Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Ndio kama nilivyosema,anahitaji couselling,sio yeye peke yake anayechanganyakiwa.as far as i know hili sasa ni janga la kitaifa.Akina dada wengi sana kwa sasa wanapitia hali kama hiyo.Ndio maana unaona kwenye matangazo ya kanisani wanaita watu waombewe wapate waume.Kama ni rafiki yako jaribu kuwa naye karibu na kumshauri aache papala kwa sababu aanaweza pata mtu asiyemfaa ikiwa bora mara kumi angekaa single.Pia awe ni mtu wa ibada sana na kumuomba Mungu atapata AMANI nafsini mwake na moyo wa uvumilivu.Kuna watu wana 40 na wanaolewa vilevile hivo ajipe moyo tu atashinda.Pia kama GAIJIN alivyoshauri ajaribu kupunguza masharti,mfano kama yeye alikuwa anataka mtu mwenyeelimu sawa na yeye labda mastas afikirie hata kuolewa na std 7(na vitu kama hivyo)

Thanx mama Charity pia nadhani hii ya ku-force marriage ndio inachangia unajikuta ..umemchoka mwenza wako
ndoa nyingi kuvunjika kwa kukosa mapenzi na matatizo mengineyo mengi katika ndoa...
Nilipokuwa na umri fulani wa kitoto mie nilikuwa natamani tu kuvaa shela hahahaha
 
No Comment, But I do Pray for Her So That God Will Grant Her Wish. Ni mtihani mkubwa kwa WADADA
 
Waliomo Ndani wanataka kutoka walio nje wanatamani kuingia kwenye Boti hii
 
thanks Gaijin lakini je kama mme haonekani unaweza kuamua kujipatia katoto kako kisha una-close chapter ama wewe unaonaje ?

oow thats so sad if she has wasted her time with some stupid junk who was using herall the time... when will the girls learn that if a guy really care about you he will have a committed relationship with you... or at least keep their pants up...
 
Kuna Binti mmoja yuko 32yrs old sasa amekata tamaa kabisa namuona anakonda kwa mawazo anadai mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake ..anaolewa
Na swali analojiuliza kila leo kwa nini yeye haolewi???
Nimejaribu kuuliza kisa nini hasa anadai umri wake umeenda sana ,anahitaji kuwa na family, anahitaji kupata mtoto
Kwani ukikaa bila kuoa au kuolewa ni tatizo wanajamii ?
Hebu tumsaidie dada huyu kimawazo
1. NIONAVYO MIMI KUOLEWA NI HIARI.LAKINI KUTOKANA NA HALI ILIVYO BORA UOLEWE KULIKO UBAKI UKIZINI.NA MWISHO UUKWAE UKIMWI.
2.MIAKA 32 HAJAOLEWA, HAPA KUNA TECHNICAL ERRORS/MAKOSA YA KIUFUNDI.
Sio huyu dada tu,bali ni akina dada wengi huyafanya hayo makosa ya kiufundi.NI MAMBO MENGI SANA DADA ZETU WANAKOSEA,
A. UNAWEZA UKAMTONGOZA MWANAMME LAKINI NI KOSA LA KIUFUNDI,KUMWELEZA AKUOE(HAPA NAZUNGUMZIA WANAUME WAKITANZANIA)ukifanya hivyo utapoteza uwezekano wa kuolewa kwa asilimia 80.Hilo TAMKO au jambo la ''NIOE'' masikioni mwa mwanamme LINASTUA kidogo,kama sio kutisha.
B.Usimwonyeshe dalili zozote kuwa una shida/dhiki sana ya kuolewa.
hizi ni baadhi tu kati ya makosa zaidi ya 20 wanayoyafanya akina dada siwezi andika kila kitu hapa.
CHA KUFANYA;
1.Mpende sana mchumba/mpenzi wako
2.Matendo yako yaonyeshe kuwa unaweza kuwa mke mwema akiamua kukuoa.
3.Tabia yako idhihirishe kuwa huna mwanamme mwingine zaidi yake.
4.Mwombe sana mungu akupe mume bora sio bora mume.
5. Jua interest/mambo anayoyapenda zake zote.Pata asilimia 100 katika hizo interest.Hapo atatangaza ndoa tu na ukikataa,usishangae ukikuta kajinyonga.
yapo mambo mengi ya kufanya,nimeshawashuri akina dada wengi tu na tayari wameolewa. HII ISSUE NI RAHISI SANA,KAMA KUMSUKUMA MLEVI. LAKINI PIA NI NGUMU MMNO KUMBUKA UNACHEZA NA AKILI NA MAISHA YA MTU, HUYU DADA ASIPOANGALIA ATAFIKA MIAKA 40 HAJAOLEWA,LAKINI CHA AJABU KILA LEO TENA WANAWAKE WABAYA KULIKO YEYE WANAOLEWA.NIMESEMA KUNA MAKOSA MENGI YA KIUFUNDI DADA ZETU MNAYAFANYA,MATOKEO YAKE HAKUNA ANAETAMANI KUWAOENI.WASICHOKIJUA BAADHI YA WANAWAKE NI KUWA WANAUME WENGI SANA WANATAKA KUOA. TATIZO NI YUKO WAPI WA KUOA????matokeo yake ukiwauliza
fulani utaoa lini? watakujibu ''bado nipo nipo kwanza''.
hata hivyo haya ni mawazo yangu.
 
Kwa wengine kuoa/kuolewa ni lazima ndio maana leo hii watu huishi na watu wasiowapenda kisa muri umeenda..ha ha ha lol
 
But 32 is nothing honestly... she should not try very hard to find a husband... there are things we should leave in Gods hand and pray for his help... u never know what he has planned for her.. so leave it GOD...

and if she want a child very badly may be she can try to adopt an orphan ( is it allowed by the Gov. of Tz to legally adopt a child? ) because I dont think it is a very good idea to have illegitimate child...
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Page layout inanikwaza hata kuchangia naona uvivu. I hope the mods are busy doing something about this.
 
thanks gaijin lakini je kama mme haonekani unaweza kuamua kujipatia katoto kako kisha una-close chapter ama wewe unaonaje ?
ukisema mume hapatikani,hatapatikana nweli. Wapo wanaume wengi sana sana wangependa kuoa,.....tatizo wamwoe nani?au wa kuoa yupo wapi?
 
Page layout inanikwaza hata kuchangia naona uvivu. I hope the mods are busy doing something about this.

karibu Masaki utazoea tu!!!

@FL1 mwambie dada atulie before she makes a mistake of a life time

akumbuke ndoa ni kifungo cha maisha, sasa kama anataka kuolewa tu for the sake of getting married naogopa atakuja kujuta baadae!!

mkumbushe na mfano wa rais wa malawi na mkewe wamefunga ndoa wako wazee

asiogope yeye bado msichana!!! akikosa ajue kuwa she is too good hakuna mwanaume atakayemfaa.......(lol!!)
 
1. NIONAVYO MIMI KUOLEWA NI HIARI.LAKINI KUTOKANA NA HALI ILIVYO BORA UOLEWE KULIKO UBAKI UKIZINI.NA MWISHO UUKWAE UKIMWI.
2.MIAKA 32 HAJAOLEWA, HAPA KUNA TECHNICAL ERRORS/MAKOSA YA KIUFUNDI.
Sio huyu dada tu,bali ni akina dada wengi huyafanya hayo makosa ya kiufundi.NI MAMBO MENGI SANA DADA ZETU WANAKOSEA,
A. UNAWEZA UKAMTONGOZA MWANAMME LAKINI NI KOSA LA KIUFUNDI,KUMWELEZA AKUOE(HAPA NAZUNGUMZIA WANAUME WAKITANZANIA)ukifanya hivyo utapoteza uwezekano wa kuolewa kwa asilimia 80.Hilo TAMKO au jambo la ''NIOE'' masikioni mwa mwanamme LINASTUA kidogo,kama sio kutisha.
B.Usimwonyeshe dalili zozote kuwa una shida/dhiki sana ya kuolewa.
hizi ni baadhi tu kati ya makosa zaidi ya 20 wanayoyafanya akina dada siwezi andika kila kitu hapa.
CHA KUFANYA;
1.Mpende sana mchumba/mpenzi wako
2.Matendo yako yaonyeshe kuwa unaweza kuwa mke mwema akiamua kukuoa.
3.Tabia yako idhihirishe kuwa huna mwanamme mwingine zaidi yake.
4.Mwombe sana mungu akupe mume bora sio bora mume.
5. Jua interest/mambo anayoyapenda zake zote.Pata asilimia 100 katika hizo interest.Hapo atatangaza ndoa tu na ukikataa,usishangae ukikuta kajinyonga.
yapo mambo mengi ya kufanya,nimeshawashuri akina dada wengi tu na tayari wameolewa. HII ISSUE NI RAHISI SANA,KAMA KUMSUKUMA MLEVI. LAKINI PIA NI NGUMU MMNO KUMBUKA UNACHEZA NA AKILI NA MAISHA YA MTU, HUYU DADA ASIPOANGALIA ATAFIKA MIAKA 40 HAJAOLEWA,LAKINI CHA AJABU KILA LEO TENA WANAWAKE WABAYA KULIKO YEYE WANAOLEWA.NIMESEMA KUNA MAKOSA MENGI YA KIUFUNDI DADA ZETU MNAYAFANYA,MATOKEO YAKE HAKUNA ANAETAMANI KUWAOENI.WASICHOKIJUA BAADHI YA WANAWAKE NI KUWA WANAUME WENGI SANA WANATAKA KUOA. TATIZO NI YUKO WAPI WA KUOA????matokeo yake ukiwauliza
fulani utaoa lini? watakujibu ''bado nipo nipo kwanza''.
hata hivyo haya ni mawazo yangu.
Mawazo yako nitayafikisha kwa mhusika ...
 
Kwa wengine kuoa/kuolewa ni lazima ndio maana leo hii watu huishi na watu wasiowapenda kisa muri umeenda..ha ha ha lol

Kwa mie naona kama asilazimishe kama kweli anania hiyo amlilie mungu kwa imani atajibiwa maombi yake ..
Kweli si kweli GS ???
 
ndoa tamu sana jamani!...........
acha kabisa...........
 
karibu Masaki utazoea tu!!!

@FL1 mwambie dada atulie before she makes a mistake of a life time

akumbuke ndoa ni kifungo cha maisha, sasa kama anataka kuolewa tu for the sake of getting married naogopa atakuja kujuta baadae!!

mkumbushe na mfano wa rais wa malawi na mkewe wamefunga ndoa wako wazee

asiogope yeye bado msichana!!! akikosa ajue kuwa she is too good hakuna mwanaume atakayemfaa.......(lol!!)

thanx BHT mawazo yako matamu kama asali...Nitamfungulia Jioni post yake apate mawazo ya wadau

Mie nadhani mme ni majaaliwa ya mungu
 
me nadhani kuolewa ni mpango wa mungu kwakuwa ukilazimisha kama anayvosema mwanume yoyote akitokea anaweza pata matatizo na hyo ndoa na ikapelekea hata kuvunjika muda si mrefu kwa umri huo bado apige goti azidi kuomba na mungu atamsikia
 
jaribu la mwanamke kuto kuolewa ni tusi kubwa

kuolewa/kuoa kunaleta heshima kubwa.

huyo dada kunha mahali alikosea au alichagua sana mwisho umri umetupa mkono.
aendelee kusali atapata mume wa maisha yake
 
hayo mawazo hasi ndio yanaleta desparation kama hizo

yanapelekea watu kujilazimisha ndoa na wenzi ambao 'they were not meant for each other'

kama ilivo kwa mke mwema hutoka kwa Mungu basi na mume mwema kadhalika.

subira, sala is all one needs
vinginevyo najua am too good for any man kunioa!!!
 
Back
Top Bottom