Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Litokeee lolote hiii mechi isiwepo...hata uyo ayoub angekuepoNa Ayoub si kaumia..!?? Mtaweka PAZIA gani golini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litokeee lolote hiii mechi isiwepo...hata uyo ayoub angekuepoNa Ayoub si kaumia..!?? Mtaweka PAZIA gani golini?
Kwanini?Litokeee lolote hiii mechi isiwepo...hata uyo ayoub angekuepo
Kwanini?
Na ndiyo tofauti yangu ya GENTAMYCINE na Wengine hapa. Yaani hakuna Silaha kubwa niliyonayo na ninayojivunia kama ya Kujiamini Kitaarifa na Kimaarifa ya kujua Mambo / Masuala mengi ya Kimtambuka. Ukiona napigwa mno Mawe hapa jua HATERS wangu wameshindwa kuvaa Viatu vyangu japo wanapambana nami kila Kukicha.Ila we jamaa ni noma
Tokea nimjue miaka ya kuanzia 1997 hasa nilipokuwa nikila sana Hela zake katika Kipindi chake alichokuwa akikiendesha East Africa Radio alikoanzia ambako alikuwa akiuliza Swali ( hasa ya General Knowledge tu ) na ukishinda unajishindia Hela na Zawadi ya CD ya Nyimbo nilijua alikuwa akiivuta mno tu Bangi / Bange na bahati nzuri hata Wafanyakazi wake wengi wa hiyo Media walikuwa wakilijua hilo na wala halikuwa jambo geni Kwao. Na kati ya Wasikilizaji wake Wakubwa ambao ndiyo tulikuwa tukishinda sana Hela zake katika Kipindi chake hicho nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE, Tija Juma ( TJ ) na Roga Roga.Hehe hapo kwenye bange mie chifu Nyabange nikafurahi tu hiiiii
Na labda tu nimwambie Kijakazi Yunus ( Kijah ) kuwa atahangaika sana Kujipendekeza kwa Marais wa Tanzania na Wenyeviti CCM Taifa ili ateuliwe nao lakini hiyo bahati hatoipata kamwe kwakuwa ameshashtukiwa kuwa ni Ndumilakuwili ( Mchana CCM na Usiku ni Upinzani ) na hata kama labda kuna Kauteuzi kokote alikapata huko nyuma ndani ya CCM au Serikali ajue ilikuwa ni Ajali / Bahati mbaya tu.Kweli kabisa, sijui huwa hawajiandai, ila pia general knowledge yao iko chini na hawako updated sana na masuala current. Wakati mwingine wanaulizana maswali wanakosa majibu, na tunategemea wao wenye kipindi ndio wawe na majibu, ukijumlisha na uchawa kipindi kinapoa kabisa. Yule binti unamuona kabisa anaota ateuliwe kila kukicha
Heko mno Mkuu na nasikitika sana kuona hii Post yako Watu hawajailaiki kwani umetema Madini Tukuka ya Ukweli pia.Tunachangamoto ya kuwa na mifumo inayotupeleka pabaya kama nchi, tumekuwa na vyombo vya habari vya kichawa na waandishi wasio na weledi hivyo kupelekea kulisha jamii taarifa ambazo ni matango pori. Hii sio afya kabisa hata wanaofaidika kwa sasa kuna muda itakuja kuwa hatari kwao kwani nchi inajenga watu wasio na mwelekeo wowote bali wanafuata matukio tu.
Ila sasa Anazeeka na hata Tako / Kalio lake nalo si tu linazeeka pia limepungua na kuanza kukosa ule Mvuto uliomtamanisha hadi na Hayati.Lakini pamoja na yote babe kabae ni Babyface flani ivi saafi