Pre GE2025 Kwani kabla ya Tundu Lissu Makamu Wenyeviti alikuwa ni nani? Na aliondokaje? Suala la Lissu kupatanishwa na Mbowe Kanisani ni Utata!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu hii kwa watu wa ccm ndio nafuu, kwa nini unataka chadema iwe imara?
 
Mbowe kuna kitu watu hawajui kwa nini anataka sana uenyekiti
hataki Lissu ampandie kichwani akiwa mwenyekiti. Ndio hivyo tu. Raisi lazima awe mwanachama wa chama cha siasa, Mbowe akiwa Rais, lazima mwenyekiti atam- control, jambo ambalo hataki. Lissu yeye kaisha sema kwamba akiwa Rais, huo uenyekiti ata- resign. Kuwapatanisha hawa wawili ni jambo jepesi tu- wawekeane mkataba wa maandishi kupitia kamati kuu wa nani atafanya nini akiwa nani, ndio wataaminiana maana kwa sasa kila mmoja hamwamini mwenzake- Lissu anamtilia shaka Mbowe na Abdul wake na Mbowe anamtilia shaka Lissu kwamba atatia mchanga kwenye kitumbua chake toka huko ccm ya samia, na ukiangalia sana, washabiki wa ccm humu wanamtaka Mbowe zaidi ya Lissu maana hawataki hizi habari za mchaka mchaka, chinja, aliselema, alijia... wazee wa mara wanasema Busara na nia njema haikubariki tena- hebu wasikilize hapa, wao wanataka kuku aruke na mwewe, ndio hayo tu...
wasikilize hapa:
View: https://youtu.be/0d1QUNFfVoA?si=efIheOZL25Qh6kGn
 
Kupatana hao hakupo tena, sababu tayari mmoja kishaharibu maslahi ya mwingine
 

Samia alimfananisha Tundu Lissu na Simba lakini mimi imho nafikiri tabia za Lissu zinafanana sana na huyu kiumbe.

Kwenye haki zake Nyegere mtatoana roho😆😁

😁😁😆

😆😆

Mungu wa mbinguni tunakushukuru kwa kutuachia huyu Lissu.
 
Nimejiapiza kuwa siku Lissu na Heche wakishinda uchaguzi naagiza ndafu ya mbuzi na konyagi za kutosha.

Masharti kabla kula tutaimba mwimbo wa Taifa halafu mwimbo wa CHADEMA halafu tutaanza kula na kunywa na kumshukuru Mungu.
 
Tundu lissu anajieleza vizuri,alimwambia Akiwa Mwenyekiti atamwachia Mbowe upande wa Uraisi Mbowe hataki,Kwani Mbowe ni nani ,Bora chadema kufa tu,
 
Shida kesho unaweza sikia kafukuzwa uanachama
 
Hivi ule mdahalo utakuepo..? Na kama utakuepo mbowe atapakwa vinyesi na TAL kama nn. Maana hapa nisha soma mchezo upande wa Lissu kuna wanaharakati wengi na wanamengi zaidi sema tu baadhi wanaogopa kivuli cha mwemyekiti FAM inyeshe zaidi
 
Akagombee uraisi Kwa mara ya 2 ndo inamfaa lakini siyo mwenyekiti wa Chadema.
 
Akagombee uraisi Kwa mara ya 2 ndo inamfaa lakini siyo mwenyekiti wa Chadema.
Mtu anaefaa kuwa RAISI wa TANZANIA kwa tiketi ya CHADEMA halafu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA?

Kwanini hamsemi tu kuwa hiyo ni Saccos ya Mangi?
 
Mtu anaefaa kuwa RAISI wa TANZANIA kwa tiketi ya CHADEMA halafu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA?

Kwanini hamsemi tu kuwa hiyo ni Saccos ya Mangi?
CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA NA NI CHAMA CHA WATANZANIA, HAYO YA KINA MANGI NI WEWE NDO UNAJUA.
 
Hiyo hoja iliwavua nguo hadharani wenzako wakawa wanapayuka tu kama wewe hivi🤣🤣
Mimi siyo mwanachama wa Chadema ila napenda vyama vyenye kuleta msimamo usiyoyumbiswa kama Chadema chini ya Mbowe ila kinyume chake ni uzushi na Mimi sipayuki ila nimetoa maoni tuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…