Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku.

baby.png

Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.

Pia soma: Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi
 
Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae ( mbeleni ) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.
Sio kwamba anauliza tu maswali jamani?
 
Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae ( mbeleni ) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.
Unataka angemhoji vipi mkuu?
 
sasa huyu inamuitaje mkenya?
Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.

Nimemaliza na Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!
 
Kudadadeki!!!
 
Ni ya Kitoto na Kipuuzi mno. Ukipata fursa muhimu kama hiyo uliza Critical Questions kwa Maslahi ya wengi wenye Akili.
Una point hapa, na hili ni tatizo la waandishi wengi Tanzania. Kuna wakati unasikiliza interview, hadi unashangaa huyu ni mwandishi au hustler tu? Utakuta mtu anamhoji Lissu wa Chadema, halafu anauliza unafikiri CCM watafanyaje baada ya Chadema kuamua hivyo?

Kwa mfano, mwandishi professional hawezi kuuliza swali linalotokana na tetesi, lakini asilimia 95% ya waandishi wa habari Tanzania utakuta wanauliza swali kama "kuna tetesi kwamba unatembea na mke wa bosi wako, je ni kweli?".

Nakumbuka kulikuwa na hadithi, sijui kama kweli, kwamba kuna mwandishi mmoja Kenya sijui, alimuuliza Nyerere, baada ya Vita Vya Kagera kwisha, "kuna tetesi kwamba Tanzania mnataka kuikalia Uganda, je ni kweli?" Ilisemekana Nyerere alimjibu "wewe ukisikia tetesi unaziamini bila kuzifanyia utafiti kupata ukweli? Kwa hiyo kukiwa na tetesi kwamba mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako, utaamini kwa sababu tu kuna mtu kasema hivyo?"

Na wakati fulani, akihojiwa na waandishi wa habari, Nyerere alikasirika akataka kukatisha mahojiano kwa sababu walikuwa wanamuuliza maswali ya tetesi.
 
Ndiyo maana hakuna Watu ambao NAWADHARAU Tanzania kama Waandishi wa Habari kwani wengi wao hawana Akili.
 
Back
Top Bottom