Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

thats is the ways life ilivyo.....cha msingi huyo dada kwanza a take breath coz hali aliyopo ni ngumu sana ajaribu kutambua umuhim wake asije akamaliza maisha yake kwa vilio na shida kuliko anayopata sa hivi...
 
Kumbe kuolewa ni bahati ndo nasikia leo xpin na roya roy mmetoa wapi haya maneno ?
 
oow thats so sad if she has wasted her time with some stupid junk who was using herall the time... when will the girls learn that if a guy really care about you he will have a committed relationship with you... or at least keep their pants up...

And be called names?
 
Wanawake waache fikra za kuolewa ni kila kitu.....kama asemavyo Chrispin kuolewa inategemea na bahati.
Kuolewa ipo nje ya uwezo wa mwanamke, inategemea na uamuzi wa mwanaume. Kama wewe ni mwanamke na hakuna mwanaume aliyeamua kukuoa, basi hutaolewa.
I just like it when a woman stands on her own without daydreaming of getting married; women avoid the disappointments and keep yourself on the move to your own life!
You will only get married if you are lucky.
Duh mwenzangu !
 
Miaka 32? - bado saana. Mwanaume yeyote atakayetokea mbele yake? Hapo kuna uongo. Kila mtu ana vigezo na ukomo wa maamuzi. Uhusiano wa mtu na mtu siku zote ni suala la majadiliano (negotiation) si ya mdomo pekee hata ya fikra. Waweza kaa na kupima mwenyewe unavyomuona mtu unayefikiria kujenga uhusiano naye. Si kila wakati utapata vyote utakavyo. Ndo maana kuna kulegeza uzi (compromise) kwenye vigezo vingine. Yawezekana anayetaka kukuoa wewe unaona vigezo havijatimia kama utakavyo na aliyetimiza hana mpango wa kukuoa! Naamini kabisa, pamoja na suala la bahati, mtu hawezi kukosa mtu wa kuoana naye endapo ataendesha mjadala huo kwa ufundi na kuchukuliana na hali halisi. Wenye bahati ni wale ambao vigezo vyao vingi (au vyote) vinakubaliana. Wengi wetu tunaishia kwenye compromise. Cha maana zaidi ni kutolegeza uzi kwenye yale ya msingi kabisa katika nafsi yako. Hapo tena dhana ya "Mwanaume yeyote atakayetokea mbele yake" haikubaliki. Labda kama kuna vigezo vilivyomkwamisha siku nyingi sasa anataka kuvilegeza! Hivyo basi, dada huyo aichunguze nafsi yake vizuri sana katika uhusiano wake na wanaume wote anaokutana nao; je "anajadiliana" nao ipasavyo au anachukulia mambo kienyejienyeji tu akitegemea bahati isiyo yake.
 
huyu Binti nadhani ameshachanganyikiwa akili akiona wenzie wanaolewa yeye yupo tu nadhania anaona raha kuvaa lile shela au ..Nimejaribu kumuonyesha maoni ya watu kasema anayafanyia kazi
 
Ndio kama nilivyosema,anahitaji couselling,sio yeye peke yake anayechanganyakiwa.as far as i know hili sasa ni janga la kitaifa.Akina dada wengi sana kwa sasa wanapitia hali kama hiyo.Ndio maana unaona kwenye matangazo ya kanisani wanaita watu waombewe wapate waume.Kama ni rafiki yako jaribu kuwa naye karibu na kumshauri aache papala kwa sababu aanaweza pata mtu asiyemfaa ikiwa bora mara kumi angekaa single.Pia awe ni mtu wa ibada sana na kumuomba Mungu atapata AMANI nafsini mwake na moyo wa uvumilivu.Kuna watu wana 40 na wanaolewa vilevile hivo ajipe moyo tu atashinda.Pia kama GAIJIN alivyoshauri ajaribu kupunguza masharti,mfano kama yeye alikuwa anataka mtu mwenyeelimu sawa na yeye labda mastas afikirie hata kuolewa na std 7(na vitu kama hivyo)

Charity; ni vigumu sana kumshauri rafiki yako wa karibu, hasa kama huyo ambaye ameshachanganyikiwa kuhusu kuolewa na anaona muda unamkimbia. kama ulivyosema kiukweli mdada akishaona muda unakimbia haolewi huwa anachanganyikiwa sana. mtu kama huyo ushauri anaoutaka ni kumshauri aolewe na si vinginevyo, na hasa kama mshauri ameolewa.
Mimi pia nina rafiki yangu wa karibu sana, hajaolewa. inaniwia vigumu sana kumshauri kuhusu mtu wa kumuoa. kama anavyosema FL1 amefikia kusema yeyote atakayetokea anaolewa, ukimwambia asifanye hivyo anakujibu "wewe kwa vile umeolewa hujui uchungu wa kukaa bila kuolewa". Kwa kweli ni ngumu sana, inabidi kumwombea tu
 
Kaizer yuko Martenity leave. Alijifungua mimba ya Mussa Hassan Mgosi Jumapili. Hommie Kaizer samahani kama nimekukwaza!

Mwenye mamlaka ya kuoa ndiye anayechagua mke. Mwenye bahati ya kuolewa huteuliwa na mwenye mamlaka ya kuoa.

Have I made myself clear? Wapi chupa yangu.......?

That is very very wrong;

Kwanza unakosea kutumia neno kuoa! ni kuoana, pili hutaweza kwenda kumchagua changudoa anayejionyesha na kama ni hivyo basi hutaweza kumjua changu asiyejionyesha wala mwenye tabia mbaya aliyeficha makucha.

That makes swala la kuoa na kuolewa ni bahati pande zote mbili, this starts from religion point of view, tumeona wanawake walivyosababisha matatizo makubwa sana.

However, what makes things paradox here is that men are teasesr or initiator of the whole process, that makes him kuwa mtu wa kubahatisha zaidi kuliko mwanamke ambaye huwa mtu wa kuchagua zaidi au ku-evaluate. Ulichosema kama utakisimamia then vice versa is true.

Wanawake wengi wa kizazi cha sasa huwa waantengeneza wenyewe kuolewa au kutokuolewa, MWANAUME hata akiwa ***** vipi, lazima atamchagua msichana special wa kumweka mke wake.

issue za kuvaa vitopu na kutuonyesha vitovu na mapaja vitu ambavyo vinaleta mshtuko kwa mwanaume ni mwanzo wa utungu wa kufungua njia ya kutokuolewa, wanaume wanavifuata vile ambavyo vimeonekana hadharani wanavitumia na kuvitupa.

Hapa ndio unakuja wakati wa rafiki yake FL1 kujuta kwani siyo kuwa ni bikra! (unikosoe). Kuwa na wasichana wenye bikra chache ni ishara tosha kuwa wanaume wanataka vitu fresh.

ukiwa UDSM kwa mfano wasichana wakiingia mwaka wa kwanza they are all innocent, mwaka wa pili wote wanabadilika na kuwa wehu, wakikaribia kumaliza wanarudi hali ya mwaka wa kwanza kuvaa ijabu na nguo za kusitiri, mwanaume gani na akili zake akajitumbukize kwa hao vinyonga?

mwanamke ambaye anajitunza ama kwa hakika huwa hawachelewi kupata waume, yes ndio wako wanawake machangu walioolewa na hapa ndipo linakuja swala la bahati kwa mwanamke na mkosi kwa mwanaume anayeoa!! au sio Crispin!!
 
Duu sina la kusema.
 
Charity; ni vigumu sana kumshauri rafiki yako wa karibu, hasa kama huyo ambaye ameshachanganyikiwa kuhusu kuolewa na anaona muda unamkimbia. kama ulivyosema kiukweli mdada akishaona muda unakimbia haolewi huwa anachanganyikiwa sana. mtu kama huyo ushauri anaoutaka ni kumshauri aolewe na si vinginevyo, na hasa kama mshauri ameolewa.
Mimi pia nina rafiki yangu wa karibu sana, hajaolewa. inaniwia vigumu sana kumshauri kuhusu mtu wa kumuoa. kama anavyosema FL1 amefikia kusema yeyote atakayetokea anaolewa, ukimwambia asifanye hivyo anakujibu "wewe kwa vile umeolewa hujui uchungu wa kukaa bila kuolewa". Kwa kweli ni ngumu sana, inabidi kumwombea tu

Ni kweli Fixed Point tatizo linakuja binti anatafuta mtu wa kushea nae maisha
katika tabu na raha ,mtu wa kuongea nae ndani ya nyumba haonekani ,,,mme ni rafiki ambaye unambwagia matatizo yako yote anayasikiliza na mnasaidiana kutatua .kwake haonekani
Upweke moyoni umeanza kumtesa ..
hata sijui mie naona tongozane nae kwenye huduma ya maombezi maalum
tufunge na kuomba juu ya hili ...mungu wetu atamjibu shida yake
 
That is very very wrong;

Kwanza unakosea kutumia neno kuoa! ni kuoana, pili hutaweza kwenda kumchagua changudoa anayejionyesha na kama ni hivyo basi hutaweza kumjua changu asiyejionyesha wala mwenye tabia mbaya aliyeficha makucha.

That makes swala la kuoa na kuolewa ni bahati pande zote mbili, this starts from religion point of view, tumeona wanawake walivyosababisha matatizo makubwa sana.

However, what makes things paradox here is that men are teasesr or initiator of the whole process, that makes him kuwa mtu wa kubahatisha zaidi kuliko mwanamke ambaye huwa mtu wa kuchagua zaidi au ku-evaluate. Ulichosema kama utakisimamia then vice versa is true.

Wanawake wengi wa kizazi cha sasa huwa waantengeneza wenyewe kuolewa au kutokuolewa, MWANAUME hata akiwa ***** vipi, lazima atamchagua msichana special wa kumweka mke wake.

issue za kuvaa vitopu na kutuonyesha vitovu na mapaja vitu ambavyo vinaleta mshtuko kwa mwanaume ni mwanzo wa utungu wa kufungua njia ya kutokuolewa, wanaume wanavifuata vile ambavyo vimeonekana hadharani wanavitumia na kuvitupa.

Hapa ndio unakuja wakati wa rafiki yake FL1 kujuta kwani siyo kuwa ni bikra! (unikosoe). Kuwa na wasichana wenye bikra chache ni ishara tosha kuwa wanaume wanataka vitu fresh.

ukiwa UDSM kwa mfano wasichana wakiingia mwaka wa kwanza they are all innocent, mwaka wa pili wote wanabadilika na kuwa wehu, wakikaribia kumaliza wanarudi hali ya mwaka wa kwanza kuvaa ijabu na nguo za kusitiri, mwanaume gani na akili zake akajitumbukize kwa hao vinyonga?

mwanamke ambaye anajitunza ama kwa hakika huwa hawachelewi kupata waume, yes ndio wako wanawake machangu walioolewa na hapa ndipo linakuja swala la bahati kwa mwanamke na mkosi kwa mwanaume anayeoa!! au sio Crispin!!

waberoya hapa nimekosa la kusema du!
 
its our culture. mtu usipoolewa maneno kibao, kuanzia wazazi wako, hadi jamii eti hakuna heshima. na mahitaji ya mwili you know, desire to have a family as she told you, huwa haipendezi kuzaa bila kuolewa.
 
Remmy amesema kweli kabisa.Sehemu kubwa ya masaibu yanayotokana na kutoolewa ni kutokana na stigma inayotoka kwa family na jamii ama society.Observation yangu nikuwa ukikosa olewa wanaume wanakuchukulia kuwa desperate na utatumiwa vibaya usipokuwa strong na kujipenda.Wengi ya hawa wanaume wanelewa kwa sababu ya stigma na socialization ya wanawake single akifika miaka zaidi ya 30 atakuwa desperate na kumdanganya eti utamuoa ni rahisi bali wengi huwa wanamtumia tuu mwanamke halafu wanamtupa ole wake kama akipata mimba.Wanaume wengi huwadanganya single moms wawazaliye kisha wanawatupa.Unakuta mama anawatoto kutoka wanaume tofauti.

What Ican tell you my dear sister is that life is what you make it and people will treat you and carry you how you show them.hata kama Mola kakukujalia mpenzi unaweza ukajipenda na kujibeba kwa heshima kuu hata zaidi ya walio olewa na for sure jamii itaku respect maana wanaona we mwenyewe ume accept hali yako na unajidhamini.Maradhi ni mengi hapa nje kwa hivyo siwezi nika advice utemebe tuu na wanaume,Just turn to God let Him feel the void in your life left by lacking a husband and kids.Akitaka atakujalia usiwe desperate hata kidogo na usimwache mtu yeyote akudharau au kukutumia vibaya kwa sababu ya marital status yako.

Being single sio kilema wala maradhi .thank God u r whole in soul,mind and spirit.take this season in your life to seek God and develop yourself to be the best person you can be unaweza hata ukafanikiwa kiasi cha kuwapita walio kwenye ndoa.Kwa nin unakonda haya mambo ni ya Mungu na wanaojaribu ku force hujipata mashakani.Accept yourself and amke the most of every situation in life.Be a blessing to needy kids and young people who need a mentor.Stop being selfish and remember how many people are less fortunate than you the ones in hospital beds with cancer etc.Count your blessings and focus on other aspects of life and keeep your discipline na heshima zako when you're not even thinking about it God will come thru for you.
Being Single is a Great Blessing.I have two friends both male one 48 another 60 never married ,no kids, they are the most amazing people I have ever met.they are full of integrity and have done so much for others.They have made me realise being single is not an excuse to be mediocre and to live below your God given potential.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
thanks Gaijin lakini je kama mme haonekani unaweza kuamua kujipatia katoto kako kisha una-close chapter ama wewe unaonaje ?

Sasa hako katoto atakafinyanga mwenyewe au itakuwa aje? Maana inaelekea huyo hata hatongozwi (au hatongozeki). Au alikuwa 'anauza ghali', sasa kunakuchwa ameamua kuuza kwa 'bei ya jioni' au tuseme ndio anagawa bure kabisa, au ile kitu ingine inayoitwa 'fungulia mbwa'! Kudadadeki. Lakini mbona miaka 32 bado ni umri mdogo tu, anataka 'kufungulia mbwa' mapema mno
 
Ni kweli Fixed Point tatizo linakuja binti anatafuta mtu wa kushea nae maisha
katika tabu na raha ,mtu wa kuongea nae ndani ya nyumba haonekani ,,,mme ni rafiki ambaye unambwagia matatizo yako yote anayasikiliza na mnasaidiana kutatua .kwake haonekani
Upweke moyoni umeanza kumtesa ..
hata sijui mie naona tongozane nae kwenye huduma ya maombezi maalum
tufunge na kuomba juu ya hili ...mungu wetu atamjibu shida yake
Count on me my dear.
 
sio lazima huyo dada asubiri 'yeyote' atokee....another alternative ni kumleta hapa JEIEFU....akianzisha thread am sure atapata wanaume kibaaaaaaao...:behindsofa:
 
Kuna Binti mmoja yuko 32yrs old sasa amekata tamaa kabisa namuona anakonda kwa mawazo anadai mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake ..anaolewa
Na swali analojiuliza kila leo kwa nini yeye haolewi???
Nimejaribu kuuliza kisa nini hasa anadai umri wake umeenda sana ,anahitaji kuwa na family, anahitaji kupata mtoto
Kwani ukikaa bila kuoa au kuolewa ni tatizo wanajamii ?
Hebu tumsaidie dada huyu kimawazo

Dada!

Awe na subira na awe na marafiki wazuri la sivyo atatumbukia shimo baya, pia ajiangalie kwanini yuko lonely? many times kuna watu wanajiwekea standards wasizoweza kuzifikia na matokeo yake ndiyo hayo, kukosa unachotaka kwa kujikweza. pia inawezekana hauyo friendly, basi abadilike

Ila kikubwa zaidi, amuombe mungu
 
Mwambie aache ujinga; ajiamini na muombe mungu na kama ana tabia yoyote mbaya mshauri aikomeshe mara moja! Kuna mtu kaolewa namfahamu akiwa na 38 yrs!
 
its our culture. mtu usipoolewa maneno kibao, kuanzia wazazi wako, hadi jamii eti hakuna heshima. na mahitaji ya mwili you know, desire to have a family as she told you, huwa haipendezi kuzaa bila kuolewa.

thanx mama Remmy tatizo linakuja kama husband haonekani inakuwaje? in 5-10 years to come nathan hali itakuwa tata zaidi katika ulimwengu huu..
Utandawazi umezua mengi
 
Sasa hako katoto atakafinyanga mwenyewe au itakuwa aje? Maana inaelekea huyo hata hatongozwi (au hatongozeki). Au alikuwa 'anauza ghali', sasa kunakuchwa ameamua kuuza kwa 'bei ya jioni' au tuseme ndio anagawa bure kabisa, au ile kitu ingine inayoitwa 'fungulia mbwa'! Kudadadeki. Lakini mbona miaka 32 bado ni umri mdogo tu, anataka 'kufungulia mbwa' mapema mno

MtuB umenichekesha asante Broda
 
Back
Top Bottom