Kwani 'Commercial Wings' za JWTZ hazitoshi hadi sasa 'Makambini' Kwao kuruhusiwe Kujengwa 'Fremu' za Biashara?

Safari hii hadi mnazi mmoja itauzwa tena.
 

Eti msimbazi centre ,🤣🤣🤣🤣. Msimbazi centre ya Tarime sio.

Wewe hata dsm kwenyewe hujawahi kufika unafanya kupaona kwenye tv...

Jikubali mkuu...

Mbona Hermonize anasema katoka Mtwara na bado anaheshimika Sana kwenye tasnia ya muziki?

Wewe ni wa kijijini. Unaishi kijijini Na Hujawahi kufika mjini. .. hata Mwanza mjini nna wasiwasi kama umewahi fika wewe.

Kwenye social media unaishi dar lakini katika Maisha halisi unaishi Bunda vijijini.

Hiyo staili yako ya uandishi ni ya ujanja wa kijijini . Yani staili fulani hivi ya kuchanganya mafaili ili kubabaisha Sasa Kwa mtu ambae ndo amekusoma Kwa mara ya Kwanza Na ambae hafikirii in deep anaweza aka amini lakini sio Kwa mtu makini.

Hiyo location ya SAUT @ Msimbazi centre umefanya Ku Google tu lengo lako unataka Ku prove kwamba umeshawahi kufika dar ES salaam.

Uliwahi kuandika Kwa staili yako ya kujifanya mjuaji kuhusu dokta Tulia na ushahidi nakuwekea hapa ujione ulivyo Kilaza

# Sasa Kwa jinsi ulivyo andika kuhusu Tulia , bushman Mwenzako akisoma anaweza fikiria unamjua vizuri dada wa watu kumbe masikini hujui lolote unafanya kusikia Tu kwenye kijiwe cha fundi viatu hapo bunda mjini unaposhinda ukitoka kufundisha watoto wa Isunga chupi Nyantindi primary school





 
Uongozi wa JamiiForums hasa Moderators Paw, Moderator na JamiiForums nimeshawahi kutoa Kwenu Malalamiko yangu just Watu ( Members ) wanaopenda Kunichokoza, Kunidhihaki na Kunikashifu mara kwa mara hapa JamiiForums kama huyu ila cha Kushangaza bado mnaendelea Kuwalea na Mimi nikijibu Mapigo yangu mnakimbilia kunipa BAN za muda mrefu.

Je, kuanzia sasa GENTAMYCINE nikihisi kuwa huenda Watu hawa Wanatumika 'Kimkakati' katika Kunichokoza na Kunishambulia ili Nihamaki na ID hii ipigwe BAN ndefu na Lengo litimie nitakuwa nakosea?

Tafadhali kama GENTAMYCINE na hii ID yangu sitakiwi hapa JamiiForums labda nagusa na naharibu Maslahi ya Watu fulani hivyo natafutiwa BAN za lazima ili Watu fulani waridhishwe naomba niambiwe tu ili nijue.

Haiwezekani ID's zile zile tu za LIKUD na ile nyingine ya Its Pancho ndiyo ziwe zinaongoza Kunichokoza na Kunishambulia kila Uchao tena kwa maneno yale yale ya Dhihaka dhidi yangu halafu Wanaachwa na Kuchekewa.

Nina uhakika kama Moderators wenu wangeamua kulivalia hili Njuga na kuwa nalo Makini huu Upuuzi usingeendelea ila bahati mbaya sana ni kwamba Watu ( Members ) wanaomchokoza, wanaonidhihaki na hata kunishambulia GENTAMYCINE hapa JamiiForums wanalindwa na Kuchekewa ila GENTAMYCINE nikiwajibu vile ninavyojua haraka mno napigwa BAN ya Mwezi au Miezi Mitatu ( Siku 90 )

Mtu ( Member ) umeshakiri na kila mara unasema kuwa humpendi GENTAMYCINE na unamchukia sasa kwanini kila Siku uingiapo tu JamiiForums ni lazima utamsoma na Kusoma Mada zake? Hivi unayemchukia unaweza Kupoteza muda wako Kumfuatilia kila mara na Kumfuata fuata?

Nasisitiza kama ID hii ya GENTAMYCINE haitakiwi hapa JamiiForums niambieni tu ili nijitoe rasmi au niwaruhusu muifunge ili mridhike na Roho zenu kuliko Kuacha GENTAMYCINE nafanyiwa kila aina ya Visa hapa halafu nikijibu Mapigo mnakimbilia kunipa ( kunipiga ) BAN ndefu ambazo muda mwingine nahisi ni za Chuki na kama Kunikomoa fulani hivi.

Imetosha sasa....!!!

Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Picha please
 
🤣🤣🤣🤣 Jibu hoja acha kukimbilia polisi wewe . Dhihaka ipo wapi hapo.
 
Yote haya Kwa Sababu umeambiwa hujawahi kufika dar🤣🤣🤣 kumbe dar Kwa watu wa mikoani ni big deal eeh?

Mkuu upo Kijiji Gani nimlete Mkojani tuje tupige show mkuu? Ndio fursa zenyewe hizi chief.
 
Picha please
Picha azipate wapi mkuu wakati anaishi Bunda huko na hizo fremu zipo Kawe?

Utakuwa unamuonea bure Tu bushman wa watu

Kwa picha na mimi namtetea.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mimi naunga mkono hata ule ukuta wa ikulu ya magogoni zijengwe frem pale Ili kuongeza mapato na pili kumaliza tatizo la ajira nchini. Unakuta shule zina ukuta na zipo katikati ya mji miji zijengwe frem, unakuta stand ya mwendokasi mfano mbagala, gerezani, magogoni ule ukuta wa nn kwann wasijenge frem Ili kuondoa tatizo la ajira nchini.
Maana tumeshindwa kujenga uchumi wa kilimo , tumeamua kujenga uchumi wa kimachinga so nchi yote igeuzwe iwe ni machinga tupu. Maana umachinga ni zao la ccm kushindwa kwenye uchumi kwa kushindwa kuzigeuza raslimali kuwa fursa vijana wapate ajira. Serikali ya Ccm imewaacha vijana yatima wajilee wenyewe bila muongozo, Hakuna mpangilio tangu unazaliwa utaishije hadi kifo. Ukishamaliza shule utajijua mwenyewe, njia rahisi ni watu kukimbilia umachinga. Na machinga ni Dalali au salesman wa viwanda vya China, Kazi yake kuu ye ni agent wa kusambaza bidhaa toka China kwa faida ya China na sio Tanzania. Kambi za jeshi za mijini zihamishwe porini nje ya mji zinachukua nafasi kubwa na kuzuia mipango miji.
 
Umesoma SAUT??? Aisee hivi kuna watu wanasoma hiko chuo na wakawa timamu kweli??
 
Nikipiga hapo nikashangaa sana
 
Sio ma biashara bhanaa Jeshini.
Jeshini ni sehem nzuri ya kujenga karakana kubwa Askari wanaoneshana ma ujuzi baada ya kutoka katika mafunzo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 Jibu hoja acha kukimbilia polisi wewe . Dhihaka ipo wapi hapo.
Ukumbi mzuri ni ule ambao aliyekuzaa kila mara anaenda Kulala ( Kushindiliwa vyema Kibaiolojia ) huko na Hawara yake Mkuu nje ya Babaako Mzazi. Muulize Yeye anaujua vyema tu kuliko Mimi sawa?
 
Yote haya Kwa Sababu umeambiwa hujawahi kufika dar🤣🤣🤣 kumbe dar Kwa watu wa mikoani ni big deal eeh?

Mkuu upo Kijiji Gani nimlete Mkojani tuje tupige show mkuu? Ndio fursa zenyewe hizi chief.
Ukumbi mzuri ni ule ambao aliyekuzaa kila mara anaenda Kulala ( Kushindiliwa vyema Kibaiolojia ) huko na Hawara yake Mkuu nje ya Babaako Mzazi. Muulize Yeye anaujua vyema tu kuliko Mimi sawa?
 
Picha azipate wapi mkuu wakati anaishi Bunda huko na hizo fremu zipo Kawe?

Utakuwa unamuonea bure Tu bushman wa watu

Kwa picha na mimi namtetea.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Ukumbi mzuri ni ule ambao aliyekuzaa kila mara anaenda Kulala ( Kushindiliwa vyema Kibaiolojia ) huko na Hawara yake Mkuu nje ya Babaako Mzazi. Muulize Yeye anaujua vyema tu kuliko Mimi sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…