Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Mkuu GENTAMYCINE wadau wengi humu jukwaani wanasema kwamba wewe hujawahi kufika Dar ES salaam. Mimi ninakubaliana nao Kwa asilimia Mia Kwa Sababu Kwanza mwandiko wako sio mwandiko wa Mtoto wa dar ES salaam, pili Mada zako sio Mada za mtu ambae amewahi kuishi dar .
Hata jinsi unavyo wajibu watu unaonyesha kabisa wewe ni mtu wa mkoani ambae hujawahi kukanyaga dar toka uzaliwe
Kingine Kwa Nini unatumia nguvu nyingi Sana kuwashawishi Wana jf kwamba umewahi kufika dar?
Kwa mtu ambae amewahi kuishi dar au amewahi kufika.dar Wala hawezi kutumia nguvu kama unayo tumia eti kuwashawishi watu kwamba Na yeye amesha fika dar.
Jitafakari Sana mkuu. Ni hayo tu