Kwani 'Commercial Wings' za JWTZ hazitoshi hadi sasa 'Makambini' Kwao kuruhusiwe Kujengwa 'Fremu' za Biashara?

Mkuu GENTAMYCINE wadau wengi humu jukwaani wanasema kwamba wewe hujawahi kufika Dar ES salaam. Mimi ninakubaliana nao Kwa asilimia Mia Kwa Sababu Kwanza mwandiko wako sio mwandiko wa Mtoto wa dar ES salaam, pili Mada zako sio Mada za mtu ambae amewahi kuishi dar .

Hata jinsi unavyo wajibu watu unaonyesha kabisa wewe ni mtu wa mkoani ambae hujawahi kukanyaga dar toka uzaliwe

Kingine Kwa Nini unatumia nguvu nyingi Sana kuwashawishi Wana jf kwamba umewahi kufika dar?

Kwa mtu ambae amewahi kuishi dar au amewahi kufika.dar Wala hawezi kutumia nguvu kama unayo tumia eti kuwashawishi watu kwamba Na yeye amesha fika dar.

Jitafakari Sana mkuu. Ni hayo tu
 
Nakazia
 
mdogo wangu bado uko kizamani,kama white house marekani unaruhusiwa kupiga picha kwanini ushangae flemu kwenye kambi za jeshi,nchi hii inawanausalama wakutosha maeneo yote unayoyajua,usifanye tathmini kwa kutazama kwa macho
 
Tatizo mtoa Mada anaishi shamba Bunda na hajawahi fika mjini Maisha yake yote hawezi kujua mambo yanavyo kwenda
 
Ila mtoa UZI
Zile fremu zipo pembezoni kabisaaa
Wadau wamesha sema hapo juu kwamba huyu GENTAMYCINE anaishi huko Mara vijijini na hajawahi kufika dar tangu azaliwe so haya anayo andika kuhusu dar ni mambo ambayo anakuwa ameyasikia watu wakiyazungumzia huko vijiweni kwao so na yeye anakuja nayo hapo jukwaani kana kwamba ame yashuhudia.

Hizo fremu nina zijua vizuri sana mahali zilipo. Hazipo kama anavyo danganya huyu mtoa Uzi
 
kama hata zile duty free shops zilikufa na kayafa unategemea wasiuziane vitumbua na pampasi, wee vipi jamaa , lazima kujiongeza vingine njaa haina cha ukamanda wala nini inakuua tu alaaah
 
Wadau wamesha sema hapo juu kwamba huyu GENTAMYCINE anaishi huko Mara vijijini na hajawahi kufika dar tangu azaliwe so haya anayo andika kuhusu dar ni mambo ambayo anakuwa ameyasikia watu wakiyazungumzia huko vijiweni kwao so na yeye anakuja nayo hapo jukwaani kana kwamba ame yashuhudia.

Hizo fremu nina zijua vizuri sana mahali zilipo. Hazipo kama anavyo danganya huyu mtoa Uzi
Kumbe anatokea Bunda !!

Nilizani anatokea Unyantunzuni
 
Wadau wamesha sema hapo juu kwamba huyu GENTAMYCINE anaishi huko Mara vijijini na hajawahi kufika dar tangu azaliwe so haya anayo andika kuhusu dar ni mambo ambayo anakuwa ameyasikia watu wakiyazungumzia huko vijiweni kwao so na yeye anakuja nayo hapo jukwaani kana kwamba ame yashuhudia.

Hizo fremu nina zijua vizuri sana mahali zilipo. Hazipo kama anavyo danganya huyu mtoa Uzi
I'm proud of my Native Region of Mara.
 
Wanasema Bunda au Rorya kitu kama hicho
Bunda na Rorya mmenipendelea mno kwani huko ni Mjini ila Mimi naishi Musoma Vijijini kabisa kwenye Masikini wengi halafu pia sijasoma ( sina Elimu Kubwa ) kama nyie wana Jamiiforums Wote na nipo nipo tu Mkuu / Wakuu.
 
Mleta mada uko kizamani mno kwenye mambo ya Jeshi teknolojia ziko juu sana enzi za kuficha kituo cha jeshi hayapo tena

Waweza Ingia Google map ikakuonyesha vitup vyote vya kijeshi vilipo na vifaa vyao

Sasa hivi ziko teknolojia nyingi na yale uliyokuwa unajua kuwa Jeshi ni.kituo cha kijeshi kilichopo kituo fulani yamepitwa na wakati !!

Ndio maana pale Lugalo huwezi ONA makombora ya masafa marefu wala mitambo ya kutungulia ndege wala vifaa vya kivita ukipita pale sana sana Utaona askari wanafyeka majani na hospitali tu hamna cha maana pale

Unaongea kizamani enzi za ujamaa wa kirusi

Sasa hivi waweza kuta nyumba ya mtu ina makombora ya masafa marefu yanayoweza kupiga hadi kwenu Rwanda yakirushwa toka uswahilini buguruni kwa Mfuga mbwa kwa kimbengele Dar es salaam yasiyoonekana popote kwa Google map au chochote
Ndoto
 
Huyu@GENTAMYCINE namfananisha na member mmoja huku ni teacher yupo Kahama ambae alishawahi kutoa ahadi ya kumuoa mtt wa Obama,so nahisi hayupo vizur kichwani upstairs
 
Back
Top Bottom