This is crapmahakamani watu hawatetei, wanatoa ushahidi. HUELEWI NINI BRO
Ndo walichokifanya, wamweleza hawawezi kumtetea kwa sababu wao ni sehemu ya Jamhuri. Sasa nyie msiolewa ndo mnaleta upotoshaji. Kweli hiki chama na wafuasi wao ni wapotoshaji sana. Kile kingine ni waongo ila hawa upande wa mtetezi ni wapotoshaji wa kutupwaWalikuwa huru pia kutomtetea Lissu na kuwa upande wa Jamuhuri
Ulichelewa kulitambua ili ndugu,wabishi na watukanaji ila kumbe weupe tu. TUMUOBEE LISSSU ARUDI URAIANI NA MAISHA YAENDELEEHapo ndipo naelewa kwanini huwa mnabishana hovyo, leo ndiyo nimegundua kuwa kumbe huwa mnabishana bila hata kujua mnabishania kitu gani hasa.
Lisu alihitaji waje kuwa watetezi wake waje kumsaidia kumchomoa kutoka kwenye kitanzi, jamaa wakamwambia mwa kulifind mwana kuliget, sisi sio tuliokutuma wala hatuna ushirika na wewe kwenye mambo uliyoyafanya kwa utashi wako. Kwahiyo pambana na hali yako mwenyewe
Kuomba unaweza ukaomba chochote mtu hazuiwi kuombaWanaomba anyongwe au Sheria ndiyo inatakiwa ifuatwe?
Walikuwa huru pia kutomtetea Lissu na kuwa upande wa Jamuhuri wangeitwa hostile witnesses
Sikia ,ule uliikuwa ni mtego,Lissu anajua hakuna uhaini na kesi ishaisha Sema Mwamba alitaka waende kule ili akawabane na umma ujue maovu Yao.Kwenye dodoso akina Katuga wangejikuta ama hawana maswali au waulize maswali ya kuitia aibu serikali.Majamaa yamestuliwa yakalala mbele.Lissu ndo angewahoji kwanza kwa maana ya examination in chief Katuga angekuja kwenye cross examination.Serikali ilikuwa inaenda kuvuliwa hadi chupi nakwambia.Hapo ndipo naelewa kwanini huwa mnabishana hovyo, leo ndiyo nimegundua kuwa kumbe huwa mnabishana bila hata kujua mnabishania kitu gani hasa.
Lisu alihitaji waje kuwa watetezi wake waje kumsaidia kumchomoa kutoka kwenye kitanzi, jamaa wakamwambia mwa kulifind mwana kuliget, sisi sio tuliokutuma wala hatuna ushirika na wewe kwenye mambo uliyoyafanya kwa utashi wako. Kwahiyo pambana na hali yako mwenyewe
Mtu hanyongwi kwa kuwa wewe unatamani anyongwe.Mtu atanyongwa ikiwa ushahidi utathibiti jinai yake kwa mujibu wa Sheria.Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka mahakama ijue? Kuwa shahidi haimaanishi kumtetea mtu bali kusema ukweli wa unachokifahamu.
DCI ni kiungo muhimu katika yale mashtaka, maana yake yupo kwenye nafasi ya kuthibitisha uhaini wa Lissu. Sasa inakuwaje anakataa kutoa huo ushahidi?
Na kwa nini hawa watu wamegoma kuja mbele ya mahakama? Kwa nini hawako tayari kuja kujibwa maswali ya dodoso hata kwa kusema NDIYO...HAPANA ..SIJUI?
Najiuliza maswali mengi sana. Fikiria hawa ni wakuu wa vyombo wakiongoza taasisi za ulinzi na usalama, iweje wamkimbie au kumuogopa mtu mmoja?
Sasa ndiyo umeandika nini? Mahakama sio vijiwe vya kubishania mambo ya Simba na Yanga. Yaani haifanyi kazi zake kwa ushabiki bali utaratibu. One mistake, inakula kwako.Sikia ,ule ilikuwa ni myego,Lissu anajua hakuna uhaini na kesi ishaisha Sema Mwamba alitaka waende kule ili akawabane na umma ujue maovu Yao.Kwenye dodoso akina Katuga wangejikuta ama hawana maswali au waulize maswali ya kujitia aibu serikali.Majamaa yamestuliwa yakalala mbele.Lissu ndo angewahojinkwanza kwa maana ya examination in chief Katuga angekuja kwenye cross examination.Serikali ilikuwa inaenda kuvuliwa hadi chupi nakwambia.
Shahidi anaenda mahakamani akiwa anajulikana anaenda upande wa mshtaki au mshtakiwaThis is crap
Unatetea au unashitaki but means ndio ushuhuda
Huwezi kwenda mahakamani ukasema mimi Siko upande wowote lakini natoa ushahidi
Hujaelewa au huna uwezo wa kauelewa.Hujui kwamba Lissu alitakiwa kuwauliza maswali mashahidi wake! Hujui kwamba yeye asingekuwa na mpaka kwamba angewapiga maswali ya Kila aina? Hujui kwamba Lissu ana uwezo wa hali ya juu katika kuuliza maswali.Kama Katuga aliuliza mpaka mali binafsi za Heche ,nini kingemkataza Lissu kuwaperembesha akina Kingai?Sasa ndiyo umeandika nini? Mahakama sio vijiwe vya kubishania mambo ya Simba na Yanga. Yaani haifanyi kazi zake kwa ushabiki bali utaratibu. One mistake, inakula kwako.
Mahakamani ni kama mchezo wa draft, wakati wewe unasukuma kete ili mpinzani wako aingie kwenye mfumo tambua unayecheza naye pia ana haki ya kusukuma kete zake ili wewe ujae kwenye mfumo pia.Hujaelewa au huna uwezo wa kauelewa.Hijui kwamba Lissu alitakiwa kuwailiza maswali mashahidi wake! Hujui kwamba yeye asingekuwa na mpaka kwamba angewapiga maswali ya Kila aina? Hujui kwamba Lissu ana uwezo wa hali ya juu katika kuuliza maswali.Kama Katuga aliuliza mpaka mali binafsi za Heche ,nini kingemkataza Lissu kuwaperembesha akina Kingai?
kwani "kuwa na upande" ndio kutetea? Shaihidi anakisema anachokijua kuhusu jambo bishaniwa. (fact in issue) Mambo hayo atakayoyasema yanaweza yakawa na faida kwa upande wowote aidha wa mashtaka ama mshtakiwa.This is crap
Unatetea au unashitaki but means ndio ushuhuda
Huwezi kwenda mahakamani ukasema mimi Siko upande wowote lakini natoa ushahidi
Lissu mwenyewe aliwaorodhesha hao kama mashahidi wake kwa upande wa utetezi, wewe unaleta story ambayo Lissu wala Mahakama hawakusema hivyoHawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka mahakama ijue? Kuwa shahidi haimaanishi kumtetea mtu bali kusema ukweli wa unachokifahamu.
DCI ni kiungo muhimu katika yale mashtaka, maana yake yupo kwenye nafasi ya kuthibitisha uhaini wa Lissu. Sasa inakuwaje anakataa kutoa huo ushahidi?
Na kwa nini hawa watu wamegoma kuja mbele ya mahakama? Kwa nini hawako tayari kuja kujibwa maswali ya dodoso hata kwa kusema NDIYO...HAPANA ..SIJUI?
Najiuliza maswali mengi sana. Fikiria hawa ni wakuu wa vyombo wakiongoza taasisi za ulinzi na usalama, iweje wamkimbie au kumuogopa mtu mmoja?
Unazo akili za kunielewa?Lissu mwenyewe aliwaorodhesha hao kama mashahidi wake kwa upande wa utetezi, wewe unaleta story ambayo Lissu wala Mahakama hawakusema hivyo
Wanielewa lkn?Unazo akili za kunielewa?