Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake
Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu binti kwa sasa tu wapenzi japo hatuko wazi sana kwenye jamii. Chances za kuchakata mbususu za majirani wengine, marafiki zake na wanawake wengine zaongezeka
Kwani kuna ulazima wa mimi kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa? Au niwapuuze pasi na kujali wataongea nini kunihusu?