CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Waliitwa na upande wa utetezi maana yake waliitwa kuja kumtetea Lissu.
Mkuu,elimu zinatofautiana.inawezekana kweli ni kilaza kwenye mambo yahusuyo Sheria(Mimi mmojawapo).Mleta mada anawakilisha vilaza wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii ndio maana Mange ameweza kuwa kiongozi wa chama
mahakamani mashahidi hawatetei, wanatoa ushahidi. HUELEWI NINI BROAliyewaita ni Lissu Kwa hiyo walitakiwa kumtetea Lissu
Shahidi anatakiwa kwenda kusema ukweli wa anachojua na siyo lazima kuwa upande wa Lissu. Tena hii ndiyo ilikuwa chance nzuri ya kuhakikisha ananyongwa kwa kusema uhaini wake.Yeye ndiye aliyewaita wamekataa kumtetea on top of that wamesema wanaomba anyongwe
Hivi Unajua maana ya kutetea?Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka mahakama ijue? Kuwa shahidi haimaanishi kumtetea mtu bali kusema ukweli wa unachokifahamu.
DCI ni kiungo muhimu katika yale mashtaka, maana yake yupo kwenye nafasi ya kuthibitisha uhaini wa Lissu. Sasa inakuwaje anakataa kutoa huo ushahidi?
Na kwa nini hawa watu wamegoma kuja mbele ya mahakama? Kwa nini hawako tayari kuja kujibwa maswali ya dodoso hata kwa kusema NDIYO...HAPANA ..SIJUI?
Najiuliza maswali mengi sana. Fikiria hawa ni wakuu wa vyombo wakiongoza taasisi za ulinzi na usalama, iweje wamkimbie au kumuogopa mtu mmoja?
Haya majitu ni hovyo kabisa. Ndiyo maana kila kesi za kimaitaifa nchi inashindwa. Kwa wale waliofuatilia kesi ya uhaini ya mwaka 1980 wakisikia huu uchafu unafanyika sasa hivi ni masikitiko makubwa. Hii ina-reflact aina ya uongozi uliopo juu kabisa i.e. kibibi jitu.Kumsagia kukunguni kwa kuuliza Heche una magari mangapi au Nishan kakuuingizia hela? Ndiyo Kumkaanga huko?
Hawamtetei kwa kumpenda ili asikutwe na hatia, bali wanatoa ushahidi wa kisheria kutokana na nafasi zao kudhibitisha huo uhaini wa Lisu.Swali zuri
Aliwaita wamtetee…
Je Kama Hawako tayari kumtetea kuna shida?
Sio kumtetea Bali kuelezea wanacho fahamu kuhusu uhaini anaoshatakiwa nao.Swali zuri
Aliwaita wamtetee…
Je Kama Hawako tayari kumtetea kuna shida?
Acha upotoshaji wa kijinga, Lisu hakutaka wawe watetezi wake kwa kumuonea huruma ili asinyongwe. Bali wao kwa nafasi zao watoe ukweli wa kisheria kuhusiana na uhaini. Na wao wamekwepa kwa sababu za kama hizi unazosema ww. Lisu anajua kabisa hao hawawezi kuwa upande wake, lakini wanawajibu wa kisheria kwenye hiyo kesi kutokana na nafasi zao. Kama unataka kupotosha kapotoshe wajinga.Hapo ndipo naelewa kwanini huwa mnabishana hovyo, leo ndiyo nimegundua kuwa kumbe huwa mnabishana bila hata kujua mnabishania kitu gani hasa.
Lisu alihitaji waje kuwa watetezi wake waje kumsaidia kumchomoa kutoka kwenye kitanzi, jamaa wakamwambia mwa kulifind mwana kuliget, sisi sio tuliokutuma wala hatuna ushirika na wewe kwenye mambo uliyoyafanya kwa utashi wako. Kwahiyo pambana na hali yako mwenyewe
Wewe hadhi yako ni sawa na kinyesi. Sema tu watu wanakupa umuhimu kwa sababu hawakujui. Ila Mimi tangu nikujue nakuonea huruma sana.Kwani kibaraka Lisu mwenyewe alikua ana wahadaa na kuwadanganya vipi wanachama na wafuasi wake mbele ya mahakama na majaji kuhusu hao mashahidi?🐒
Wale mashahidi wa Jamuhuri wote walienda kwa kuridhia? Ama unadhani hatujui uhalisia?Kumtetea mtu ni lazima?
Ikitoeka ukasema hauko tayari kumtetea fulani utakua na makosa yoyote kisheria?
Gentleman,Wewe hadhi yako ni sawa na kinyesi. Sema tu watu wanakupa umuhimu kwa sababu hawakujui. Ila Mimi tangu nikujue nakuonea huruma sana.
Mkuu unaongea kwa hisia na sio fact. Kama nia ingekuwa ni hiyo basi wangeitwa na upande wa mashtaka maana wao ndiyo wana interest ya kupata conviction. Lakini kuitwa na upande wa utetezi tafsiri yake ni kwamba walioitwa walitakiwa wafanye majukumu yaliyofanywa na Brenda Rupia, John Heche and the alike.Acha upotoshaji wa kijinga, Lisu hakutaka wawe watetezi wake kwa kumuonea huruma ili asinyongwe. Bali wao kwa nafasi zao watoe ukweli wa kisheria kuhusiana na uhaini. Na wao wamekwepa kwa sababu za kama hizi unazosema ww. Lisu anajua kabisa hao hawawezi kuwa upande wake, lakini wanawajibu wa kisheria kwenye hiyo kesi kutokana na nafasi zao. Kama unataka kupotosha kapotoshe wajinga.
Mtu akisema Siko tayari kukutetea atakua amevunja sheria?Wale mashahidi wa Jamuhuri wote walienda kwa kuridhia? Ama unadhani hatujui uhalisia?
KeywordMmhh,
Mamlaka ya mahakama inaweza kulazimisha kuzungumza unacho kijua
Upande wa mashitaka utawaita vipi hao maboss wakati ni kesi ya kupika? Kwenye kesi kama hizo wanapelekwa hao wachini hata kama hawataki. Lisu kawaita wawe upande wa utetezi kwasababu kaona kuna ukweli unafichwa huku wahusika kabisa wa nafasi za kisheria wakiaachwa.Mkuu unaongea kwa hisia na sio fact. Kama nia ingekuwa ni hiyo basi wangeitwa na upande wa mashtaka maana wao ndiyo wana interest ya kupata conviction. Lakini kuitwa na upande wa utetezi tafsiri yake ni kwamba walioitwa walitakiwa wafanye majukumu yaliyofanywa na Brenda Rupia, John Heche and the alike.
Basi hawana akili kabisa.Hapo ndipo naelewa kwanini huwa mnabishana hovyo, leo ndiyo nimegundua kuwa kumbe huwa mnabishana bila hata kujua mnabishania kitu gani hasa.
Lisu alihitaji waje kuwa watetezi wake waje kumsaidia kumchomoa kutoka kwenye kitanzi, jamaa wakamwambia mwa kulifind mwana kuliget, sisi sio tuliokutuma wala hatuna ushirika na wewe kwenye mambo uliyoyafanya kwa utashi wako. Kwahiyo pambana na hali yako mwenyewe
Tanzania ya Leo,wenye akili kubwa ni maadui na sii Wazalendo,ila wenye akili kizibo,ndiyo wanatakiwa na wanaomwa Wazalendo na watawala wa Tanzania.Haya ni maajabu ya ishirini ya dunia yanayopatikana Tanzania pekee!Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.