Jeitakuajejaji
Senior Member
- Mar 18, 2010
- 175
- 394
oow thats so sad if she has wasted her time with some stupid junk who was using herall the time... when will the girls learn that if a guy really care about you he will have a committed relationship with you... or at least keep their pants up...
Duh mwenzangu !Wanawake waache fikra za kuolewa ni kila kitu.....kama asemavyo Chrispin kuolewa inategemea na bahati.
Kuolewa ipo nje ya uwezo wa mwanamke, inategemea na uamuzi wa mwanaume. Kama wewe ni mwanamke na hakuna mwanaume aliyeamua kukuoa, basi hutaolewa.
I just like it when a woman stands on her own without daydreaming of getting married; women avoid the disappointments and keep yourself on the move to your own life!
You will only get married if you are lucky.
Miaka 32? - bado saana. Mwanaume yeyote atakayetokea mbele yake? Hapo kuna uongo. Kila mtu ana vigezo na ukomo wa maamuzi. Uhusiano wa mtu na mtu siku zote ni suala la majadiliano (negotiation) si ya mdomo pekee hata ya fikra. Waweza kaa na kupima mwenyewe unavyomuona mtu unayefikiria kujenga uhusiano naye. Si kila wakati utapata vyote utakavyo. Ndo maana kuna kulegeza uzi (compromise) kwenye vigezo vingine. Yawezekana anayetaka kukuoa wewe unaona vigezo havijatimia kama utakavyo na aliyetimiza hana mpango wa kukuoa! Naamini kabisa, pamoja na suala la bahati, mtu hawezi kukosa mtu wa kuoana naye endapo ataendesha mjadala huo kwa ufundi na kuchukuliana na hali halisi. Wenye bahati ni wale ambao vigezo vyao vingi (au vyote) vinakubaliana. Wengi wetu tunaishia kwenye compromise. Cha maana zaidi ni kutolegeza uzi kwenye yale ya msingi kabisa katika nafsi yako. Hapo tena dhana ya "Mwanaume yeyote atakayetokea mbele yake" haikubaliki. Labda kama kuna vigezo vilivyomkwamisha siku nyingi sasa anataka kuvilegeza! Hivyo basi, dada huyo aichunguze nafsi yake vizuri sana katika uhusiano wake na wanaume wote anaokutana nao; je "anajadiliana" nao ipasavyo au anachukulia mambo kienyejienyeji tu akitegemea bahati isiyo yake.
Ndio kama nilivyosema,anahitaji couselling,sio yeye peke yake anayechanganyakiwa.as far as i know hili sasa ni janga la kitaifa.Akina dada wengi sana kwa sasa wanapitia hali kama hiyo.Ndio maana unaona kwenye matangazo ya kanisani wanaita watu waombewe wapate waume.Kama ni rafiki yako jaribu kuwa naye karibu na kumshauri aache papala kwa sababu aanaweza pata mtu asiyemfaa ikiwa bora mara kumi angekaa single.Pia awe ni mtu wa ibada sana na kumuomba Mungu atapata AMANI nafsini mwake na moyo wa uvumilivu.Kuna watu wana 40 na wanaolewa vilevile hivo ajipe moyo tu atashinda.Pia kama GAIJIN alivyoshauri ajaribu kupunguza masharti,mfano kama yeye alikuwa anataka mtu mwenyeelimu sawa na yeye labda mastas afikirie hata kuolewa na std 7(na vitu kama hivyo)
Kaizer yuko Martenity leave. Alijifungua mimba ya Mussa Hassan Mgosi Jumapili. Hommie Kaizer samahani kama nimekukwaza!
Mwenye mamlaka ya kuoa ndiye anayechagua mke. Mwenye bahati ya kuolewa huteuliwa na mwenye mamlaka ya kuoa.
Have I made myself clear? Wapi chupa yangu.......?
That is very very wrong;
Kwanza unakosea kutumia neno kuoa! ni kuoana, pili hutaweza kwenda kumchagua changudoa anayejionyesha na kama ni hivyo basi hutaweza kumjua changu asiyejionyesha wala mwenye tabia mbaya aliyeficha makucha.
That makes swala la kuoa na kuolewa ni bahati pande zote mbili, this starts from religion point of view, tumeona wanawake walivyosababisha matatizo makubwa sana.
However, what makes things paradox here is that men are teasesr or initiator of the whole process, that makes him kuwa mtu wa kubahatisha zaidi kuliko mwanamke ambaye huwa mtu wa kuchagua zaidi au ku-evaluate. Ulichosema kama utakisimamia then vice versa is true.
Wanawake wengi wa kizazi cha sasa huwa waantengeneza wenyewe kuolewa au kutokuolewa, MWANAUME hata akiwa ***** vipi, lazima atamchagua msichana special wa kumweka mke wake.
issue za kuvaa vitopu na kutuonyesha vitovu na mapaja vitu ambavyo vinaleta mshtuko kwa mwanaume ni mwanzo wa utungu wa kufungua njia ya kutokuolewa, wanaume wanavifuata vile ambavyo vimeonekana hadharani wanavitumia na kuvitupa.
Hapa ndio unakuja wakati wa rafiki yake FL1 kujuta kwani siyo kuwa ni bikra! (unikosoe). Kuwa na wasichana wenye bikra chache ni ishara tosha kuwa wanaume wanataka vitu fresh.
ukiwa UDSM kwa mfano wasichana wakiingia mwaka wa kwanza they are all innocent, mwaka wa pili wote wanabadilika na kuwa wehu, wakikaribia kumaliza wanarudi hali ya mwaka wa kwanza kuvaa ijabu na nguo za kusitiri, mwanaume gani na akili zake akajitumbukize kwa hao vinyonga?
mwanamke ambaye anajitunza ama kwa hakika huwa hawachelewi kupata waume, yes ndio wako wanawake machangu walioolewa na hapa ndipo linakuja swala la bahati kwa mwanamke na mkosi kwa mwanaume anayeoa!! au sio Crispin!!
Charity; ni vigumu sana kumshauri rafiki yako wa karibu, hasa kama huyo ambaye ameshachanganyikiwa kuhusu kuolewa na anaona muda unamkimbia. kama ulivyosema kiukweli mdada akishaona muda unakimbia haolewi huwa anachanganyikiwa sana. mtu kama huyo ushauri anaoutaka ni kumshauri aolewe na si vinginevyo, na hasa kama mshauri ameolewa.
Mimi pia nina rafiki yangu wa karibu sana, hajaolewa. inaniwia vigumu sana kumshauri kuhusu mtu wa kumuoa. kama anavyosema FL1 amefikia kusema yeyote atakayetokea anaolewa, ukimwambia asifanye hivyo anakujibu "wewe kwa vile umeolewa hujui uchungu wa kukaa bila kuolewa". Kwa kweli ni ngumu sana, inabidi kumwombea tu
That is very very wrong;
Kwanza unakosea kutumia neno kuoa! ni kuoana, pili hutaweza kwenda kumchagua changudoa anayejionyesha na kama ni hivyo basi hutaweza kumjua changu asiyejionyesha wala mwenye tabia mbaya aliyeficha makucha.
That makes swala la kuoa na kuolewa ni bahati pande zote mbili, this starts from religion point of view, tumeona wanawake walivyosababisha matatizo makubwa sana.
However, what makes things paradox here is that men are teasesr or initiator of the whole process, that makes him kuwa mtu wa kubahatisha zaidi kuliko mwanamke ambaye huwa mtu wa kuchagua zaidi au ku-evaluate. Ulichosema kama utakisimamia then vice versa is true.
Wanawake wengi wa kizazi cha sasa huwa waantengeneza wenyewe kuolewa au kutokuolewa, MWANAUME hata akiwa ***** vipi, lazima atamchagua msichana special wa kumweka mke wake.
issue za kuvaa vitopu na kutuonyesha vitovu na mapaja vitu ambavyo vinaleta mshtuko kwa mwanaume ni mwanzo wa utungu wa kufungua njia ya kutokuolewa, wanaume wanavifuata vile ambavyo vimeonekana hadharani wanavitumia na kuvitupa.
Hapa ndio unakuja wakati wa rafiki yake FL1 kujuta kwani siyo kuwa ni bikra! (unikosoe). Kuwa na wasichana wenye bikra chache ni ishara tosha kuwa wanaume wanataka vitu fresh.
ukiwa UDSM kwa mfano wasichana wakiingia mwaka wa kwanza they are all innocent, mwaka wa pili wote wanabadilika na kuwa wehu, wakikaribia kumaliza wanarudi hali ya mwaka wa kwanza kuvaa ijabu na nguo za kusitiri, mwanaume gani na akili zake akajitumbukize kwa hao vinyonga?
mwanamke ambaye anajitunza ama kwa hakika huwa hawachelewi kupata waume, yes ndio wako wanawake machangu walioolewa na hapa ndipo linakuja swala la bahati kwa mwanamke na mkosi kwa mwanaume anayeoa!! au sio Crispin!!
its our culture. mtu usipoolewa maneno kibao, kuanzia wazazi wako, hadi jamii eti hakuna heshima. na mahitaji ya mwili you know, desire to have a family as she told you, huwa haipendezi kuzaa bila kuolewa.
thanks Gaijin lakini je kama mme haonekani unaweza kuamua kujipatia katoto kako kisha una-close chapter ama wewe unaonaje ?
Count on me my dear.Ni kweli Fixed Point tatizo linakuja binti anatafuta mtu wa kushea nae maisha
katika tabu na raha ,mtu wa kuongea nae ndani ya nyumba haonekani ,,,mme ni rafiki ambaye unambwagia matatizo yako yote anayasikiliza na mnasaidiana kutatua .kwake haonekani
Upweke moyoni umeanza kumtesa ..
hata sijui mie naona tongozane nae kwenye huduma ya maombezi maalum
tufunge na kuomba juu ya hili ...mungu wetu atamjibu shida yake
Kuna Binti mmoja yuko 32yrs old sasa amekata tamaa kabisa namuona anakonda kwa mawazo anadai mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake ..anaolewa
Na swali analojiuliza kila leo kwa nini yeye haolewi???
Nimejaribu kuuliza kisa nini hasa anadai umri wake umeenda sana ,anahitaji kuwa na family, anahitaji kupata mtoto
Kwani ukikaa bila kuoa au kuolewa ni tatizo wanajamii ?
Hebu tumsaidie dada huyu kimawazo
its our culture. mtu usipoolewa maneno kibao, kuanzia wazazi wako, hadi jamii eti hakuna heshima. na mahitaji ya mwili you know, desire to have a family as she told you, huwa haipendezi kuzaa bila kuolewa.
Sasa hako katoto atakafinyanga mwenyewe au itakuwa aje? Maana inaelekea huyo hata hatongozwi (au hatongozeki). Au alikuwa 'anauza ghali', sasa kunakuchwa ameamua kuuza kwa 'bei ya jioni' au tuseme ndio anagawa bure kabisa, au ile kitu ingine inayoitwa 'fungulia mbwa'! Kudadadeki. Lakini mbona miaka 32 bado ni umri mdogo tu, anataka 'kufungulia mbwa' mapema mno