Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?

Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?

Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku.

Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.

Pia soma: Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi
Mwanakwetu tushangilie reli achana na kina kabaya.SGR ni game changer.
Kanda ya ziwa kutakucha sana.
 
Mtafute Balozi wa Tanzania hapa Uganda Meja Jenerali Simuli atakupa TAARIFA zangu zaidi na Majibu uyatakayo sawa? Endeleeni tu KUKARIRI kuwa GENTAMYCINE mliyemjua miaka ile au mliyekuwa labda mkimuona Kawe au mnayemuona Kutwa yuko nanyi hapa JamiiForums basi ni Mwenzenu na Kunichukulia Poa.

MWENYEZI MUNGU HUWA HAPANGIWI MUDA WA KUMBARIKI ZAIDI YULE AMTAKAYE NA ALIYEKUWA AKICHEKWA NA KUDHARAULIWA.

Asante Baba Mungu hakika Wewe ni kila Kitu Kwangu NAKUPENDA na NITAKUTUKUZA DAIMA KUPITIA JINA LAKO TUKUFU.
Nisamehe mkuu,hizo ningazi za juu sana.

Ila nilikuuliza beer wanayopewa wanajeshi wa Uganda bure tena wale maofisa kama wewe kwa mwezi Carton 5 za kopo hujanitajia mapaka leo.
 
Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.

Nimemaliza na Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!
Kuna siku aliniomba nimtolee simu yake kwenye mkoba nikakuta used sanitaries ......... Hawezi nijua
 
Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.

Nimemaliza na Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!
Hehe hapo kwenye bange mie chifu Nyabange nikafurahi tu hiiiii
 
Yani wale kampuni nzima ni makunguni hadi aibu
Kweli kabisa, sijui huwa hawajiandai, ila pia general knowledge yao iko chini na hawako updated sana na masuala current. Wakati mwingine wanaulizana maswali wanakosa majibu, na tunategemea wao wenye kipindi ndio wawe na majibu, ukijumlisha na uchawa kipindi kinapoa kabisa. Yule binti unamuona kabisa anaota ateuliwe kila kukicha
 
Nina siku nyingi nimeitizama hiyo chaneli na kusikiliza radio yao nadhani wanapotea mdo mdo
 
Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku.

Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.

Pia soma: Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi
Alikosa wakati wa Magu anabahatisha tena bahati yake wakati wa Mama
 
Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.

Nimemaliza na Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!
Ila we jamaa ni noma
 
Tunachangamoto ya kuwa na mifumo inayotupeleka pabaya kama nchi, tumekuwa na vyombo vya habari vya kichawa na waandishi wasio na weledi hivyo kupelekea kulisha jamii taarifa ambazo ni matango pori. Hii sio afya kabisa hata wanaofaidika kwa sasa kuna muda itakuja kuwa hatari kwao kwani nchi inajenga watu wasio na mwelekeo wowote bali wanafuata matukio tu.
 
Wanahabari Tz wengi ni machawa.

Haiwezekani unapata nafasi adimu ya kuhoji vitu vya msingi unaanza kumwaga sifa.

Acha waendelee kulalamika kuwa tasnia yao bado haijapewa kipaumbele.

Siwatofautishi na yule alopewa nafasi ya kuongea na Rais afanyiwe nini kwa niaba ya wengine.

Hatimae akaomba serikali iwaletee chombo kitakacho rahisisha wao kuuona mwezi na wapunguze bei ya Tende.
 
Ni ya Kitoto na Kipuuzi mno. Ukipata fursa muhimu kama hiyo uliza Critical Questions kwa Maslahi ya wengi wenye Akili.
Sio huyo tu, ni kwa wafanyakazi wote wa clouds media, ni zaidi ya uchawa, ila wanaona bbadhi yao imewasaidia kwa kupata vyeo, u DC!!
 
Back
Top Bottom