Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Kuolewa sio lazima,ila inaongeza heshima,

Ina hadhi yake,haijalishi ni kigogo au mkulima_MwanaFA
 
Sio lazima, ila sio uache kuoa ili uwachezee vizuri wadada wa watu! wengine mnogopa kuoa ili msibanwe na wake zenu!
 
U

Ukifikia hapo,tayari unakua umeshapotea,nakwako ndoa ni fasheni si wajibu,pole saana mkubwa.

Ndoa sio wajibu mkuu kwakuwa sio mpango wa Mungu, Mungu alipoumba mwanadamu alimpa agizo la kuzaa kuongezeka na kutawala viumbe wengine kwa niaba yake. Alikuwa ashindwi kuagiza "enendeni mkaoane ili mzae mkaijaze dunia na kutawala viumbe vyote" ndio maana wanyama wengine wote wanazaana na kuongezeka bila ndoa, kasoro mnyama binadamu.

Kuhusu kiapo cha "mpaka kifo kiwatenganishe" huu nao ni mpango wa mwanadamu kwakuwa katika taulat ya Mussa ambayo imetoka kwa manabii waliokuwa karibu na Mungu zaidi, inaagiza talaka. Na mpaka leo vitabu vya dini kuu mbili vinapingana kwenye jambo hili.

Maoni yangu ni kwamba ndoa harari ni ya mume bikra na mke bikra ndio itakayokuwa na utakatifu ndani yake, sio ndoa za fasheni ili uweke kwenye chereko tbc, kwakuwa hata zingine hazikidhi agizo la kuzaa na kuijaza dunia kutokana na watu kukutana baada ya uchakachuzi uliofanyika na kumaliza mayai na nguvu za uzazi.
 
Personally nadhani ndoa ziko overated siku hizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi.

Wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani it's better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this biological clock na cha ajabu ni kuwa hata choices zao zinapungua from Mr PERFECT to MR RIGHT

Nimeona bora niwape heads up kwenye hilo; you don't wanna lose everything kama hiyo ndoa isipowork out au ukiboreka.

Sijui nyinyi mnaonaje?
Naam
 
Uzi wa 2008 huu. Waliochangia enzi hizo sa iv ni mabibi na mababu. Hata namna ya uchangiaji wao ulikuwa wa kiGT kweli sio km Sasa.
 
Back
Top Bottom