GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Leo nasema rasmi hapa hapa JamiiForums kuwa Mimi GENTAMYCINE sijapendezwa na huu Utaratibu wa Kambi za Jeshi ( tena zile ) ambazo ni 'very Potential and Strategical' Kujengwa Maduka ya Biashara.
Tafadhali tufanye mzaha na Kote ila siyo katika Taasisi ya Jeshi na endapo GENTAMYCINE nitakuja kuwa Rais wa Tanzania huu Upuuzi wote nitauondoa na Kuvunja Maduka yote na Kambi za Jeshi ziendelee Kuheshimika na siyo Kudhihakiwa kama zinavyofanywa sasa.
Huwezi kuukuta Upuuzi huu South Africa, Rwanda, Uganda, Israel, Marekani, Uingereza, China, Urusi, Korea Kaskazini, Cuba, India, Pakistan na Ufaransa hasa kutokana na Unyeti wa Sekta hiyo husika kwa Ulinzi na Usalama wa Taifa letu.
Tunakoelekea naona kwa mbali sana hata katika Ikulu za Magogoni ( Dar es Salaam ) na ile ya Chamwino ( Dodoma ) na kwenyewe Kutaamriwa katika Kuta zake kujengwe 'Fremu' za Biashara ili Ikulu nazo zijipatie Pesa za Kulisha Ndege Wao wazuri Tausi waliopo huko.
Sasa kama mmeruhusu Lugalo Kujengwe 'Fremu' za hovyo hovyo na Kienyeji kama zilizopo mbona mnachelewa pia Kuruhusu na pale Makumbusho zilipo Flats za Watu wa TISS hadi upande ule wa PSU na kwenyewe Watu Wajenge 'Fremu' ili TISS mao wajiingizie Kipato na ikiwezekana nao Wajitajirishe humo humo tu?
Tanzania ya sasa inaelekea Kuzimu tu.