Kwani lazima kuoana?


kWENYE GAZETI MOJA LA UDAKU HUWA KUA SPACE YA "KWA WALIO OLEWA AU KUOA TU"

I think this post is viceverse. endeleeni kuwepo kuwepo tu.
 
na ni kweli naona wengi bado wapo wapo.wangejua utamu wa ndoa,hawangeitia doa.
 


Jamani msingi wa ndoa ni UPENDO. Na upendo haushindwi na kitu: yawe mtatizo, magumu, majukumu, nk. Upendo HUSHINDA YOTE. Ukimpenda mume/mke wako utampokea kama alivyo: mema yake na mapungufu yake. Utamvumilia!

Wengi naona shida inakuja pale yanapojitokeza matatizo. Wanataka kukimbia responsibility. Lazima kukabili shida za maisha. Hakuna maisha marahisi mtu asikudanganye! Na hakuna kizuri kisicho na gharama. Ndoa ni kitu kizuri bana. Unakuwa na wako wa kuishi naye maisha yako yote katika shida na raha. Wa aina hii utampata kwenye ndoa tu! Nje ya hapo unajidanganya tu.

Kumbe nakubaliana kuwa kuoa/kuolewa ni UAMUZI wa mtu. Lakini ukiona hutaki kuoa basi usifanye ngono kwani tendo hilo lina-entail upendo wa kindoa. Uishi useja.
 
Most important, marry your best friend. Will be much easy to handle hard situations together. A best friend as someone you can talk with, about anything without getting bored with them at some point in your marriage. Or kuboana kupo but, you two should be able to retrieve the situation before it worsens.

To make a long story short, marry your BFF.
 

Not all women are being pushed to marriage by the ticking of the biological clock. It's true though, most, don't think about it well and through before they get into it, and then they suffer psychologically when things start turning differently from what they've excepted because they rushed into it. Worse thing ni kuumia na kukaa kimya. Unaweza kufa kabla ya siku.
 

Wewe unapaswa kuogopwa kama ukoma. Ushauri wako ni kinyume kabisa na mpango wa MUNGU wa kweli wa kumuumba mwanamume na mwanamke. MUNGU anachukia kuachana Malaki 2:16:

For the Lord, the God of Israel, says: I hate divorce and marital separation and him who covers his garment [his wife] with violence. Therefore keep a watch upon your spirit [that it may be controlled by My Spirit], that you deal not treacherously and faithlessly [with your marriage mate].
 
mie nikiulizwa kwanini niliingia kwenye ndoa cna jibu kamili, lakini nashukuru nipo ndani.
 
Mama Lwakatare anakwambia, if you can get free milk why keep a cow
 
Ndoa ni ndoano then inakuwa kitanzi....kama ulikuwa mtu wa totoz inabidi uache kabisaaa kama ulikuwa mtu wa kurudi night na kujichanganya club kwa sana inabidi nako uende likizo uache kabisaaaa........dah inakuwa ngumu kwa mtu yule vitu vipo damni.
 
mie nikiulizwa kwanini niliingia kwenye ndoa cna jibu kamili, lakini nashukuru nipo ndani.

hehehehe umesahau si ulifanyiwa surprise ndo maana ukaingia mwenyewe hapo hapo huna jibu.
 
Kila la kheri mana unaweza kuingia kwenye ndoa ikaleta furaha, faraja na baraka tele etc, na huo uwezekano ni mkubwa tu.Kwa mind set uliyojiwekea, any set back should become a challenge and not a failure. Lakini hata hivyo zipo balaa kama utaangukia katika mikono ya wasanii mana naona kama wapo wengi kidogo miaka hii.Nionavyo balaa zilizopo hazina maana ndoa hazihitajiki tena.
 
Ndoa ni ndoano then inakuwa kitanzi....kama ulikuwa mtu wa totoz inabidi uache kabisaaa kama ulikuwa mtu wa kurudi night na kujichanganya club kwa sana inabidi nako uende likizo uache kabisaaaa........dah inakuwa ngumu kwa mtu yule vitu vipo damni.


sio zote Fidel, mie mbona nikijickia kwenda club nasema na hapo ndio nitamckiliza yeye kama atakubali niende au zile twende pa1, au we nenda tu usichelewe kurudi( ndio mambo ya kuomba ruhusa) hapo kwa warembo mseto ooh yeah unatakiwa utulie kabisa, kuna wakati jamani tunatakiwa tumeane nafac ya mtu kufanya mambo yake lakni yasiende kinyume.
 

Ahsante sana Maxence kwa yote uliyoyaandika na hasa sentensi yako ya mwisho kuhusu ndoa.
 
aaaah wewe utakuwa umerogwa.....akikukoleza akataka umuoe kula kona wapo wengi.......hamna haja ya kuoana si mzae tu yaishe malezi unawajibika nayo......
 

Ulijuaje? hasa la kulala usiku wa manane- wakati mwingine karibia na asubuhi kabisa! yaani husikii uchovu! jamani hii chemistry!!!
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!
 
We uko na jamii ya bazazi yaani unamfisadi mke wa rafiki yako.!
acha mara moja hiyo tabia. Mtenda hututendwa.!
 
wewe nawe ni muhuni ni vyema usioe maana what goes aroung come around
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…