Naam nakubaliana na wewe kwamba baada ya kuamua kuingia kwenye mfumo mwingine wa maisha akaamua kuachana na mfumo wa zamani. Ni kama unapoamua kuingia kwenye ndoa unaachana na mfumo wa zamaniLakini baada ya kuokoka hakudo tena hadi anakufa, so aliweza hata kama mwanzo alifanya lakini kwa miaka mingine kadhaa hakudo
Mi nafikiri ina lengo la kutufanya tusifanye dhambi ya "uasherati"Ndio maana nimesema hii imekaa kiimani zaidi....hapo umejiuliza tu, na yapo mambo meeeengi ambayo tunaweza kujiuliza...lakini hayo ndio maandiko matakatifu anayeamini na asiyeamini kazi kwake!
Hivi i have been asking myself maswali yafuatayo ambayo perhaps tukijiuliza kwa pamoja tunaweza kupata majibu sahihi;
Kwanini tunaoa au kuolewa?
Je kuna ulazima wa watu wote kuoa au kuolewa?
Na kama ni lazima nini vigezo vya kumfanya mtu amjue mtu wa kumuoa au kuolewa naye?
Dah just ...............
And whats your price? Halafu kule kwenu ukiwa mweupe basi ng'ombe kibaooooooSababu nimefika bei.
Mi huwa sili bata nakula kuku tu...........Lol!Siyo lazima, endelea kula bata.
Mi nafikiri ina lengo la kutufanya tusifanye dhambi ya "uasherati"
Anhaaa ni kama kuna maswali hapa umeyasema tungeyaongeza kwenye main post ili tuiwidenYap inawezekana...! Wengine huamini ndoa ni WITO, wengine pia huamini ndoa ni WAJIBU na kuna ambao pia huamini kwa namna nyingine! sasa basi uasherati ni dhambi kama dhambi nyingine tu.
inawezekana ndoa iliwekwa ili kupunguza uasherati...je, tunaweza kujiuliza nini kingine kiliwekwa ili kupunguza wizi,mauaji,kusema uongo n.k (maana hizi pia ni dhambi) kwa hiyo mi naona kwa wale wanaoamini ndoa ni kama wajibu au utaratibu fulani. lakini tukumbuke ndoa huambatana na mapenzi, sasa je ni yupi uliyempenda na akakupenda?
Mkuu nimeperuzi kweeeeliNenda kaperuzi kwenye misahafu mkuu.
Yaani without looking at what the other part looks like but wewe mwenyewe, je kuna ulazima?4 sure ulazima upo kama uli/utakayempata anajua nini maana ya kuolewa/kuoa lkn kama hajui there is no need jamani,ni stress tu kila mara!
Sio lazima
Hivi watu wanaoa kwanini eti? Ni ili wapate watoto? Mbona wanaweza kupata watoto bila ya kuoa? Ni ili wapate wenza? Mbona wanaowenza bila hata kuoa?Jamani mimi naona wanaume wengi wanaoa kwa sababu ni wabinafsi, wana wivu na wanataka tu kumiliki. Mtu anapooa anafanya hivyo kwasababu anataka kummiliki mwanamke awe wake peke yake, mwingine asimpate. Kwa hivyo kwangu kuoa ni njia wanaume wanaitumia kuwazuia wengine kuwapata wale wanaowapenda.
Mimi nitaoa kwa sababu kuna mtu anataka kuolewa na mimi!