Mimi nikiwa Mgonjwa Mamaako aliyekuzaa Taahira Wewe na kutuletea Kero Watanzania atakuwaje?
Siko hapa JamiiForums kusema Mimi ni nani au naishi wapi kama ambavyo Kutwa unahangaika kutaka kujua.
Unajitahidi mno 24/7 kutaka Kuonyesha kuwa Mimi ni Mshamba fulani wakati nina uhakika Watu wanaonijua Personally pamoja na Uhalisia wangu na hata Family Background yangu kama Mdogo wangu wa damu
steveachi, Jirani yangu mkubwa Mbezi Beach
Bujibuji Simba Nyanaume, JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya Maxence Mubyazi Melo pamoja na Vijana Wawili walioko Ofisi ya Rais ( Ikulu ) kwa Maadili ( nawahifadhi )pamoja na Wahadhiri wangu Wapendwa Dk. Fr. Charles Kitima na Dk. Fr. Francis Ng'atigwa ( walionifundisha Masters yangu SAUT School of Graduates Studies Dar es Salaam Campus Msimbazi Center ) Wote wananijua physically GENTAMYCINE ( na hata hii ID yangu ) hivyo hapa si tu wanakuona Mpumbavu bali Wanakudharau ile mbaya.
Unajitahidi mno kusema kuwa GENTAMYCINE natokea Bunda ( ambako unakudharau na yawezekana ) huko pia kuna / una Basha wako ambaye alikusugua vizuri na Kukuacha hivyo sasa ni kama vile una Hasira nae kutokana na Wivu wako mkubwa juu yake.
Sitokei Bunda jjapo nakiri kuwa Bunda ni eneo ndani ya Mkoa wangu pendwa na tukuka wa Mara ( Musoma ) ila Asili ya GENTAMYCINE ni Wilayani Butiama eneo la Butuguri Jirani kabisa na Makazi ya Mkurugenzi wa NEC Dk. Charles Wilson Mabera.
Sihitaji kwenda mbali zaidi ya hapa kwani bado nina mengi ya Kunihusu ambayo nina uhakika nikiyaweka hapa bayana utajiona ni Bonge la Mpumbavu na Mshamba ila kwakuwa nimeshakusoma na Kugundua Uswahili wako wala hunisumbui na hunipotezei muda hapa JamiiForums.
Najua kinachowateseni mpaka hata Kuwanyimeni Usingizi Kutwa hapa JamiiForums ni Umaarufu wangu GENTAMYCINE, aina yangu ya Kipekee ya Uwasilishaji Masuala hapa JamiiForums na Jtajiri wangu mkubwa wa Maarifa ( Knowledge ) unaotakana na Mimi kupenda sana Kusoma Vitabu ( Literatures ) mbalimbali za Tasnia tofauti tofauti, kupenda Kufuatilia Habari ( Local and Internationally ) na Kujichanganya sana na Makundi ya Watu wa Kada nyingi nyingi.
Ahadi pekee ninaypitoa Kwako Rais wa Wapumbavu, Waswahili na Washamba wote hapa JamiiForums mi kwamba GENTAMYCINE sitoacha Kuchangia yale ninayoyajua na kama mnachukizwa zaidi na uwepo wangu hapa Chaguzi ni Mbili tu ama Unibloku / Mnibloku mazima au msiwe mnahangaika Kutwa muwapo hapa JamiiForums Kunifuatilia na Kunisoma kwani hata Mimi sijawahi kuwa na muda mchafu wa Kupoteza juu yako au hao Wenzako wengine.
Baada ya huu Ufafanuzi wangu hutoona tena nahangaika Kujibizana nawe ila Wewe nimekuruhusu usiache Kunichokoza, Kunidhihaki na hata Kunitukana ukitaka kwani ndiyo Karama uliyozawadiwa wakati Wenzako tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa '
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hata hapa JamiiForums na ndiyo maana unaoba pamoja na Kunishambulia Kwako / Kwenu kote bado tu nazidi kuwa maarufu na kila Uchao napokea idadi ya Followers wenye Akili akiwemo Mheshimiwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa na Wengineo.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE nimemaliza.
Cc:
Its Pancho,
cool d,
USSR,
Super Handsome