GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Amesharogwa sasa hivi utamsikia amekuwa Chizi. Hawezi kutuumiza wana Simba SC wote halafu akaachwa hivi hivi.Mshenzi Sana huyo Aisha manula ikiwezekana afungiwe kucheza mpira ajishughulishe mambo mengine.
Hayo utamuuliza wewe ukikutana naye na ukipata fursa ya kumhojiAtaachia lini Urais wa Tanzania ili tumpate Kiongozi mwingine mwenye Uthubutu kama Nyerere, Mkapa na Magufuli?
Na ndiyo Maswali ya Critical Journalist anayejitambua duniani Mkuu.Hayo utamuuliza wewe ukikutana naye na ukipata fursa ya kumhoji
😃😃😃😃 Bora alogwe tu UBAYA UBWELAAA TUUU...Amesharogwa sasa hivi utamsikia amekuwa Chizi. Hawezi kutuumiza wana Simba SC wote halafu akaachwa hivi hivi.
Amesharogwa sasa hivi utamsikia amekuwa Chizi. Hawezi kutuumiza wana Simba SC wote halafu akaachwa hivi hivi.
Ngoja tumpe Babie hii post akuchukulie sheria maana si kwa kumsingizia mtu anavuta bange kisa kutaka sifa.Asili ya Babie Kabae ni Kenya na hata Ndugu zake anaokaa nao hapo Dar es Salaam ni Wakenya ila Yeye alipata Uraia wa Tanzania hivi karibuni. Namjua huyo Dada ndani nje hadi na Bange zake anazopenda Kuvuta na Kijiwe chake anachopenda kwenda Kununua.
Nimemaliza na Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!
Eti"Mama wewe malkia wako wa nguvu ni nani? "Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku.
Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu.
au nikupe na Udhaifu wake mwingine ili umjumuishie kabisa katika hilo ambalo unataka kumuwasilishia Kwake ulijue?Ngoja tumpe Babie hii post akuchukulie sheria maana si kwa kumsingizia mtu anavuta bange kisa kutaka sifa.
Hovyo kabisa huyo Dada.Eti"Mama wewe malkia wako wa nguvu ni nani? "
Tupe kaka,afu haya mambo unayajuaje na uko Uganda Broau nikupe na Udhaifu wake mwingine ili umjumuishie kabisa katika hilo ambalo unataka kumuwasilishia Kwake ulijue?
Hapana hayo maswali ni ya Journalist mwenye mlengo wa upinzani. Itafaa muwe na vyombo vya habari vya aina hiyo.Na ndiyo Maswali ya Critical Journalist anayejitambua duniani Mkuu.
Ndiyo mkiwa mnaambiwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na Kimaarifa msiwe mnashupaza Shingo Kukataa. Halafu sijui ni kwanini kuwa Kwangu huku / hapa Uganda baadhi yenu Majuha kumewauma mno ila nashukuru sana kwa Baraka zake Mwenyezi Mungu na Heshima Kubwa ninayoipata na Kuiangaza vyema nchi yangu ya Tanzania kwa Jambo kubwa na jema ambalo nalifanya huku ambalo hata Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa nchini Uganda Meja Jenerali Simuli analijua na tayari hata Mheshimiwa Rais Samia nae ameshajulishwa na ndiyo maana naheshimishwa sawa sawa na Diplomat.Tupe kaka,afu haya mambo unayajuaje na uko Uganda Bro
barikiwa mkuu Genta,Bado jeshini au kutengo ganiNdiyo mkiwa mnaambiwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na Kimaarifa msiwe mnashupaza Shingo Kukataa. Halafu sijui ni kwanini kuwa Kwangu huku / hapa Uganda baadhi yenu Majuha kumewauma mno ila nashukuru sana kwa Baraka zake Mwenyezi Mungu na Heshima Kubwa ninayoipata na Kuiangaza vyema nchi yangu ya Tanzania kwa Jambo kubwa na jema ambalo nalifanya huku ambalo hata Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa nchini Uganda Meja Jenerali Simuli analijua na tayari hata Mheshimiwa Rais Samia nae ameshajulishwa na ndiyo maana naheshimishwa sawa sawa na Diplomat.
Sina cha KUMLIPA MWENYEZI MUNGU zaidi tu ya kusema ASANTE KWAKE na kuendelea KUMUABUDU na KUMUAMINI 24/7.
Nimemaliza.
Mtafute Balozi wa Tanzania hapa Uganda Meja Jenerali Simuli atakupa TAARIFA zangu zaidi na Majibu uyatakayo sawa? Endeleeni tu KUKARIRI kuwa GENTAMYCINE mliyemjua miaka ile au mliyekuwa labda mkimuona Kawe au mnayemuona Kutwa yuko nanyi hapa JamiiForums basi ni Mwenzenu na Kunichukulia Poa.barikiwa mkuu Genta,Bado jeshini au kutengo gani
Friji imeshaharibika hiyo Mkuu tokea 2009.Demu namtaka huyu sana
asante sana. kuna tofauti kubwa sana kati ya waandishi wa habari wa Tanzania NA wa Kenya. nilisikiliza interview ya RUTO na wandishi kupita KTN ilikuwa ya moto sana. na RUTO wala hata hajakunja sura. alihojiwa kama raiya wa kawaida tuUna point hapa, na hili ni tatizo la waandishi wengi Tanzania. Kuna wakati unasikiliza interview, hadi unashangaa huyu ni mwandishi au hustler tu? Utakuta mtu anamhoji Lissu wa Chadema, halafu anauliza unafikiri CCM watafanyaje baada ya Chadema kuamua hivyo?
Kwa mfano, mwandishi professional hawezi kuuliza swali linalotokana na tetesi, lakini asilimia 95% ya waandishi wa habari Tanzania utakuta wanauliza swali kama "kuna tetesi kwamba unatembea na mke wa bosi wako, je ni kweli?".
Nakumbuka kulikuwa na hadithi, sijui kama kweli, kwamba kuna mwandishi mmoja Kenya sijui, alimuuliza Nyerere, baada ya Vita Vya Kagera kwisha, "kuna tetesi kwamba Tanzania mnataka kuikalia Uganda, je ni kweli?" Ilisemekana Nyerere alimjibu "wewe ukisikia tetesi unaziamini bila kuzifanyia utafiti kupata ukweli? Kwa hiyo kukiwa na tetesi kwamba mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako, utaamini kwa sababu tu kuna mtu kasema hivyo?"
Na wakati fulani, akihojiwa na waandishi wa habari, Nyerere alikasirika akataka kukatisha mahojiano kwa sababu walikuwa wanamuuliza maswali ya tetesi.
Labda niku sahihishe kidogo najua ulikuwa bado huja zaliwa. Kuna kipindi Rais Moi kidogo apinduliwe na jeshi lake (KDF). Akina Cpl Ochuka na wenzake. Mpango wao hau kufanikiwa wakakimbilia Tanzania, tukawapokea na ndege yao ya kijeshi, kwani walikuwa wana a ga. Kipindi hicho hicho Nyerere alikuwa na safari ya kwenda UN, akiwa on transit Embakasi International Airport Sasa Jomo Kenyatta International Airport mwandish mmoja 'akayatimba' akamuuliza Nyerere kuwa anahusika ktk njama za kumpindua Moi. Jibu lilikuwa ' Kama unge ambiwa mimi nili lala na mamako nikakuzaa wewe, ungekurupuka bila kufanya uchunguzi na kuja hapa na kuniuliza Eti mimi ni babako? Vicheko vilivyo lipuka hapo jamaa alit amani ardhi immeze.Una point hapa, na hili ni tatizo la waandishi wengi Tanzania. Kuna wakati unasikiliza interview, hadi unashangaa huyu ni mwandishi au hustler tu? Utakuta mtu anamhoji Lissu wa Chadema, halafu anauliza unafikiri CCM watafanyaje baada ya Chadema kuamua hivyo?
Kwa mfano, mwandishi professional hawezi kuuliza swali linalotokana na tetesi, lakini asilimia 95% ya waandishi wa habari Tanzania utakuta wanauliza swali kama "kuna tetesi kwamba unatembea na mke wa bosi wako, je ni kweli?".
Nakumbuka kulikuwa na hadithi, sijui kama kweli, kwamba kuna mwandishi mmoja Kenya sijui, alimuuliza Nyerere, baada ya Vita Vya Kagera kwisha, "kuna tetesi kwamba Tanzania mnataka kuikalia Uganda, je ni kweli?" Ilisemekana Nyerere alimjibu "wewe ukisikia tetesi unaziamini bila kuzifanyia utafiti kupata ukweli? Kwa hiyo kukiwa na tetesi kwamba mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako, utaamini kwa sababu tu kuna mtu kasema hivyo?"
Na wakati fulani, akihojiwa na waandishi wa habari, Nyerere alikasirika akataka kukatisha mahojiano kwa sababu walikuwa wanamuuliza maswali ya tetesi.
Hahaha! Haya Mkuu, shukurani kwa kuweka rekodi sawa!Labda niku sahihishe kidogo najua ulikuwa bado huja zaliwa. Kuna kipindi Rais Moi kidogo apinduliwe na jeshi lake (KDF). Akina Cpl Ochuka na wenzake. Mpango wao hau kufanikiwa wakakimbilia Tanzania, tukawapokea na ndege yao ya kijeshi, kwani walikuwa wana a ga. Kipindi hicho hicho Nyerere alikuwa na safari ya kwenda UN, akiwa on transit Embakasi International Airport Sasa Jomo Kenyatta International Airport mwandish mmoja 'akayatimba' akamuuliza Nyerere kuwa anahusika ktk njama za kumpindua Moi. Jibu lilikuwa ' Kama unge ambiwa mimi nili lala na mamako nikakuzaa wewe, ungekurupuka bila kufanya uchunguzi na kuja hapa na kuniuliza Eti mimi ni babako? Vicheko vilivyo lipuka hapo jamaa alit amani ardhi immeze.
Tetesi ndani ya katazo la tetesi. Kumbe tetesi hazikwepeki eeh?!Nakumbuka kulikuwa na hadithi, sijui kama kweli, kwamba kuna mwandishi mmoja Kenya sijui, alimuuliza Nyerere, baada ya Vita Vya Kagera kwisha, "kuna tetesi kwamba Tanzania mnataka kuikalia Uganda, je ni kweli?" Ilisemekana Nyerere alimjibu "wewe ukisikia tetesi unaziamini bila kuzifanyia utafiti kupata ukweli? Kwa hiyo kukiwa na tetesi kwamba mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako, utaamini kwa sababu tu kuna mtu kasema hivyo?"