GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sio kwamba anauliza tu maswali jamani?Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae ( mbeleni ) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.
sasa huyu inamuitaje mkenya?Mzaliwa wa Mombasa lakini Kwa sasa ana uraia wa Tanzania, alipewa urai kipindi cha mwana chato
Ni ya Kitoto na Kipuuzi mno. Ukipata fursa muhimu kama hiyo uliza Critical Questions kwa Maslahi ya wengi wenye Akili.Sio kwamba anauliza tu maswali jamani?
Ubaya UFALA8 - AUGUST - 2024
UBAYA UBWELAAAAAA...... 😃😃😃😃
Litakufa jitu hiyo siku 😃😃Ubaya UFALA
Unataka angemhoji vipi mkuu?Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae ( mbeleni ) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.
Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.sasa huyu inamuitaje mkenya?
Siku hizi 5imba wanafungwa kitarehe..!! Ya tarehe 5 si unayakumbuka..!!?? Sasa subiri mvua za tarehe 8..!!Litakufa jitu hiyo tarehe, hakuna pacome Wala chama Wala Aziz k ni kufungua magoli tu 😃😃😃😃
Leo ndiyo nimeamini Mkuu.Clouds nzima ni makunguni yale kujikomba komba tu
Kudadadeki!!!Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.
Nimemaliza na Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!
Ataachia lini Urais wa Tanzania ili tumpate Kiongozi mwingine mwenye Uthubutu kama Nyerere, Mkapa na Magufuli?Unataka angemhoji vipi mkuu?
Una point hapa, na hili ni tatizo la waandishi wengi Tanzania. Kuna wakati unasikiliza interview, hadi unashangaa huyu ni mwandishi au hustler tu? Utakuta mtu anamhoji Lissu wa Chadema, halafu anauliza unafikiri CCM watafanyaje baada ya Chadema kuamua hivyo?Ni ya Kitoto na Kipuuzi mno. Ukipata fursa muhimu kama hiyo uliza Critical Questions kwa Maslahi ya wengi wenye Akili.
Ndiyo maana hakuna Watu ambao NAWADHARAU Tanzania kama Waandishi wa Habari kwani wengi wao hawana Akili.Una point hapa, na hili ni tatizo la waandishi wengi Tanzania. Kuna wakati unasikiliza interview, hadi unashangaa huyu ni mwandishi au hustler tu? Utakuta mtu anamhoji Lissu wa Chadema, halafu anauliza unafikiri CCM watafanyaje baada ya Chadema kuamua hivyo?
Kwa mfano, mwandishi professional hawezi kuuliza swali linalotokana na tetesi, lakini asilimia 95% ya waandishi wa habari Tanzania utakuta wanauliza swali kama "kuna tetesi kwamba unatembea na mke wa bosi wako, je ni kweli?".
Nakumbuka kulikuwa na hadithi, sijui kama kweli, kwamba kuna mwandishi mmoja Kenya sijui, alimuuliza Nyerere, baada ya Vita Vya Kagera kwisha, "kuna tetesi kwamba Tanzania mnataka kuikalia Uganda, je ni kweli?" Ilisemekana Nyerere alimjibu "wewe ukisikia tetesi unaziamini bila kuzifanyia utafiti kupata ukweli? Kwa hiyo kukiwa na tetesi kwamba mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako, utaamini kwa sababu tu kuna mtu kasema hivyo?"
Na wakati fulani, akihojiwa na waandishi wa habari, Nyerere alikasirika akataka kukatisha mahojiano kwa sababu walikuwa wanamuuliza maswali ya tetesi.
je kama hawa 👇Ndiyo maana hakuna Watu ambao NAWADHARAU Tanzania kama Waandishi wa Habari kwani wengi wao hawana Akili.
Mshenzi Sana huyo Aisha manula ikiwezekana afungiwe kucheza mpira ajishughulishe mambo mengine.Safi sana Mkuu. Nimecheka mpaka basi.