FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ndio kama nilivyosema,anahitaji couselling,sio yeye peke yake anayechanganyakiwa.as far as i know hili sasa ni janga la kitaifa.Akina dada wengi sana kwa sasa wanapitia hali kama hiyo.Ndio maana unaona kwenye matangazo ya kanisani wanaita watu waombewe wapate waume.Kama ni rafiki yako jaribu kuwa naye karibu na kumshauri aache papala kwa sababu aanaweza pata mtu asiyemfaa ikiwa bora mara kumi angekaa single.Pia awe ni mtu wa ibada sana na kumuomba Mungu atapata AMANI nafsini mwake na moyo wa uvumilivu.Kuna watu wana 40 na wanaolewa vilevile hivo ajipe moyo tu atashinda.Pia kama GAIJIN alivyoshauri ajaribu kupunguza masharti,mfano kama yeye alikuwa anataka mtu mwenyeelimu sawa na yeye labda mastas afikirie hata kuolewa na std 7(na vitu kama hivyo)
Thanx mama Charity pia nadhani hii ya ku-force marriage ndio inachangia unajikuta ..umemchoka mwenza wako
ndoa nyingi kuvunjika kwa kukosa mapenzi na matatizo mengineyo mengi katika ndoa...
Nilipokuwa na umri fulani wa kitoto mie nilikuwa natamani tu kuvaa shela hahahaha