queen sense
Member
- Jul 4, 2014
- 6
- 2
sio lazima bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio lazima bro.
sas wewe kuna mahari ya mamilioni hiyo ni fuso?
U
Ukifikia hapo,tayari unakua umeshapotea,nakwako ndoa ni fasheni si wajibu,pole saana mkubwa.
NaamPersonally nadhani ndoa ziko overated siku hizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi.
Wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani it's better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this biological clock na cha ajabu ni kuwa hata choices zao zinapungua from Mr PERFECT to MR RIGHT
Nimeona bora niwape heads up kwenye hilo; you don't wanna lose everything kama hiyo ndoa isipowork out au ukiboreka.
Sijui nyinyi mnaonaje?