Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

heshima ya mtu inakamilika kwa kuoa/kuolewa?....cku hizi mbona kwenye ndoa uhuni ndio kiboko?.....

NDIYO, heshima ya mtu inakamilika kwa kuoa/kuolewa. Ndivyo ilivo kidini na kimila ya makabila yote. Mtu ambaye hajaoa/hajaolewa na ni mtu mzima anaonekana bado ni mtoto, hajakomaa, nk. Mtu anapata heshima kamili katika jamii anapokuwa na mke/mume wake na mji wake (anakuwa na kwake!) - anakuwa na familia yake (jambo analotamani yule dada yetu).

Kidini pia ndoa inahimizwa na ni alama ya kumkamilisha mwingine (mwanaume/mwanamke). Soma simulizi la Adamu na Eva. Adamu kabla ya kukabidhiwa Eva alikuwa mkiwa/mpweke, hana raha, nk. Lakini baada ya kupewa Eva,Adamu akasema "Ndiyo, huyu ni nyama ya nyama yangu, na mfupa wa mfupa wangu". Akamkubali, akanona sasa yuko fit, amekamilika. Si mpweke tena bali anamwenzake wa kumfanana. Ndoa inawakamilisha wanandoa kwani mwanaume na mwanamke wanahitajiana ili wakamilishane kimwili na kiroho, kisaikolojia na kihisia, nk. nk.

Mshaurini vuzuri yule mdada: kwamba anachokitamani ni kitu chema. jambo la msingi awe na subira. Ipo siku atampata tu wa kumwoa. Tusimpotoshe jamani na misimamo yetu ya kimagharibi au sijui wa kiwapi vile! Lakini ukweli unabaki palepale kwamba ndoa ni ya lazima!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mhuni ni yule anayetumia tendo la ndoa bila ya yeye kuwa ndani ya ndoa

Duh! Kaazi kwer kwer....enhee na yule anayepiga nyeto huku akim-fantasize WomanofSubstance je? Naye ni mhuni? Na hii definition ni ya kwako au?

kwani tendo hilo linakubalika katika ndoa tu na si vingnevo.

Alaaah kumbe eeeh...kwa kujibu wa nani? Biblia? Korani tukufu? imani za jadi?

Na ndiyo maana lina sifa ya kuitwa "tendo la ndoa"; tofauti na ngono, uzinzi, uzinifu, zinaaa.

Ngono, uzinzi, uzinifu, zinaa maana yake ni nini?

Ndiyo maana nikasema huyo dada hataki kuishi kama mhuni, yaani hataki bila ya kuwa katika ndoa kufaidi vya watu wa ndoa, yaani kutumia tendo la ndoa ambalo moja ya malengo yake ni kupata watoto.

Kwa taarifa yako watu walio kwenye ndoa hawana ukiritimba wa kudinya/ kudinywa. Watu wazima walio huru, wenye maafikiano, iwe kwenye ndoa ama nje, wana haki na wako huru kufanya watakavyo ili mradi tu hawavunji sheria au kuingilia uhuru wa wengine. Ndio maana hakuna sheria inayokataza watu wazima wenye maafikiano kudinyana.
 
..saa nyengine unamwacha mtu afanye vile nafsi/roho yake inavyomtuma..!
..asipofanya hivyo huyo dada hataishi kwa amani,ataishi akiamini kuna kitu kimepungua,so mwache aolewe na yeyote...jusy pray huyo 'yeyote' atakayetokea turns out to be the one she was dreaming about/good husband.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
NDIYO, heshima ya mtu inakamilika kwa kuoa/kuolewa.

Hapana. Heshima ya mtu haikamilishwi na ndoa. Heshima ya mtu ni kamili pale uhai unapoanzia. Haiongezwi wala kupunguzwa na ndoa.

Ndivyo ilivo kidini na kimila ya makabila yote.

Na kwale wasioamini dini je? Na toka lini wewe umekuwa msemaje wa makabila yote?

Mtu ambaye hajaoa/hajaolewa na ni mtu mzima anaonekana bado ni mtoto, hajakomaa, nk.

Anaonekana hivyo na nani? Maana mimi naheshimu watu wote (wachanga walio tumboni, watoto, vijana, wazee, hadi wafu)

Mtu anapata heshima kamili katika jamii anapokuwa na mke/mume wake na mji wake (anakuwa na kwake!) - anakuwa na familia yake (jambo analotamani yule dada yetu).

Hapana. Heshima kamili ya mtu inapatikana pale uhai wa mtu unapoanzia. Heshima haikamilishwi na ndoa. Achana na hii dhana potofu.
 
Me ndhani tusirumbane saaaaaaaaaaaaana. FL1, mwambie huyo dada ausikilize moyo wake ila kama anamwamini Mungu, asikubali kuishi kwenye ndoa isiyokuwa na official seal!
 
Kuolewa /kuoa itatokea tu siku yako ikifika na utakapo kutana na mtu mwenye malengo ya kuoa/kuolewa kama wewe.sasa huyu anasema sasa hivi kwamba yoyote atakayetokea anaolewa nini kilimshinda kufanya uamuzi huo mwanzo? Au hawakutokea? Akitaka ku-force hapo ndio atakuja kujuta mwambie achukue mda wake sio kukurupuka tu ndoa sio kitu cha kucheza nacho.
 
Duh! Kaazi kwer kwer....enhee na yule anayepiga nyeto huku akim-fantasize WomanofSubstance je? Naye ni mhuni? Na hii definition ni ya kwako au?.
Kupiga nyeto si kufanya ngono. Ni self abuse. Ni kujichafua mwenyewe. Huo ni mkengeuko. Ni uhuni wa kibinafsi, ndiyo! Kitu kingine ni Ngono. Hii inafanywa na watu wawili. Nao ni uhuni kwani mwanadamu si sawa na mnyama. Sex ina mpango maalum na ethics zake katika kuitumia. haitoshi wawili kukubaliana kuihalalisha


[/QUOTE]Alaaah kumbe eeeh...kwa kujibu wa nani? Biblia? Korani tukufu? imani za jadi?[/QUOTE]

Vitabu vyote vitakatifu vinapinga zinaa. Hata imani za jadi ziliipinga kabla ya uzungu kutuingilia; na ndiyo maana ubikira katika makabila mengi ulikuwa na thamani sana.

.[/QUOTE]Ngono, uzinzi, uzinifu, zinaa maana yake ni nini?.[/QUOTE]

Hapa nilitaka kuweka msisistizo tu wa uchafu unaohalalishwa na wengi humu. hayo ni majina ya kitu kimoja kilekile: Ngono aka uzinzi/zinaa/uzinifu.

.[/QUOTE]Kwa taarifa yako watu walio kwenye ndoa hawana ukiritimba wa kudinya/ kudinywa. Watu wazima walio huru, wenye maafikiano, iwe kwenye ndoa ama nje, wana haki na wako huru kufanya watakavyo ili mradi tu hawavunji sheria au kuingilia uhuru wa wengine. Ndio maana hakuna sheria inayokataza watu wazima wenye maafikiano kudinyana.[/QUOTE]
Hao hata (wale wachache) wakidinya wana dhamiri inawauma kwani wanajua wanafanya isivyo; kuliko wengi hapa wanaotaka uhuni kuwa legalised na kufanywa the daily norm ya maisha. Hii haikubaliki. Tutofautishe kati ya udhaifu wa mtu na indifference.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mimi naamini kwa umri wake alishawahi kuwa na boyfriend na inawezekana kabisa zaidi ya mmoja, sasa tatizo hapo ni kuwa hajui jinsi ya kumbana mwanaume hadi huyo mwanaume abadili mawazo na aamue kumuoa, Nasema hivyo kwa sababu wengi wa wanaume wamejikuta wakioa wanawake ambao hawakutarajia kuwaoa ila tu kutokana na wanawake hao kujua mbinu za kushawishi hatimae wakaolewa na ukisha olewa basi ni kujenga ndoa yako kwa upendo zaidi.
Sasa kitu cha kufanya kwa dada yangu ni kujua namna ya kumbana mwanaume kiustaarabu ili hadi huyo mme akubali kumuoa, ni kweli umri unavyozidi kwenda nayo ni challenge nyingine, Akishindwa kabisa kufanikiwa kupata mme wa kumuoa ahangaikie maisha yake na kama anataka kupata mtoto basi aangalie mbegu ambayo anaamini itamfaa apate angalau mtoto mmoja atakaeweza kumlea kama baba mtoto hatakubali kutunza huyo mtoto.
 
Anachemsha sasa..Kama anasema yeyote atakayetokea atamkubali...si vyema..Inaonyesha alikuwa na maringo mwanzoni huyu!

I support you comrade! mwanamke wa kuolewa hawezi kusema yupo tayari kwa yeyote atakayejitokeza ina maana hata ambaye ameshaua wake zake kwa ngoma! huyo bado mdogo, atulie tu kama kuolewa ataolewa tu.
 
Wanajamvi wenzangu kimsingi "Ndoa" ni agano la msingi kwa binadamu yeyote kama yalivyo maagano mengine kama Upadri,Utawa n.k.Tatizo linakuja kumpata huyu mwenza utakayejiridhisha kuishi naye kwa maisha yako yote haswa sisi wakristo.Hivyo basi ktkt kutafuta mwenza ndipo wengine wanapobahatika kuoa au kuolewa mapema tofauti na wengine lakini la msingi ni Upendo,Kuheshimiana na Uaminifu.Kwa siku za karibuni imeonekana ya kwamba wanaume walio tayari kuingia kwenye Ndoa ni wachache mno ukilinganisha na wasichana wanohitaji kuolewa kwa udi na uvumba.
Hapo ndipo baadhi wanapofikia hatua ya kukata tamaa lakini tumeshashuhudia watu wakioana umri ukiwa umekwenda na bado wakaweza kuishi vizuri ukilinganisha na waliowahi kuingia humo.Hivyo basi jambo la msingi ni kila mmoja kutunza afya yake na kumuomba Mungu kumuangazia mwenza aliye mwema kwa maisha ya baadae.Huu ni mtizamo wangu

Thanx Kagasheki kwa mawazo na mchanganuo mzuri
 
Mimi naamini kwa umri wake alishawahi kuwa na boyfriend na inawezekana kabisa zaidi ya mmoja, sasa tatizo hapo ni kuwa hajui jinsi ya kumbana mwanaume hadi huyo mwanaume abadili mawazo na aamue kumuoa, Nasema hivyo kwa sababu wengi wa wanaume wamejikuta wakioa wanawake ambao hawakutarajia kuwaoa ila tu kutokana na wanawake hao kujua mbinu za kushawishi hatimae wakaolewa na ukisha olewa basi ni kujenga ndoa yako kwa upendo zaidi.
Sasa kitu cha kufanya kwa dada yangu ni kujua namna ya kumbana mwanaume kiustaarabu ili hadi huyo mme akubali kumuoa, ni kweli umri unavyozidi kwenda nayo ni challenge nyingine, Akishindwa kabisa kufanikiwa kupata mme wa kumuoa ahangaikie maisha yake na kama anataka kupata mtoto basi aangalie mbegu ambayo anaamini itamfaa apate angalau mtoto mmoja atakaeweza kumlea kama baba mtoto hatakubali kutunza huyo mtoto.

thanx mndebile kuna wengine hawabaniki unabana yeye anasepa ...
 
Mwanaume kuoa ni lazima, ila mwanamke kuolewa bahati.

Hilo liko wazi kabisa, sihitaji kufafanua zaidi ya hapo.
 
Mwanaume kuoa ni lazima, ila mwanamke kuolewa bahati.

Hilo liko wazi kabisa, sihitaji kufafanua zaidi ya hapo.
he he he hommie nimekupata! tunaoa wenye bahati zao bana!!
 
Mwanaume kuoa ni lazima, ila mwanamke kuolewa bahati.

Hilo liko wazi kabisa, sihitaji kufafanua zaidi ya hapo.


Kumbe ndo hivyo Chrispin ...siamini kabisi kwanini kwako iwe lazima kwangu iwe bahati???
 
1. Kiroho
Kutokana na alivyo desperate ni wazi anaishi kwa kuangalia jamii (utamaduni wetu) unatuua sana kwa kuwatenga wasioolewa, n.k

Ushauri wa kiroho ni mzuri zaidi kama tu huyo mtu siku zote anaishi kiroho, huwa hautolewi tu kama panadol! ni sawa na mtu asiyeombea hata chakula inapofika swala la kuoa au kuolewa ndio unaomba mpaka unasema nimeoteshwa, spritual life should be a part of your life

Kama ni mtu wa kiroho then tell her to read;




Jeremiah 14:22 Are there any among the vanities of the Gentiles that can cause rain? or can the heavens give showers? art not thou he, O LORD our God? therefore we will wait upon thee: for thou hast made all these things.

As the God of salvation.
Psalms 25:5 Lead me in thy truth, and teach me: for thou art the God of my salvation; on thee do I wait all the day.

As the Giver of all temporal blessings.
Psalms 104:27 These wait all upon thee; that thou mayest give them their meat in due season.
Psalms 145:15-16 The eyes of all wait upon thee; and thou givest them their meat in due season. Thou openest thine hand, and satisfiest the desire of every living thing.
Psalm 15:5 "Lead me..., teach me...; on Thee do I wait all the day."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
As an example to fellow believers:
Psalm 52:9 "I will praise Thee for ever, because Thou hast done it: and I will wait on Thy name; for it is good before Thy saints."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
For a defence from the enemy:
Psalm 59:9 "Because of his (the heathen's) strength will I wait upon Thee: for God is my defence."
take heed, be circumspect, watch
KNOWING that the God of our salvation will hear us:
Psalm 40:1 "I waited patiently for the LORD; and He inclined unto me, and heard my cry."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
AND:
Micah 7:7 "Therefore I will look unto the LORD; I will wait for the God of my salvation: my God will hear me."
to wait...to be patient, hope....
With His Word giving us HOPE:
Psalm 130:5 "I wait for the LORD, my soul doth wait, and in His word do I hope."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
Receiving STRENGTH for further service for our waiting:
Isaiah 40:31 "But they that wait upon the LORD shall renew their strength: they shall mount up with wings as eagles; they shall run, and not be weary; and they shall walk, and not faint."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
That when we look back, we will be GLAD we waited on Him:
Isaiah 25:9 And it shall be said in that day, Lo, this is our God; we have waited for Him, and He will save us; this is the LORD; we have waited for Him, we will be glad and rejoice in His salvation."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
AND:
Isaiah 64:4 "For since the beginning of the world men have not heard, nor perceived by the ear, neither hath the eye seen, O God, beside Thee, what He hath prepared for Him that waiteth for Him."
long, tarry, wait
Again, WOW...He even tells us the "tip" we will receive is indescribable!!!!!!
Lamentations 3:25&26 "The LORD is good unto them that wait for Him, to the soul that seeketh Him.
It is good that a man should both hope and quietly wait for the salvation of the LORD."
1. to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
2. still, silent
Hosea 12:6 "Therefore turn thou to thy God: keep mercy and judgment, and wait on thy God continually."
to expect:--gather (together), look, patiently, tarry, wait (for, on, upon).
Romans 8:25 "But if we hope for that we see not, then do we with patience wait for it."
to expect fully:--look (wait) for.

Other ways wanazotumia wenzetu

2. Sperm donors kama anataka watoto tu
3. Sex toys
4. Akubali au awe tayari kuwa nyumba ndogo, mke wa pili au aoe(ageuke sugar mummy), au waganga wa kienyeji


Nimekuandikia nji zote kwani jia ya pili na tatu ni populara sana katika nchi zilizoendelea wakati njia ya nne ni popular sana utaona wazi kabisa njia ya kwanza kama kweli atakubali kumwamini Mungu is the best way na ambayo haina majuto wala wasiwasi, AMWANGALIE MUNGU THATS IS THE KEY, DAUDI WAKATI ANAMPIGA GOLIATHI HAKUMWANGALIA GOLIATHI ALIANGALIA UKUU WA MUNGU.

I have lts of testimony kuonyesha watu walio desperate kama yeye waliishia kupata ukimwi, mtu anafiwa na mke mwenye HIV mwanza , anahaia DSM anakutana na shoga yako anayesema yuko desperate anaishia huko.

To wait on the LORD IS THE KEY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

Waberoya (Today)


SAFARI YANGU YA KWENDA MBINGUNI IMEANZA KAMA IFUATAVYO!
 
Kakague kakague kule! nimesha du the nidiful!! Wapi Keizer?
Kaizer yuko Martenity leave. Alijifungua mimba ya Mussa Hassan Mgosi Jumapili. Hommie Kaizer samahani kama nimekukwaza!

Kumbe ndo hivyo Chrispin ...siamini kabisi kwanini kwako iwe lazima kwangu iwe bahati???
Mwenye mamlaka ya kuoa ndiye anayechagua mke. Mwenye bahati ya kuolewa huteuliwa na mwenye mamlaka ya kuoa.

Have I made myself clear? Wapi chupa yangu.......?
 
Wanawake waache fikra za kuolewa ni kila kitu.....kama asemavyo Chrispin kuolewa inategemea na bahati.
Kuolewa ipo nje ya uwezo wa mwanamke, inategemea na uamuzi wa mwanaume. Kama wewe ni mwanamke na hakuna mwanaume aliyeamua kukuoa, basi hutaolewa.
I just like it when a woman stands on her own without daydreaming of getting married; women avoid the disappointments and keep yourself on the move to your own life!
You will only get married if you are lucky.
 
Back
Top Bottom