Kwani 'Commercial Wings' za JWTZ hazitoshi hadi sasa 'Makambini' Kwao kuruhusiwe Kujengwa 'Fremu' za Biashara?

Ukija kuwa Rais wetu ukatoa agizo la kuondoshwa maduka hayo then ukakutwa kama alivyokutwa Magu ujue kila ulichoagiza kitabakia kama vilivyo sasa baada ya mwenda zake kuenda. Nchi nyingi za Kiafrika sio nchi ambazo malengo na mikakati vilivyowekwa na Rais aliemaliza muda wake kutekelezwa na Rais ajae.
Ushauri wa bure ukijakua Rais jenga kwenu chato au zenji ya sasa, jipakulie ktk sahani yako vyakutosha, weka ziada ya vizazi vyako vijavyo maana ndio utaratibu wa watawala wa Kiafrika.
 
Mkuu huyu anavijua vichochoro na guest houses za kawe zoote..mpaka wanapouza Makwasu kwasu kawe udoweni kule uswekeni! nbi Boya flani hivi, Na nimezingua makusudi!
 
Huyu ni kilaza mkomavu hapa JF

USSR
 
Mimi nikiwa Mgonjwa Mamaako aliyekuzaa Taahira Wewe na kutuletea Kero Watanzania atakuwaje?

Siko hapa JamiiForums kusema Mimi ni nani au naishi wapi kama ambavyo Kutwa unahangaika kutaka kujua.

Unajitahidi mno 24/7 kutaka Kuonyesha kuwa Mimi ni Mshamba fulani wakati nina uhakika Watu wanaonijua Personally pamoja na Uhalisia wangu na hata Family Background yangu kama Mdogo wangu wa damu steveachi, Jirani yangu mkubwa Mbezi Beach Bujibuji Simba Nyanaume, JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya Maxence Mubyazi Melo pamoja na Vijana Wawili walioko Ofisi ya Rais ( Ikulu ) kwa Maadili ( nawahifadhi )pamoja na Wahadhiri wangu Wapendwa Dk. Fr. Charles Kitima na Dk. Fr. Francis Ng'atigwa ( walionifundisha Masters yangu SAUT School of Graduates Studies Dar es Salaam Campus Msimbazi Center ) Wote wananijua physically GENTAMYCINE ( na hata hii ID yangu ) hivyo hapa si tu wanakuona Mpumbavu bali Wanakudharau ile mbaya.

Unajitahidi mno kusema kuwa GENTAMYCINE natokea Bunda ( ambako unakudharau na yawezekana ) huko pia kuna / una Basha wako ambaye alikusugua vizuri na Kukuacha hivyo sasa ni kama vile una Hasira nae kutokana na Wivu wako mkubwa juu yake.

Sitokei Bunda jjapo nakiri kuwa Bunda ni eneo ndani ya Mkoa wangu pendwa na tukuka wa Mara ( Musoma ) ila Asili ya GENTAMYCINE ni Wilayani Butiama eneo la Butuguri Jirani kabisa na Makazi ya Mkurugenzi wa NEC Dk. Charles Wilson Mabera.

Sihitaji kwenda mbali zaidi ya hapa kwani bado nina mengi ya Kunihusu ambayo nina uhakika nikiyaweka hapa bayana utajiona ni Bonge la Mpumbavu na Mshamba ila kwakuwa nimeshakusoma na Kugundua Uswahili wako wala hunisumbui na hunipotezei muda hapa JamiiForums.

Najua kinachowateseni mpaka hata Kuwanyimeni Usingizi Kutwa hapa JamiiForums ni Umaarufu wangu GENTAMYCINE, aina yangu ya Kipekee ya Uwasilishaji Masuala hapa JamiiForums na Jtajiri wangu mkubwa wa Maarifa ( Knowledge ) unaotakana na Mimi kupenda sana Kusoma Vitabu ( Literatures ) mbalimbali za Tasnia tofauti tofauti, kupenda Kufuatilia Habari ( Local and Internationally ) na Kujichanganya sana na Makundi ya Watu wa Kada nyingi nyingi.

Ahadi pekee ninaypitoa Kwako Rais wa Wapumbavu, Waswahili na Washamba wote hapa JamiiForums mi kwamba GENTAMYCINE sitoacha Kuchangia yale ninayoyajua na kama mnachukizwa zaidi na uwepo wangu hapa Chaguzi ni Mbili tu ama Unibloku / Mnibloku mazima au msiwe mnahangaika Kutwa muwapo hapa JamiiForums Kunifuatilia na Kunisoma kwani hata Mimi sijawahi kuwa na muda mchafu wa Kupoteza juu yako au hao Wenzako wengine.

Baada ya huu Ufafanuzi wangu hutoona tena nahangaika Kujibizana nawe ila Wewe nimekuruhusu usiache Kunichokoza, Kunidhihaki na hata Kunitukana ukitaka kwani ndiyo Karama uliyozawadiwa wakati Wenzako tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hata hapa JamiiForums na ndiyo maana unaoba pamoja na Kunishambulia Kwako / Kwenu kote bado tu nazidi kuwa maarufu na kila Uchao napokea idadi ya Followers wenye Akili akiwemo Mheshimiwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa na Wengineo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE nimemaliza.

Cc: Its Pancho, cool d, USSR, Super Handsome
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 atakuja na matusi yake ya ki bush man

Cc: Super Handsome, USSR and other Certified Fools like them on JF.
 
Inatia kinyaa sana,ukipita pale kawe kuona miti ilivyofekwa Ili mradi tu wakubwa fulani wajiingizie kipato kwa vi miradi vya flemu za biashara,ile mandhari nzuri na fence ya miti iliyokuwa inaitambulisha kambi ya jeshi lugslo kwisha kabisa,sasa hv ukipita nje barabarani,unsona mpaka kwenye makazi ya maofisa,udukuzi umerahisishwa sana,maflemu kuzungukwa uzio tulizoea kuyaona kwenye taasisi za kidini mfano kawe Kanisa katoliki,uzio wa Kanisa katoliki songwe vwawa,
Siku sijazo hata ule msitu mbele ya kambi ya lugalo,utafyekwa wote watu wajenge majumba na kufuga kitimoto,
Kama jeshi linania ya kufanya biashara lisifanye vibiashsra vya flemu na kuchukua Kodi za laki mbili mbili,hamisheni kambi ya jeshi lugalo,ingieni ubia na developers jengeni shopping mall,executive appartments,hapo mtapiga pesa sio kujiingiza kwenye biashara ya magenge
 
jipu kwahiyo Wewe uko hapa JamiiForums Kunyamazia jinsi GENTAMYCINE ninavyochokozwa, Kudhihakiwa na Kutukanwa ( tena kwa Kushambuliwa ) kila Siku na ID's zile zile hapa ila nikijibu Mapigo yangu Makali na ya Kuwaumiza ndipo unajitokeza Kinafiki kama hivi Kuonyesha Kukerwa Kwako na Majibu yangu Kwao?

Tena nawe nakuonya kaa mbali nami.
 
Tunakoelekea usije kushangaa Siku moja ukasikia kuwa hata pale Ikulu hii ya Dar es Salaam ( Magogoni ) na ile ya Dodoma ( Chamwino ) pamoja na pale TISS Makao Makuu Oysterbay na yalipo Makazi yao Makumbusho ikatokea ruhusa ya Wao Wenyewe ( Watendaji ) au Raia wa Kawaida ( kama akina GENTAMYCINE ) tukaambiwa tujenge Fremu za Biashara. Tunaepekea huko na ni Suala la muda tu Mkuu.
 
Kuna Watu hamna Akili kweli hapa Jamvini yaani Mtu ananichokoza kwa Multiple ID"s zake halafu GENTAMYCINE akijibu Mapigo na yakimchoma anakuja na ID nyingine kujifanya kama anasikitika na hajapendezwa na Majibu yangu.

Mbona nikiwa Nachokozwa, Natukanwa na Nadhihakiwa kutwa hapa JamiiForums rena na ID's zile zile huwa hamjitokezi Kukemea / Kuwakemea na Kuonyeshwa kuwa hampendezwi na tabia hiyo?

Kwahiyo Nyege zenu Mshindo zilizochanganyika na Upumbavu, Unafiki na Uswahili wenu huwapanda pale tu nikijibu Mapigo yangu Makali Kwao?

Cc: jipu
 
Naongezea nyama kdg, na Jeshini pale Makuburi kwa Mbele kuna Bar kubwa na ipo eneo la Jeshi na bado majengo zaidi yanajengwa mwisho wake watachukua nusu ya eneo la Kambi iwe sehemu za starehe
 
Mkuu hapo uliposema ukiwa rais..
huogopi kurudishwa Makao makuu na kuporwa cheo kama yule RPC wa Kagera?[emoji1787][emoji1787]
Ee! Nalo neno.

Kumbe binadamu hatakiwi ku express tamaa zake, mawazo na matamanio yake hadharani'eeh?

Kufanya hivyo ni kuruhusu "kuliwa kichwa".
Umenikumbusha mambo ya Paramagamba na Lukuvi!

Unaumwa huku unapulizwa!
 
Acha tu mkuu. Jiwe atakumbukwa daima. Yanayotokea sasa yanazidi kuimarisha usemi wa Benja Natanyahu ‘…TZ is one of those banana republics..’.
Wacha tudharauliwe tu…🥲😡🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…