Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ndio maana tukaumbwa na IQ tofauti, lakini kutokana na uchunguzi wa kisayansi, endapo utafagilia jambo la mtu, ujue wewe na yeye akili yenu ni mojaMe napiga nyeto sana ila akili za kuwazaga kuandika ujinga kama huu sinaga.
Nimekosa mkuu, kwa kuwa wao huwaza sana maendeleo, mimi nawaza mapenzi na ndo maana nikakimbilia MMU nikiamini kuwa initial M ya kwanza inahusu Mapenziuko kwenu umekosa kabisa mtu ukashauriana nae kweli
Na kweli mkuu, watoto wa 2000's wanatuhangaisha sana. Pia wazee wa 60's wanatushangaza sana kwa kukimbilia kicomment nyuzi za watoto wa 2000'sUtoto raha sana
Na ndio maana nimekuja kuomba ushauri. Kichwa changu bado kidogo sana kwenye suala zima la kufikiriaKwani hakuna ulazima?
Ukishaoa tulia na mmoja. Kamaa bado unatafuta, kula yoyote ambae sheria inaruhusu.Na ndio maana nimekuja kuomba ushauri. Kichwa changu bado kidogo sana kwenye suala zima la kufikiria
Shukrani kwa ushauri mkuuUkishaoa tulia na mmoja. Kamaa bado unatafuta, kula yoyote ambae sheria inaruhusu.
😂😂Dah! Na kweli, sisi kama taifa bado tuna safari ndefu sana. Ifikie kipindi Melo atutenganishe tu, hawa watoto wa Jakaya watakuja kutuharibia forum kwa kweliForm six wapo mtaani tutakoma na nyuzi za watoto
Na kweli tu, wacha nisambaze upendo, vitajulikana mbele ya safariWe fanya vile nafsi yako inaridhika maisha yenyewe mafupi halafu tunaishi mara moja tu
Ndivyo ilivyo mwanaume ukiwa singo au mpenzi wako hajulikani mademu wanakuogopa ila wakishamjua demu/mkeo ndio wanaanza kujileta leta. Hapo ukiwapotezea utaanza kuitwa majina ya ovyo mara upinde, dume suruali n.k cha kukushauri hapo we wapelekee moto tu bora lawama kuliko fedheaHii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake
Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu binti kwa sasa tu wapenzi japo hatuko wazi sana kwenye jamii. Chances za kuchakata mbususu za majirani wengine, marafiki zake na wanawake wengine zaongezeka
Kwani kuna ulazima wa mimi kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa? Au niwapuuze pasi na kujali wataongea nini kunihusu?
A big NOHii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake
Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu binti kwa sasa tu wapenzi japo hatuko wazi sana kwenye jamii. Chances za kuchakata mbususu za majirani wengine, marafiki zake na wanawake wengine zaongezeka
Kwani kuna ulazima wa mimi kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa? Au niwapuuze pasi na kujali wataongea nini kunihusu?
Wewe ndio Yule melk the story teller ulie lalama kubadilisha jinaaaHii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake