O Omary - Msamalia JF-Expert Member Joined Jan 19, 2020 Posts 2,079 Reaction score 4,521 Apr 1, 2022 #81 Moja ya vitu so pity Tanzania, nii hii Idea ya Kuweka frame kila unapojenga, Yaani Tanzania kila mtu utasikia ngoja niweke frame mbele ya nyumba
Moja ya vitu so pity Tanzania, nii hii Idea ya Kuweka frame kila unapojenga, Yaani Tanzania kila mtu utasikia ngoja niweke frame mbele ya nyumba
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Apr 1, 2022 #82 LIKUD said: Picha azipate wapi mkuu wakati anaishi Bunda huko na hizo fremu zipo Kawe? Utakuwa unamuonea bure Tu bushman wa watu Kwa picha na mimi namtetea. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Click to expand... Sawa, basi tunamsamehe Mze wa bush toka Bunda.
LIKUD said: Picha azipate wapi mkuu wakati anaishi Bunda huko na hizo fremu zipo Kawe? Utakuwa unamuonea bure Tu bushman wa watu Kwa picha na mimi namtetea. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Click to expand... Sawa, basi tunamsamehe Mze wa bush toka Bunda.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Apr 1, 2022 #83 Mkereketwa_Huyu said: Sawa, basi tunamsamehe Mze wa bush toka Bunda. Click to expand... Nakazia
B Bongotunacheza JF-Expert Member Joined Dec 7, 2018 Posts 983 Reaction score 2,306 Apr 2, 2022 #84 GENTAMYCINE said: I'm proud of my Native Region of Mara. Click to expand... Sasa mbona una danganya watu kuwa umeshawahi fika dar wakati bado hujawahi fika dar toka uzaliwe
GENTAMYCINE said: I'm proud of my Native Region of Mara. Click to expand... Sasa mbona una danganya watu kuwa umeshawahi fika dar wakati bado hujawahi fika dar toka uzaliwe
M MOREMI2006 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 551 Reaction score 548 Apr 4, 2022 #85 GENTAMYCINE said: Bunda na Rorya mmenipendelea mno kwani huko ni Mjini ila Mimi naishi Musoma Vijijini kabisa kwenye Masikini wengi halafu pia sijasoma ( sina Elimu Kubwa ) kama nyie wana Jamiiforums Wote na nipo nipo tu Mkuu / Wakuu. Click to expand... Gentamycine moja ya kichwa bora kwa sasa hapa jamii forums
GENTAMYCINE said: Bunda na Rorya mmenipendelea mno kwani huko ni Mjini ila Mimi naishi Musoma Vijijini kabisa kwenye Masikini wengi halafu pia sijasoma ( sina Elimu Kubwa ) kama nyie wana Jamiiforums Wote na nipo nipo tu Mkuu / Wakuu. Click to expand... Gentamycine moja ya kichwa bora kwa sasa hapa jamii forums
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Apr 4, 2022 Thread starter #86 MOREMI2006 said: Gentamycine moja ya kichwa bora kwa sasa hapa jamii forums Click to expand... Asante kwa hizi Sifa zako Mkuu, ila tegemea kuambiwa hii ID yako ni Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE na hapa nimejisifia. Kama ulikuwa unataka Likes nyingi kutoka kwa Watu ( Members ) hapa ungeandika Kunikandia / Kunidhalilisha ungezipata nyingi tu.
MOREMI2006 said: Gentamycine moja ya kichwa bora kwa sasa hapa jamii forums Click to expand... Asante kwa hizi Sifa zako Mkuu, ila tegemea kuambiwa hii ID yako ni Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE na hapa nimejisifia. Kama ulikuwa unataka Likes nyingi kutoka kwa Watu ( Members ) hapa ungeandika Kunikandia / Kunidhalilisha ungezipata nyingi tu.