Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Hujaelewa swali languMnaenda kufanya field
Uliza uongoziHujaelewa swali langu
Mwakani nitajitahidi nitafute viwandani au huko migodini. Mimi sijali kama kazi ni nyingi, at least unakuwa busy. Hii ya kukaa siku nzima is so so boringYou chose comfort zone, ungeenda viwanda vya sementi au migodini usingepata hata muda wa kuangalia hiyo simu yako.
Ndivyo walivyo , wanajua watapata muda wa kupiga picha.Kuna Binti yupo field TASAC kaanza juzi Jana akawa ananilalamikia kuwa anapewa kazi nyingi saana
Kwa course yako jitahidi next time uende
TPA -kigoma,Mtwara
TASAC
Tashico-mwanza
Wonderful siku ya pili tu, kaanza jana kwenda. Dah! Uelewa unatofautiana aseeAina ya wasomi wa namna hii ni tabu ,so una siku ya pili ukipewa kazi utaweza , kufanya kazi ni pamoja na kuzoea mazingira ..Nyie madogo hizo kazi mkipewa mtaanza kuomba excuses , mnakuja sehemu hata kujaza excel hamuwezi , yaani hata kushika mouse hamjui ila mntaka kwenda site sio hivyo mzee ...Field , ni pana sana unatakiwa kujua mazingira ya kazi . Tulia dogo , usome mazingira , jifunze tu kuwahi kazini ...Baadhi ya mambo hauwezi kufanyia kazi kama novice , utaweza kuharibu kazi .
Jifunze hta kutumia excel usiwe na mbwembwe nyingi .
Kwani kazi zinapaswa kuanza siku ya ngapi.Wonderful siku ya pili tu, kaanza jana kwenda. Dah! Uelewa unatofautiana asee
Nitafuata huu ushauriWewe huna uzoefu gen z unataka kuambiwa cha kufanya. Gen z tunao kwamza hamna adabu.asubuhi tunawachkua na staff bus hamna adabu hata kidogo.hampishi seat watu wazima na hamuamkii. Hilo la kwanza. La pili mechanical engineer veta unataka uambiwa cha kufanya. ? Wewe ni tutorial? Si uende kwenye workshop kajia attach na kazi yoyote sema wewe unataka uzunguke ofisin
Though hatujaanza kusoma module za computer (AutoCAD & Solidworks) lakini nimekuelewa unachosema. I will only take the good part of this reply. ThanksAina ya wasomi wa namna hii ni tabu ,so una siku ya pili ukipewa kazi utaweza , kufanya kazi ni pamoja na kuzoea mazingira ..Nyie madogo hizo kazi mkipewa mtaanza kuomba excuses , mnakuja sehemu hata kujaza excel hamuwezi , yaani hata kushika mouse hamjui ila mntaka kwenda site sio hivyo mzee ...Field , ni pana sana unatakiwa kujua mazingira ya kazi . Tulia dogo , usome mazingira , jifunze tu kuwahi kazini ...Baadhi ya mambo hauwezi kufanyia kazi kama novice , utaweza kuharibu kazi .
Jifunze hta kutumia excel usiwe na mbwembwe nyingi .
Shukrani mkuu, ndio nilikuwa nataka nijue maeneo kama haya, mwakani nitajitahidi kuomba hukoKuna Binti yupo field TASAC kaanza juzi Jana akawa ananilalamikia kuwa anapewa kazi nyingi saana
Kwa course yako jitahidi next time uende
TPA -kigoma,Mtwara
TASAC
Tashico-mwanza
Sema ulichokuwa unataka kusema. I'm all ears, hata kama ni kitu negativeWonderful siku ya pili tu, kaanza jana kwenda. Dah! Uelewa unatofautiana asee