Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Wakristo mjue hii nchi ni yetu wote viongozi ni lazima watoke pande zote mbili kinyongo mlicho nacho pindi kiongozi akiwa muislamu ni ujinga na chuki kubwa ni bandari iliyo kwa waislamu kupewa mwarabu muislamu kwa nini msianzie kuhoji mikataba mibovu ya madini tangu enzi za mwendazake.Hata asiye na maarifa anaona chuki zenu dhahri.Badilikeni acheni chuki haziwasaidii .
 
Hii nchi kamwe hatuwapi tena wala nguruwe,ni makatili na wahuaji wakubwa
 
Hatuna standards.

Ndiyo maana tunabaki masikini.
Standards kwa mwanadamu sio sawa na bidhaa, mwanadamu mwenye upeo ni lazima aweze kuwepo kwenye eneo zaidi ya moja, hiyo ni kawaida, na ndio maana tunatafuta elimu.

Askofu au shekhe licha ya kuwa wana elimu ya dini, lakini bado wanaweza kuwa wana upeo wa mambo mengine, waachwe waseme ni haki yao, wasifungwe midomo.

Wanadamu hatuwezi kuwa na same standards kama bidhaa zinazotengenezwa viwandani, na kupimwa viwango na TBS. Wacha kujichanganya, sisi sio makopo ya Energy drinks!.
 
Huyo mwanadamu unayemsema hayupo.

That is a fiction.
 
bora hata la injili kama linaokoa Taifa.
 
Sio tu hili la Maaskofu kuvaa majoho na kwenda press conferences....
Lakini Tujiulize Dr Slaa alirudi Chadema lini?
Wakati anahamia Ccm je na huko Ccm alimfata nani?Rais Mkatoliki?
Kumbuka Slaa ni padri na katibu wa Zamani wa Baraza la maaskofu

Wakati watu wanapigwa risasi Slaa hakuongea lolote...wakati watu wanatekwa hakuongea lolote...
Kina Mbowe wanafungwa hakuongea lolote...Hadi wakati Magufuli anasema katiba mpya sio kipaumbele...Slaa aliunga mkono waziwazi hiyo kauli...
The moment nchi imepata Rais Muislam Tu ...Dr Slaa karudi kuwa kiongozi wa upinzani...now anasema katiba mpya ni muhimu na lazima hata kama Samia hataki......

Binafsi naamini anachopigania Dr Slaa ni kupata Viongozi wakatoliki baasi hakuna cha Dpworld wala katiba mpyaa
 
This is a lot of jumbled speculation.
 
Kama Dr. Slaa alikaa kimya wakati ule ungesema wewe, leo ameamua kusema unahangaika nini? jibu hoja zake..

Wewe ni mpuuzi uliyejaa udini usiyejiona, kutwa jicho lako kutazama wengine, idiot.
 
Labda nikuulize dada yangu Muisilamu mwenzangu,hivi watu wanapinga kubinafsisha bandari au wanapinga baadhi ya vipengere vya ubinafsishaji? Tuanze hapo
Hicho kipengele cha mkataba upi uliouona wewe wa kuendesha bandari, unachokiongelea hapa?

Binafsi sijauona mkataba wa kuendesha bandari, wewe kama uano nifahamishe hicho kipengele.


Niliouona mimi ni makubaliano ya ushirikiano kimaendeleo baina ya serikali ya tanzania na serikali ya falme ya Dubai.
 
Unaongelea kuhusu "mwanadamu" na mtu asiyeamini Mungu, ni kama unapigia mbuzi gita.
 
Kama Dr. Slaa alikaa kimya wakati ule ungesema wewe, leo ameamua kusema unahangaika nini? jibu hoja zake..

Wewe ni mpuuzi uliyejaa udini usiyejiona, kutwa jicho lako kutazama wengine, idiot.
ila slaa mjanja sana 😁😁
 
Ccm huwa wanawaalika viongiz wa dini kwa ajil ya dua chadema wanawaita wakatoe hotuba ...nimehamia ccm
 
Ukiona mtu yuko sensitive sana masuala ya dini basi ujue hana akili. Hizi sensitivity za udini kwanini watu wanaruhusu zitawale bongo zao ni Upuuzi na upumbavu. Kuna watu hawana ukristo Wala Uislamu na hawalalamiki chcochote ndio tuseme nyie Wakristo au Waislamu ndio mnaostahili kuwepo kwenye hii nchi? Wote ambao mko na mahisia ya Udini ni Wapumbavu tu.
 
Kwa hiyo nani anafaa kuzungumzia hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…