka kufuata hizo dini, mtatakiwa muwafuate viongozi wa serikali, dini zingine zimesema watu wawatii viongizi, kwa sababu viongozi wamewekwa na Mungu, sasa hapo utasemaje unapinga uongozi kwa kutumia dini?
Naelewa wengi hamuwezi ku operate nje ya hii mental model ya dini, na ndiyo maana mnashindwa hata kuwatoa hao viongozi.
Kwa sababu badala ya kukataa udhalimu wao unaotumia dini kukandamiza watu, na nyie mnatumia dini kujenga all sorts of arguments from authority and time wasting abracadabras.
Logical non sequitur and argument from thin air.Hao wajinga wanaotumia mimbari zao kupigia chapuo mkataba wa DP World ni sahihi lakini wanaoupinga wanakosea.
Bias
Wewe huwa hauamini dini, sasa iweje uhangaishwe na mavazi ya watu, badala ya kusikiliza kile wanachozungumza?CHADEMA wako Temeke sasa hivi katoka kupiga dua kiarabu Shehe, hata hatujui kasema nini.
Mmeingiza ujinga wa dini katika siasa na kuuweka mbele mpaka mnaondoa maana.
Waafrika wengi hii mifumo secular hamuiwezi, mshazoea mental models zenu za dini.
Yani hata huelewi Tanzania ina watu wa dini nyingi na wasio na dini na ukiingiza dini kwenye suala secular una complicate mambo unnecessarily.
Mavazi ni symbolism, yana saikolojia.Wewe huwa hauamini dini, sasa iweje uhangaishwe na mavazi ya watu, badala ya kusikiliza kile wanachozungumza?
Siasa haina dini, lakini wanaoifanya wana dini, hapa utapasuka kichwa bure..
Mimi si shabiki wa mambo ya kipumbavuHaahaaaa mpaka na wewe chawa umeichoka CCM? Aiseee kwisha habari
Halleluyah (japo sijaiskia) haikuzibi masikio ukiwa na focus ya kilichokupeleka.Mavazi ni symbolism, yana saikolojia.
Na hapa napinga zaidi ya mavazi, Askofu kapiga Haleluya kwenye mkutano wa siasa ambao wapo watu wa dini zote na wasio na dini, hapo huoni tatizo?
Askofu anasema "achia bandari katika jina la Yesu"
Mwanasheria anasema imani ziacheni kanisani, hapa tunaenda kwa sheria na katiba. Tusiwaamini viongozi.
Huoni kwamba hata wanaopinga DP World wenyewe, wanasheria na maaskofu, wanaji contradict?
Huoni viongozi wa dini wanaleta distraction katika issues secular za nchi?
Hatuna standards.Halleluyah (japo sijaiskia) haikuzibi masikio ukiwa na focus ya kilichokupeleka.
Hata kama huyo amepiga hiyo Halleluyah, akija wa upande mwingine nae akapiga ya kwao, hakuna shida, wacha kujichosha na hili jambo dogo.
Nimeshakwambia, siasa haina dini, lakini wanaoifanya wana dini zao, mbona simple tu, simuoni yeyote anayeji contradict hapo, zaidi yako wewe binafsi.
Wagalatia ndio wanaopinga Bandari kubinafsishwaKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!