Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?

Mwanakwetu tushangilie reli achana na kina kabaya.SGR ni game changer.
Kanda ya ziwa kutakucha sana.
 
Nisamehe mkuu,hizo ningazi za juu sana.

Ila nilikuuliza beer wanayopewa wanajeshi wa Uganda bure tena wale maofisa kama wewe kwa mwezi Carton 5 za kopo hujanitajia mapaka leo.
 
Kuna siku aliniomba nimtolee simu yake kwenye mkoba nikakuta used sanitaries ......... Hawezi nijua
 
Hehe hapo kwenye bange mie chifu Nyabange nikafurahi tu hiiiii
 
Yani wale kampuni nzima ni makunguni hadi aibu
Kweli kabisa, sijui huwa hawajiandai, ila pia general knowledge yao iko chini na hawako updated sana na masuala current. Wakati mwingine wanaulizana maswali wanakosa majibu, na tunategemea wao wenye kipindi ndio wawe na majibu, ukijumlisha na uchawa kipindi kinapoa kabisa. Yule binti unamuona kabisa anaota ateuliwe kila kukicha
 
Nina siku nyingi nimeitizama hiyo chaneli na kusikiliza radio yao nadhani wanapotea mdo mdo
 
Alikosa wakati wa Magu anabahatisha tena bahati yake wakati wa Mama
 
Ila we jamaa ni noma
 
Tunachangamoto ya kuwa na mifumo inayotupeleka pabaya kama nchi, tumekuwa na vyombo vya habari vya kichawa na waandishi wasio na weledi hivyo kupelekea kulisha jamii taarifa ambazo ni matango pori. Hii sio afya kabisa hata wanaofaidika kwa sasa kuna muda itakuja kuwa hatari kwao kwani nchi inajenga watu wasio na mwelekeo wowote bali wanafuata matukio tu.
 
Wanahabari Tz wengi ni machawa.

Haiwezekani unapata nafasi adimu ya kuhoji vitu vya msingi unaanza kumwaga sifa.


Acha waendelee kulalamika kuwa tasnia yao bado haijapewa kipaumbele.


Siwatofautishi na yule alopewa nafasi ya kuongea na Rais afanyiwe nini kwa niaba ya wengine.

Hatimae akaomba serikali iwaletee chombo kitakacho rahisisha wao kuuona mwezi na wapunguze bei ya Tende.
 
Ni ya Kitoto na Kipuuzi mno. Ukipata fursa muhimu kama hiyo uliza Critical Questions kwa Maslahi ya wengi wenye Akili.
Sio huyo tu, ni kwa wafanyakazi wote wa clouds media, ni zaidi ya uchawa, ila wanaona bbadhi yao imewasaidia kwa kupata vyeo, u DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…