Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Lakini baada ya kuokoka hakudo tena hadi anakufa, so aliweza hata kama mwanzo alifanya lakini kwa miaka mingine kadhaa hakudo
Naam nakubaliana na wewe kwamba baada ya kuamua kuingia kwenye mfumo mwingine wa maisha akaamua kuachana na mfumo wa zamani. Ni kama unapoamua kuingia kwenye ndoa unaachana na mfumo wa zamani
 
Ndio maana nimesema hii imekaa kiimani zaidi....hapo umejiuliza tu, na yapo mambo meeeengi ambayo tunaweza kujiuliza...lakini hayo ndio maandiko matakatifu anayeamini na asiyeamini kazi kwake!
Mi nafikiri ina lengo la kutufanya tusifanye dhambi ya "uasherati"
 
Hivi i have been asking myself maswali yafuatayo ambayo perhaps tukijiuliza kwa pamoja tunaweza kupata majibu sahihi;
Kwanini tunaoa au kuolewa?
Je kuna ulazima wa watu wote kuoa au kuolewa?
Na kama ni lazima nini vigezo vya kumfanya mtu amjue mtu wa kumuoa au kuolewa naye?

Dah just ...............

Nenda kaperuzi kwenye misahafu mkuu.
 
Mi nafikiri ina lengo la kutufanya tusifanye dhambi ya "uasherati"

Yap inawezekana...! Wengine huamini ndoa ni WITO, wengine pia huamini ndoa ni WAJIBU na kuna ambao pia huamini kwa namna nyingine! sasa basi uasherati ni dhambi kama dhambi nyingine tu.

inawezekana ndoa iliwekwa ili kupunguza uasherati...je, tunaweza kujiuliza nini kingine kiliwekwa ili kupunguza wizi,mauaji,kusema uongo n.k (maana hizi pia ni dhambi) kwa hiyo mi naona kwa wale wanaoamini ndoa ni kama wajibu au utaratibu fulani. lakini tukumbuke ndoa huambatana na mapenzi, sasa je ni yupi uliyempenda na akakupenda?
 
Anhaaa ni kama kuna maswali hapa umeyasema tungeyaongeza kwenye main post ili tuiwiden
 
4 sure ulazima upo kama uli/utakayempata anajua nini maana ya kuolewa/kuoa lkn kama hajui there is no need jamani,ni stress tu kila mara!
 
Yaani without looking at what the other part looks like but wewe mwenyewe, je kuna ulazima?
 
Hivi watu wanaoa kwanini eti? Ni ili wapate watoto? Mbona wanaweza kupata watoto bila ya kuoa? Ni ili wapate wenza? Mbona wanaowenza bila hata kuoa?Jamani mimi naona wanaume wengi wanaoa kwa sababu ni wabinafsi, wana wivu na wanataka tu kumiliki. Mtu anapooa anafanya hivyo kwasababu anataka kummiliki mwanamke awe wake peke yake, mwingine asimpate. Kwa hivyo kwangu kuoa ni njia wanaume wanaitumia kuwazuia wengine kuwapata wale wanaowapenda.
 
Umri wako na jinsia tafadhali?
 
Sio lazima tena siku hizi ndo sio lazima kabisaaa, kutafutiana msongo wa mawazo tu!
 
Kwa hiyo mpagani?
Hayo ni maandiko ya vitabu vitakatifu
ni ibada hiyo kama kwenda msikitini na kanisani
we zini tu shauri yako
 
Tena ungekuwa mwenza wangu ungeshanioa maana ningekuteka tuoane
ili tupunguze dhambi
 
Ukifata ya jf,bila kumix na akil yako, utakuwa mwehu
 
Back
Top Bottom