Yap inawezekana...! Wengine huamini ndoa ni WITO, wengine pia huamini ndoa ni WAJIBU na kuna ambao pia huamini kwa namna nyingine! sasa basi uasherati ni dhambi kama dhambi nyingine tu.
inawezekana ndoa iliwekwa ili kupunguza uasherati...je, tunaweza kujiuliza nini kingine kiliwekwa ili kupunguza wizi,mauaji,kusema uongo n.k (maana hizi pia ni dhambi) kwa hiyo mi naona kwa wale wanaoamini ndoa ni kama wajibu au utaratibu fulani. lakini tukumbuke ndoa huambatana na mapenzi, sasa je ni yupi uliyempenda na akakupenda?