Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kwani kibaraka Lisu mwenyewe alikua ana wahadaa na kuwadanganya vipi wanachama na wafuasi wake mbele ya mahakama na majaji kuhusu hao mashahidi?🐒Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka mahakama ijue? Kuwa shahidi haimaanishi kumtetea mtu bali kusema ukweli wa unachokifahamu.
DCI ni kiungo muhimu katika yale mashtaka, maana yake yupo kwenye nafasi ya kuthibitisha uhaini wa Lissu. Sasa inakuwaje anakataa kutoa huo ushahidi?
Na kwa nini hawa watu wamegoma kuja mbele ya mahakama? Kwa nini hawako tayari kuja kujibwa maswali ya dodoso hata kwa kusema NDIYO...HAPANA ..SIJUI?
Najiuliza maswali mengi sana. Fikiria hawa ni wakuu wa vyombo wakiongoza taasisi za ulinzi na usalama, iweje wamkimbie au kumuogopa mtu mmoja?
jibu na jawabu lako ni sahihi 100% dhidi ya swali la muuliza swali.Swali zuri
Aliwaita wamtetee…
He Kama Hawako tayari kumtetea kuna shida?
Aliyewaita ni Lissu Kwa hiyo walitakiwa kumtetea LissuHawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka mahakama ijue? Kuwa shahidi haimaanishi kumtetea mtu bali kusema ukweli wa unachokifahamu.
DCI ni kiungo muhimu katika yale mashtaka, maana yake yupo kwenye nafasi ya kuthibitisha uhaini wa Lissu. Sasa inakuwaje anakataa kutoa huo ushahidi?
Na kwa nini hawa watu wamegoma kuja mbele ya mahakama? Kwa nini hawako tayari kuja kujibwa maswali ya dodoso hata kwa kusema NDIYO...HAPANA ..SIJUI?
Najiuliza maswali mengi sana. Fikiria hawa ni wakuu wa vyombo wakiongoza taasisi za ulinzi na usalama, iweje wamkimbie au kumuogopa mtu mmoja?
kama mnyika, amani brenda na heche wamemkaanga na kumsagia kunguni vile mwenyekiti wa chama chao kabisa,Aliyewaita ni Lissu Kwa hiyo walitakiwa kumtetea Lissu
Walikuwa huru pia kutomtetea Lissu na kuwa upande wa JamuhuriAliyewaita ni Lissu Kwa hiyo walitakiwa kumtetea Lissu
Kumtetea mtu ni lazima?Aliyewaita ni Lissu Kwa hiyo walitakiwa kumtetea Lissu
Mmhh,Kumtetea mtu ni lazima?
Ikitoeka ukasema hauko tayari kumtetea fulani utakua na makosa yoyote kisheria?
Mleta mada anawakilisha vilaza wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii ndio maana Mange ameweza kuwa kiongozi wa chamaHapo ndipo naelewa kwanini huwa mnabishana hovyo, leo ndiyo nimegundua kuwa kumbe huwa mnabishana bila hata kujua mnabishania kitu gani hasa.
Lisu alihitaji waje kuwa watetezi wake waje kumsaidia kumchomoa kutoka kwenye kitanzi, jamaa wakamwambia mwa kulifind mwana kuliget, sisi sio tuliokutuma wala hatuna ushirika na wewe kwenye mambo uliyoyafanya kwa utashi wako. Kwahiyo pambana na hali yako mwenyewe
Kumsagia kukunguni kwa kuuliza Heche una magari mangapi au Nishan kakuuingizia hela? Ndiyo Kumkaanga huko?kama mnyika, amani brenda na heche wamemkaanga na kumsagia kunguni vile mwenyekiti wa chama chao kabisa,
ingewezekana kwenye watu wenye jukumu la kupambana na uhalifu nchini wamtetee huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mkiuka sheria za nchi ?
huko sio kuchanganyikiwa kweli gentleman?🐒
kwahiyo heche na wenzake wamemtetea au wamemkaanga mwenyekiti wao?Kumsagia kukunguni kwa kuuliza Heche una magari mangapi au Nishan kakuuingizia hela? Ndiyo Kumkaanga huko?
Wanaomba anyongwe au Sheria ndiyo inatakiwa ifuatwe?Yeye ndiye aliyewaita wamekataa kumtetea on top of that wamesema wanaomba anyongwe